Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

.jamani wama MMU cjui mtanisaidiaje katika hli Nina jirani yangu dada2 ana mume na watoto5 wanne wakike mmoja kidume. Ni mtu wa kigoma MUME wake anatabia ya kufanya mapenzi watoto wake hasa huyu...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Ikitokea jambo lako limesambaa ujue kabisa msambazaji wa kwanza ni wewe! usingejirekodi wengine wasingepata nafasi ya kusambaza, unatoa mwenyewe mwanya wa kudhalilika, usilaumu wengine wakiwa...
6 Reactions
12 Replies
889 Views
Tena hapo nimeongeza umri kuwaonea huruma wale wa mjini. Kwa kijijinini miaka 20 tu,hujaolewa wewe sio wife material Jipange
6 Reactions
12 Replies
414 Views
Leo nimepokea kwa masikitiko habari za kufulia kwa mkaka niliyewahi kuwa nae kwenye uhusiano kwa muda wa miaka 3. Nasikia amefulia ameuza kila alichokuwa nacho amebaki na komwe lake tu. Huyu kaka...
51 Reactions
156 Replies
5K Views
Naandika post hii nikiwa sijui pa kuanza, il a kwa kifupi tu, nimeanza maisha mapya ya kuwa single mother. Mimi na baba mtoto havijawork out kwa kweli na imenibidi nifanye maamuzi magumu. Ni...
7 Reactions
104 Replies
10K Views
Nataka kujua kuhusu hiki kitu ambacho kimenifanya nishindwe kabisa kuwaamini wanaume ,je ni kweli wanaume wameumbwa na matamanio kiasi cha kwamba hawawezi kutosheka na mwanamke mmoja?
6 Reactions
70 Replies
2K Views
Umewahi kukutana na msusi anae nuka chupi hasa katika zile staili zetu za kilimanjaro. Hii imenitokea live mida nikiwa kwa msusi nyumbani kwake tena mchana alikua ananisuka stail fulani jamani...
15 Reactions
148 Replies
13K Views
Kuna binti hapa kazini kwetu amenifurahisha sana, eti anataka kuolewa na mwanaume Handsome!! nimemuuliza hivi mwanaume Handsome yupoje? na je unajua athari za kuolewa na Handsome? Alikuwa na...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Kiukweli nampenda na namkubali Nifah ila niliumizwa sana na yeye kuachika kwake na jasusi bobevu inshalah Mungu atawaunganisha tena. Tumuombee Nifah arudiwe na jasusi.
3 Reactions
31 Replies
1K Views
Habari wadau, Ukiambiwa mjini starehe gharama usikodoe macho. Kama ilivoada jana nilitoka out peke yangu nikaenda kidimbwi kumalizia weekend.Nilitoka kwangu mida ya saaa tatu usiku nikafika...
51 Reactions
145 Replies
13K Views
Hi Guys My friend anauliza kuna option yoyote anaweza akafanya kwenye simu ili mtu akimpigia awe hapatikani but anapatikana? Anaenda kwa her new babe so kuna this guy Ana date nae but Ana plan za...
8 Reactions
100 Replies
4K Views
Wajuzi naomba ntililike na uzi Kuna zile baa za mfano kitambaa juliana .wavuvi sijui elements hizo mengi ni mashindikanaa lakini kuna chimbo za kijanja za kula pisi mq banker .manesi...
40 Reactions
106 Replies
19K Views
Fahari wa mzazi = mtoto Fahari wa mke = mume Fahari na mume =mke Fahari ya mwalimu =mwanafunzi Fahari ya mwenye nyumba =nyumba N.k Hamna kitu kizuri kama mtu kuwa na kitu ambacho kinampa...
26 Reactions
64 Replies
9K Views
Wana sisi wazima huku najua hakuna fujo sana, na kuna watu makini wa kunisaidia. Wapenzi, Nina mdogo wangu ana kama miaka 26, kaolewa na mtu wa Dodoma. Naishi nae karibu kama nyumba 5 kutoka...
3 Reactions
174 Replies
38K Views
Jamani sio utani ni kama mfano wa dada angu kwa mujibu wake anasema mumewe hawezi kugegeda nae hadi akiangalia movie za X ndo zinamshtua hivi je, kweli swala hili lipo. Kwawale wakubwa tukutane...
0 Reactions
40 Replies
19K Views
NANAOMBA USHAURI Habari yako mwana JF mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 ninafanya kazi ya bodaboda Nilikuwa na mpenzi wangu niliyeishi nae kwa miaka 4 sasa na tuna ahadi ya...
12 Reactions
45 Replies
2K Views
Mungu nisamehe bure!! Kuna demu nimeangaika Sana kuja kuwa mpenzi wangu. Nilimkuta ana-date na mkaka flani wakiwa wanaelekea kutangaza uchumba, gafla nikatokea maishani mwake na kubadiri uelekeo...
3 Reactions
152 Replies
14K Views
Wakuu kwema, hope mna weekend njema. Kuna mwanamke aliniacha kwa maneno makali sana ambayo yalichoma moyo wangu. Aliniambia kuwa mimi siendani naye, mimi ni mshamba, na hana hisia na mimi...
23 Reactions
90 Replies
5K Views
Miezi mitatu iliyopita,ulikuwa mwezi wa septemba mwaka 2018 katika pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii nilikutana na bi dada,tukabadilishana namba tukawa tunachart......kupigiana sim kila...
24 Reactions
241 Replies
20K Views
sio uongo wala utani wanawake wengi wahanga wa hili unakuta mdada anatamani gegego ila kumwomba mumewe au mpenzi wake anaogopa anaona aibu. me mwenyenye nilikua mhanga wa hili jambo ila kwa sasa...
4 Reactions
153 Replies
17K Views
Back
Top Bottom