Leo nimefanikiwa kushika simu yake na nilimuona akitoa lock so nikakariri lock passcode yake, kifupi chat za wanaume:-
1. Huyu nimekuta tu amemtumia text moja ambayo haina muendelezo, text...
Wasalaam,
Ebana sina mengi sana, ila ni kwamba nimeingizwa mjini kiasi cha kuharibu msimamo wangu niliojiwekea maishani mwangu. Iko hivi nimekua na mahusiano tofauti tofauti kwa wakati mmoja huku...
NIFANYE NINI MKE WANGU AMETOA MIMBA ZANGU TANO?
Mimi ni kijana wa miaka 33, nimeoa na ndoa yangu ina miaka mitatu sasa. Ndoa yangu ilikua nzuri sana na tangu kuingia kwenye ndoa mimi na mke wangu...
Matumaini yangu mlio wengi humu ndani mlikua na weekend njema.
Ni miaka sita sasa tangu nimeoa na nimebarikiwa kua na watoto wawili. Kabla sijaoa nilikua nna marafiki wengi na bahati nzuri rafiki...
Sabbath shalom!
Sifa/tabia za matajiri wengi toka nakua nimegundua ni hizi;
1. Wengi huwa hawakai kwenye events mpaka mwisho, wanaweza wakakaa nusu ya muda then wakaondoka kabla tukio...
Msaada wa mawazo
Husika na kichwa hapo juu, napenda sana kutulia na demu mmoja lakini nashindwa. Nimetumia mbinu nyingi lakini wapi, najikuta natafuta madem wengine. Bado nikienda batani lazima...
kwny mada ya leo nitaongelea akili kumi za kumteka mwanaume,wanaume tunatekwa kwa mambo madogomadogo sana,sasa ili ndoa yako inoge,ni muhimu kumwelewa mwanaume wa karne ya 21 ni kiumbe wa namna...
Yalinikuta !, Niliahirisha kwenda interview niliyoisaka kea muda ili nile tunda
Nakumbuka kuna kipindi wakati natafuta kazi kuna sehemu nilii apply na kweli nikapigiwa simu kwamba siku ya...
Katika maisha tangu tunakua mpka tunafikia hatua ya utu uzima tunakutana na watu wa aina mbalimbali,miongoni mwao wanakuwa ni marafiki wetu wakubwa sana lakini kutokana na changamoto za hapa na...
Habari za wakati huu.
Ndugu kuna bidha haramu zisizo lipa kodi na hata nyingine kupigwa marufuku na mamlaka za nchi husika kama tunavyojua na ikitokea ume kamatwa na bidhaa haramu basi adhabu...
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2012, Nilikuwa nikifanya field katika Kampuni flani ya Ujenzi,,
Nikajenga urafiki na mtoto wa moja ya Wakurugenzi wa Kampuni (G), alikuwa akisoma Marekani.alikuja Dar kama...
Nilikua naongea na jamaa yangu ni Daktari, alioa Mke wake pia ni Daktari, wamebahatika kupata watoto wawili.
Mke wake anafanya kazi NGOs, na wememwambia inabidi aende training Marekani mwaka...
Mume wako anakuambia mke wangu leo tutoke tukapate hata dinner nje, wewe unajidai wife material unamwambia mtapoteza hela bora mpike nyumbani. Siku nyingine anakuambia mtoke hata mkamwagilie moyo...
wachumba na wapenzi, wake kwa waume hawafuatiliani kabisa wala hakuna mwenye time au tension na faragha za nje na mwenzie kama anafanya, tofauti kabisa na kipindi kifupi kulichopita. ni majukumu...
Daah ama kweli ule usemi wa fear woman una ukweli.
Nilikua na mpenzi wangu mashallaah navimba naye kitaa. Mtoto kachanganyia mama mmoroni baba mbongo mweupeee. Full kuvimba naye mtaani kama hamo...
Habari zenu!!!! Na habari ya siku nyingi!!!
Nianze kwa kuwapa salamu kutoka kwa Mercy na Mage wote ni wazima.
Twende......
Jana tarehe 08/07/2024 nilienda kumtembelea mshikaji wangu, idol wangu...
Wakuu habari.
Harakati za pimbi(kutafuta ridhiki) nimejikuta nafanya kibarua(casual) kwenye processing plant ya dhahabu. Ambako mda wote tunashinda tumevaa gambuti na baada ya kazi tunaenda kuoga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.