KIJASUSI WAPE USHINDI WALEWE ILI WAACHE KUKUFUATILIA BALI WASHANGAZWE KWA MATOKEO.
Jasusi yoyote Duniani huwa habishani na mtu zaidi atakubaliana na wewe ili uvimbe kichwa lakini moyoni mwake...
Ndugu wana jf na wasalimu kwa masikitiko makubwa sana
Enzi na enzi za mababu zetu, mitume na manabii kwa imani zetu tofauti tofauti , tamaduni, mila na desturi zetu kama wanadamu natokea iwekwe...
Jana nilikuwa sehemu ya kinywaji nkaumia sana kuona mabinti 3 niliosoma nao wakinywa kama wanataka kwenda mwezini walipoanza kulewa tukaanza mazungumzo longtym nk.. nkauliza amjaolewa mpaka sasa...
Kuna tabia ya baadhi ya wanaume kupenda akiongea jambo basi akushike begani or what, huwa inanikera sana sipendi mwanaume mwenzako anaongea na wewe halafu anataka kutouch any part of my body...
Aisee hawa watu sio kabisa, nilikuwa najifariji kwa single mother mmoja,as time goes nikawa naanza kumuelewa, naona kama mbona ana vision, basi nikajikuta Nina hisia naye full.
Kwanza...
Shalom,
Napitia wakati ngumu sana nyakati hizi, wanawake, wadada, mabinti wengi ninaokutana nao zama hizi kwa ajili ya kulijenga jumba la maraha jumba la zeze, kwa bahati mbaya wengi wao tayari...
Habari wadau,
Mchungaji wa kanisa la kilokole akitoa ushuhuda wa kilichotokea kwenye ndoa ya waumini wake. Bwana harusi na yeye anaeleza kwa urefu alichokutana nacho kwenye usiku wa kwanza wa...
Ni rahisi sana kumjua mwanamke ambaye ni bikra kwa kumuangalia tu usoni.
Hii ni elimu tosha sana kwako wewe mdau. Hivi ndivyo viashiria vya mwanamke bikra:
1. Mwanamke bikra huwa anakimbonyeo...
Wakuu habari.
Kuna ka binti ka kigogo ninekatoke juzi kati. Kakaniambia nikape wiki katanijibu. Nilivyokua nakachulia ni kama ka wife material hivi. In short niko kwenye kutafuta chaka langu la...
Sijakosea ndio nilichomaanishaa
Wanaume wa nyakati hizi hamjiamini muda wote munawaza usaliti usaliti usaliti usaliti
Kila nyuzi humu ni kuhusu usaliti
Hivi inakuaje unamuwazia mwenzio...
Wasalaam wana JF
Katika pita pita zangu huko kwenye mabaraza ya watu waovu ninaleta ushuhuda kwenu kwamba kuna PISI KALI na vipisi vikali.
Kuna wale wadada ambao wamekamilika kila idara yaani...
Nawasalim wapendwa
Uzi huu unawahusu wanandoa au vijana walioshika dini sna, kiasi kwamba wao hawana habar na mambo yanayoendelea dunian.
Kama, unywaji pombe, kuchepuka, kupenda starehe na...
Kipindi cha nyuma mawasiliano haipiti siku bila kukutafuta zaidi ya mara tano au sita yaani asubuhi, mchana, jioni na usiku mtaongea mpka unachoka lakini saivi ni morning greetings atakucheki na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.