Wamiliki wa Daladala nchini Denmark wamebuni Mbinu mpya kwa Abiria ambao hawataki Kuoa kama GENTAMYCINE au Kuolewa kama wengine ili waweze kuwapata Wenza wao ndani ya hizo Daladala.
Ni kwamba...
Kitu ambacho wanaume wengi hamkijui ni Tabia za mwanamke ambae Anajitafuta au ana hali ngumu kimaisha huwa ni kama simba jike mwenye njaa kali so chochote kitakachotokea mbele yake kama kimenona...
Sasa hivi watu wengi, wake kwa waume wenye umri wa kati ya miaka 40 na 50 bado hawajaoa wala kuolewa.
Na ukiwaangalia ama kuzungumza nao kuhusu kuoa au kuolewa, wanasema wazi wazi kabisa kwamba...
ZAMA ZAKO ZIKIPITA KUBALI KUACHIA WENYE ZAMA ZAO WAFURAHIE😊
Mambo uliyotakiwa ufanye ukiwa na miaka 10 ukiyafanya leo una miaka 30 Utaonekana kituko 😊
Na usipokubali umri wako ukaanza...
Tunatakiwa kutambua kuwa viumbe KE hata wafanyiwe kitu gani hawaridhiki.
Jambo la kufanya ni ku-focus na maisha yako, jipende, kula bata, jali watoto wako (kama unao).
Wanaume tunakufa mapema...
Ndugu zangu
1 Wakorintho 11:9
Wala mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke, bali mwanamke kwa ajili ya mwanaume
Siku zote wanawake ndiyo wenye uhitaji na wanaume, na wao ndiyo waliumbwa...
Kwa masikitiko makubwa.
Ndugu zangu sina haja ya kusalimia maana najua kabisa ndoa ni mateso na mlio oa mnateseka sana ila hamtaki kusema mnayabeba moyoni kama wanaume poleni kwa kweli.
Kweli...
Nukuu hizo 6 ni hizi zifuatazo
1. FURAHA NA HUZUNI
Khahlil Gibran alijibu baada ya kuulizwa kuhusu furaha na huzuni akasema "Furaha yako ipo ndani ya huzuni yako.Kicheko kikubwa na tabasamu pana...
Kwema Wakuu!
Uchunguzi wangu unaonyesha kuwa linapokuja swala la kupasuana, kuumizana, kutesana, kukatiliana na kusalitiana kati ya mwanaume na mwanamke basi sisi wanaume ndio tunaongoza.
Sio...
People i missed you, mko poa?
Leo nimejaa full mahaba, nataka nikufundishe ewe dada mambo matamu sio kila siku mtoto wa kike unalia lia hupendwi kumbe mchawi wewe mwenyewe.
Kwanza kabisa...
ukiangalia Mhehe/ Mbena moja moja wapo pasua kichwa lakini ukiangalia kwa jicho la wastani / average wanawake wengi wahehe na wabena wanapoingia kwenye ndoa huwa ni loyal, ride or die, wavumilivu...
Niliwahi kuandika makala kuhusu mahusiano kati ya Aziz Ki na mrembo wa kuchanua misamba Mobetto, mahusiano yamezaa athari chanya kwa wapenzi wa soccer nchini
Aziz Ki alipewa offa na vilabu...
Fanya juu chini usafiri hata kidogo ufike hapo rwanda kama uwezi kuvuka bara la afrika.ila kuna nchi unaweza kuwa na pisi kali mpaka ukajiuliza mbona wapo huku.
Kuna haka kisiwa cha cyprus yani...
Salute comrades!
Hitmaker wa NIPENI MAUA YANGU, Roma Zimbabwe kupitia ukurasa wake wa Instagram amewausia vijana wa kiume wanaojiandaa kuoa kwamba wasikurupuke tu kufanya maamuzi ya kuoa bali...
Wanaume wengi wamepumbazwa katika ili neno "kuwajibika" kitu ambacho kinapelekea wanaenda extra miles kulazimisha wafanikishe mambo yasiyokuwa na ulazima hata kama wanajiumiza au kujirudisha nyuma...
Akiwa mfanyakazi wa Redio Berlin Internation nchini Ujerumani, James Lembeli alikutana na binti wa Kijerumani, Birgit Lifka, wawili hawa wakaanzisha urafiki uliowapeleka kwenye uhusiano wa...
Kuna mademu ambao wao ni kukutafutia vita na watu.
Mwanamke mzuri lazima atongozwe kwanini akitongozwa na marafiki tunaojuana ndo huja kutufitinisha nao lakini wakitongozwa na watu wa mbali...
Ukiona unampenda mtu halafu bado kuna mambo ambayo unaona unataka uyabadilishe kwa mtu huyo basi tambua hujampenda kwa jinsi alivyo.
Mapenzi ya kweli ni kumpenda mtu kwa jinsi alivyo pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.