Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Habari za humu ndani Mabibi, Mabwana na Nk..... Jamani nimekaa nikiwaza mda huu usiku wa 1:07 Am usiku. Ni kweli tunapitia hali ngumu ya maisha lakini hii sio sababu ya kukufanya kutoweza kuwa na...
13 Reactions
135 Replies
3K Views
Habari wanaJF. Nina imai mko poa kabisa Kama kichwa cha habari kinavyosema Nimekuwa na mahusiano na wasichana takribani watano mpaka sasa hivi, ila cha kushangaza kila demu napokuwa kwenye...
22 Reactions
103 Replies
4K Views
Wakuu, Meli inaweza kumilikiwa na Watanzania, ikaendeshwa na wazambia, ila usajili wake ukafanyika Pakistani. Kampuni inapofilisika,mkatengana au kubadili Umiliki lazima mrejee Sheria za...
9 Reactions
21 Replies
638 Views
Habari wanabodi wenzangu, Katika maisha kuna kuoa na kuolewa, hivyo kuna kutoa talaka na kupewa talaka. Katika hali zote hizo maisha yanaendelea, kuna ambao hufanikiwa zaidi au kurudi nyuma...
18 Reactions
230 Replies
18K Views
Hata sijui kama ni mkeo utamfanyaje?
17 Reactions
233 Replies
7K Views
Tangu nikiwa na miaka 19 nimekuwa nikipiga vita sana dada zetu kuruka ukuta. Ila naona wazi ni kama wanatukatisha tamaa sisi wapinga hivyo vitu. Kuvuja kwa baadhi ya clips za wasanii wa kike...
13 Reactions
66 Replies
2K Views
Mimi ni mama wa miaka 40, ninafanya kazi na nina kipato kizuri tu. Sababu ya kuja kwako kaka ni kwamba mume wangu ni malaya sana, ni mtu wa wanawake na hahudumii familia, kila kitu nafanya mimi...
9 Reactions
90 Replies
6K Views
Mimi ni mama wa watoto 3 na nimeolewa; ndoa yangu ina miaka 7 sasa. Mimi na mume wangu tulikuwa vizuri, lakini mwaka jana, kuna rafiki yangu mmoja alifiwa mume wake nilimsaidia kwa kumchukua...
10 Reactions
70 Replies
4K Views
Kuna kibidada Leo nimekiacha asubuhi kimeniambia tumekuwa kwenye mahusiano muda sasa. So kinataka nikioe so niende kwao na 1.5m kama mahali bado gharama za harusi.. Nimekiambia kitafute mwanaume...
32 Reactions
126 Replies
6K Views
Kama wewe sio mdangaji na haujaolewa! 1. Ukiona mtu Yuko kwenye ndoa halafu anakupigia kelele unaolewa lini kila siku, jua ndoa Yake ina shida anapitia mazito kwenye hiyo ndoa, anakuonea wivu...
13 Reactions
24 Replies
922 Views
Habari za muda huu wapambanaji Mimi ni kijana mwenye umri wa 30's, napenda kushea na vijana wenzangu maisha yangu hasa katika eneo la mahusiano yasio rasmi, yaani kuruka ruka Bila kujali afya...
25 Reactions
58 Replies
3K Views
Don't give your woman a life that you have not giving to yourself. Don't buy your woman iPhone 12 while you are managing Spark 4. Don't buy her the best of clothes, while you starve yourself of...
11 Reactions
38 Replies
1K Views
Wakuu, habari? Natumaini bado mnaendelea kumalizia sikukuu kwa mapochopocho ya hapa na pale ili mradi kufurahisha nafsi pamoja na kujipongeza kwa uhai ulionao mpaka siku ya leo. Inawezekana...
3 Reactions
14 Replies
639 Views
Ni mambo ya kawaida yapo na yanaongezeka kila siku. Nisiwachoshe sana si mbaya kupata uzoefu kwa wale mlioachana kwenye ndoa na jinsi ulivyoteseka ama kufarijika baada ya kuachana. Je, procedure...
1 Reactions
13 Replies
446 Views
Mapenzi bado yanaendelea kuwatesa vijana. Tulikuwa tunaangalia gem ya simba leo jioni Bar fulani ipo Mikocheni ambayo ina Lodge pia. Ndipo tukashuhudia tukio la ajabu sana. Dada mmoja ambaye...
15 Reactions
54 Replies
4K Views
Shalom shalom wana wa Mungu alie hai. Naamini wote mu wazima kwa uweza wa Mungu wetu juu mbinguni Biblia inasema penda kubariki ili ubarikiwe na anaye kulaani atalaaaniwa. Napenda kuwatakia wote...
7 Reactions
24 Replies
717 Views
First encounter: Alikuja mrembo mmoja ofsini kwangu na kwakua ulikuwa muda wa kukaribia kufunga, akawa mteja wangu wa mwisho kumhudumia kwa siku hyo. Baada tu ya kumhudumia nkajiwahisha kusign out...
8 Reactions
65 Replies
13K Views
Habari wakuu, Hapa nakusudia mwanamke mwenye mtoto ambaye si wako, Mtoto ambaye kwa kiasi kikubwa bado anahitaji ukaribu na mama yake. Nimeshuhudia ndoa ya Jirani yangu ikiyumba baada ya mtoto...
14 Reactions
159 Replies
18K Views
Wadau mimi nina uzoefu kiasi za mabinti short-chasis a.k.a nyundo Karaha; 1. Maneno mengi hata kwa ishu ndogo ya kuelewana (vuvuzela) 2. Poor appearance/zero nyago (refer kucheza kwaito...
13 Reactions
119 Replies
25K Views
Ni ukweli wala sio utani kwamba baadhi ya wanawake ambao bado hawajaolewa hawavutiwi tena na hatua ya uchumba kabla ya ndoa. Utafiti mdogo uliofanyika unaonyesha kuwa wanawake wamechoshwa na...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom