Shalom shalom. Mwanamke aliyenizidi umri ananitaka mana nilikuwa nikimsalimia shikamoo anakwepa, ni limwalim wa secondary kanizidi kama miaka 15 hivi. muda wote anataka kuchat usipochat ananuna...
Nimepata mtoto wiki iliyopita. Mama mkwe wangu, mama yangu na bibi wa mke wangu wote tunagombania kitovu cha mtoto. Hatuongei, nyumba imegeuka uwanja wa matukano.
Waganga wanaletwa eti kumkinga...
Makubaliano ilikuwa aje for weekend, ile weekend uliyopita, jumatatu nikamuachia posho ya uchafuzi na nauli nikamuonyesha sehemu ya kuweka funguo nikaenda kibaruani.
La haulaaa jioni kurudi...
Umri wake ni miaka 26 na jina lake linaanzia na herufi H.
Wakati naenda kukutana nae kwa mara ya kwanza I thought my friend was joking with me. Kwa sifa alizo kuwa anampa kwa sababu alikuwa...
Salamu wanajamvi.
Niende kwenye mada moja kwa moja.
Tuishi nao kwa Akili, ni moja ya msemo uliotolewa kwenye maandiko na watu wengi hupenda kuutumia pale linapozungumziwa suala la kuishi na...
Aisee unajua tunaweza kuwa tunabishana kuhusu kataa ndoa sijui kubali ndoa lakini hatujui maana yake vizuri. Ndo maana Nina swali je mnachomaanisha ni hamtaki kabisa kuishi na mwanamke pika pakua...
Wasalaam wana jamvi,
Kama kichwa cha huu uzi kinavyosema na nimeamua kuanzisha huu mkasa ambao ni wa kweli kabisa ulishawahi kunitokea kipindi cha nyuma miaka kadhaa iliyopita. Na huu mkasa...
Mtanisamehe kwa ninyi ambao ninapozungumzia maisha mazuri huwa mnakasirika. Mtanisamehe maana ndo experience niliyo nayo. ni ngumu sana kwa mtu mvuvi kuzungumzia vizuri habari za kilimo, ndio...
In natural mwanamke yeyote huwa anajisikia vizuri Sana akihudumiwa na mumewe hasa kwenye mahitaji ya msingi na extra.
Unapogharamika kwenye mahitaji yake kwa kumnunulia mavazi akawa wa kuvaa na...
Sio kwamba namchunguza, ila natamani namimi niishi life style kama yake, mana wengine tunachapika na maisha huenda kuna watu wana shortcut.
Ni miaka miwili tangu amalize nyumba yake na kuhamia...
Habari wana JF
Bila kupoteza muda nijikite moja kwa moja kwenye kilichonifanya kuandika yumkini nikapata ufumbuzi wa changamoto yangu.
mwenzenu kuna kitu ambacho kimekuwa kikinisumbua miaka...
Kwenu wadogo zangu ambao bado mpo 20's kumbukeni ya kwamba huyo demu ulienae ana uwezekano mkubwa sana wa kutoboa kimaisha hata leo hii tofauti na wewe.
Usidanganyike kwamba yupo na wewe kwa...
Mnamo mwanzoni mwa 2009 nilianza urafiki na mwanamke mmoja ambaye nilikutanishwa na Ndugu yangu mmoja hivi undugu wa Mbali kidogo. Tulidumu Kwenye mahusiano kwa miaka miwili yeye akiwa anakaa...
Kwa hili isiyo ya kawaida nimebaini Bosi wangu anatembea na mke wangu .
Bosi amekuwa akinipa safari za kikazi mara kwa mara mikoani kumbe anaitumia hii nafasi kutembea na mke wangu.
UMEOA? Jivunie mkeo/mwanamke wako, 'Feel Proud Of Your WIFE' na kamwe usione hatari kumsifu mbele ya Macho yake, usijiulize mara MBILI kusema "NAKUPENDA MKE/MPENZI WANGU MZURI"
Tambua, amefanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.