Mahusiano yalinitesa sanaa Nikawa wakulialia Nikashindwa ku move on kutokana nilikuwa kipofu sikuona Mlango wa kutokea Nililuzi concentration baazi ya Mipango yangu na Mambo yangu kiujumla...
KUPENDA KUTEMBEA NA MIPIRA YA KINGA
Ukiona mpenzi wako ana tabia ya kubeba kondomu kwenye pochi yake au mfukoni kwa kisingizio kuwa anajali, elewa kwamba yuko katika mahusiano na mtu mwingine...
Habari wanajamvi,
Bila kupoteza muda, hivi karibuni nimejikuta kwenye mateso ya kimapenzi baada ya kuhitilafiana na mpenzi wangu.
Jinsi ilivyokuwa
Nina mpenzi wangu ambaye tumekuwa kwenye...
Habari zenu wakuu, JF ni sehemu ninayoiheshimu na imejaa watu wazima wenye hekima na wanaojitambua natumaini mtanipa ushauri mzuri na wenye hekima.
Nipo kwenye mahusiano na binti 24 years old...
Huyu binti inawezekana kabisa nikaachana naye so soon kama hatokuja na majibu sahihi.
Tume date muda kiasi na nlimwambia misimamo yangu toka mwanzo. Anafanya kazi nami nafanya kazi. Hakuna issue...
Hebu kuwa mkweli hapa katika hili jambo, ukiulizwa Leo kwamba mahusiano yamekupa faida gani au maendeleo yapi unawezaje kujibu
Vijana wengi tunejikita sana na kutumbukia katika hili janga la...
Mbona kama wangu kazidi haipiti wiki hatujagombana japo najijua mi ndo mkorofi,lakini ananikwaza jamani hanipi mda!!!! Mda wore busy tu inawezekana jamani kuongea ni usiku tu, sasa hapa nimempigia...
Mitazamo ya uzuri wa mwanamke siyo ya kudumu, inabadilika kulingana na nyakati.
Enzi za mabibi zetu wanawake wenye mwanya walionekana kuwa ndiyo warembo zaidi. Ikawalazimu bibi zetu kubomoa meno...
Huyo siyo mtu ni kupe, na kama siyo kupe basi hafai kuwa mke, maana hatokuwa msaada kwako.
Ndiyo! Kama ameshindwa kutafuta hela kwa ajili ya vitu vidogo kama hivyo unaoa kwa ajili ya nn sasa...
Mambo vip,
Nataka niende straight kwa point,
Iko hivi nimekua na changamoto ya kutokuachwa kirahisi na mademu zangu kiasi ambacho washkaji wananiulizaga ni mbinu gani natumia mpaka huaga...
Kwa jinsi tunavyochelewa kuzaa. Ni ngumu sana kuipata familia kama hii ya Mama chinedu.
Kama hela ipo kuzaa mapema raha sana.. wote wamezaa wakiwa early 20s.
kwa namna na jinsi unavyo vaa mavazi yako, kwa kauli na jinsi unavyoongea na watu, kuchangamana na rika mbalimbali, kuelewana na watu, na kushirikiana na wengine kwenye mambo mablimbali mathalani...
Hakika hawa wanawake wawili ni watu muhimu sana katika maisha ya mume, lakini kila mmoja mara nyingi huwa anahitaji kuwa chaguo la kwanza, na hapo ndipo shida inapoanzia.
Nadhani mara nyingi...
WanaJF kwema?
Miaka tisa iliyopita nikiwa job kwangu alipita mdada mmoja wa makamo ila kanizidi miaka kadhaa, mi nikamuomba namba baada ya kusalimiana na akanipatia tukaanza kuchat na kuwasiliana...
Nikiwa ndo kwanza nimemaliza darasa la saba miaka ya mwanzoni mwa 90, kuna binti nilimvusha binti ambaye siku hiyo nilikusudia kutumia condom kwa mara ya kwanza. Kwanza sikuwa nafahamu kwa nini...
Habari za usiku wana JamiiForums,
Kwa muda sasa nimekuwa nikiyatafakari mapenzi.
Nilichokuja kugundua ni kwamba mapenzi ni kwa watu dhaifu. Ukitumia akili nyingi kwenye mapenzi nakuhakikishia...
MBINU 6 ZA KUMSAHIHISHA MKEO PALE ANAPOKOSEA PASIPO KUUMIZA HISIA ZAKE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Ukiishi na Mwanamke utagundua Wanawake NI viumbe weñye makosa mengi madogo madogo àmbayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.