Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Hakika sitasahu Hii kitu, Nilijiamini Mimi Mwenywe Nikamuamini Na Huyo Mwanamke,Nikashiriki nae Tendo bila ya kutumia Kinga Nikawa wa moto kwenye Mechi Nachapa Miguu yote Mara Nashika dimba Mara...
4 Reactions
12 Replies
750 Views
Mimi sijawahi kuachwa, sina uhakika sana na uchungu wa kuachwa, lakini kupitia nyinyi nimejiridhisha kwamba mapenzi yanauma na matokeo yake ni kudhoofu afya na roho. Pamoja na karaha zake...
37 Reactions
202 Replies
6K Views
Habari zenu Wana JamiiForums?. Mimi nimekuwa kwenye mahusiano na dada mmoja Kwa miezi kumi sasa. Dada huyo ni mama WA MTOTO mmoja WA miaka mitano, jamaa aliyezaa naye walisha achana siku nyingi...
10 Reactions
61 Replies
4K Views
Familia zilizo nyingi kwa sasa mke, mume hulala kwenye kitanda kimoja 6* 6 , au 5*6 na mkiwa na mtoto mdogo naye atalala hapo. Lakini kwa wazee wa zamani hili lipo tofauti kidogo, babu yangu...
19 Reactions
56 Replies
2K Views
Hii baridi linaloendelea mijini na vijijini linafanya mahusiano yawe ya karibu na ya moto sana miongoni mwa wachumba na wanandoa hasa mapumzikoni usikuwengine hadi , walichuniana lakini hali ya...
2 Reactions
11 Replies
518 Views
Hapo vip!! Nimekuwa nasikia sana huu msemo wa lishangzi. Sifa za mashangazi ni kama zifuatazo. 1. Awe na miaka kuanzia 30 na kuendelea 2. Awe single mother au single kawaida. Kama unasifa...
12 Reactions
180 Replies
8K Views
Ama kweli ibilisi wa mtu ni mtu! Huyu mwamba anataka kuniharibia ila amechelewa kipindi Niko field hospital x yeye alikuwa intern hospital hiyo hiyo, nilitokea kumpenda sana hii ni baada ya yeye...
42 Reactions
164 Replies
8K Views
Ndoa nyingi za sasa zimekuwa zikivunjika kwa sababu mbalimbali ikiwemo wanandoa kuishi maisha ya kuigiza kabla ya kuoana na baada ya kufunga ndoa kujikuta wakifahamiana kwenye uhalisia hivyo...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu mwenzenu nna changamoto Nina mke na mtoto Mmoja lakini kwenye ndoa amani imepotea mke wangu kawa mchepukaji na anaechepuka naye namjua. Sihitaji kuvunja Sheria wa kufanya ubaya na...
9 Reactions
55 Replies
2K Views
Wataalamu wa afya ya uzazi mliopo humu hii inawezekanaje yaani huyu mtu kanitia stress binafsi nimekataa.
15 Reactions
81 Replies
2K Views
Uwezi amini jamani, nina mdogo wa mwisho anamika 27 miaka mitano iliyopita alipata mtoto wa kiume. Ila aliyempa ujauzito baadae alioa mwanamke mwingine. Mwaka jana mwezi wa 8 alimpata kaka mmoja...
89 Reactions
674 Replies
38K Views
Habari zenu, Kuna wanawake wanajisafisha sehemu za siri kila siku kama mtu anavyopiga mswaki meno yake. HUU NI UJUMBE WAO TOKA KWA DAKTARI, "Mwanamke Anaejisafisha kila siku kwenye sehemu ya...
10 Reactions
27 Replies
2K Views
Kuna wanaume wengi Sana wanapata tabu na vibomu vya wanawake, na wamekuwa wahanga kweli kweli. Sasa leo nataka kutoa mbinu za kukwepa vibomu hivyo bila kuathiri ukaribu mlio nao . Pia Kama...
7 Reactions
51 Replies
5K Views
Yaani ukiwa handsome hutumii nguvu nyingi, unaweka miadi na mtoto, ukikutana nae, ukivuta tu anakuja kifuani hana pingamizi. Mwishowe anafunguka kuwa alikuwa nakuelewa sana alikua akikuona...
22 Reactions
171 Replies
5K Views
Basi kama ni hivi, nimekatiliwa sana😅
2 Reactions
49 Replies
839 Views
Baada ya kuwa mbali kimajukumu... Nilipata simu pendwa ya Mama Alpha. Mama Apha; Mume wangu siku ya Jumamosi nitaenda Dar kumfanyia Shoping ya hapa ndani. Mimi(mume); Aah sawa usijali na je...
14 Reactions
55 Replies
4K Views
Habari za humu wadau, mimi ni kijana wa umri wa miaka 27, mkazi wa jijini Dar es salaam. Nimepanga na nina kazi. Moja ya malengo yangu nikuwa ikifika mwisho mwa mwaka huu niwe tayari na mke au...
10 Reactions
65 Replies
2K Views
Huyu rafiki yangu (mchepuko) ana ujauzito wa miezi miwili; baada ya kumuona jana jioni hana mishe, nikaamua kumpigia simu ili nimtoe 'out' angalau tukapige kitimoto na maji ya dhahabu...
11 Reactions
93 Replies
2K Views
Eti kuna dawa yakumpata suggar daddy??
6 Reactions
54 Replies
1K Views
Ni mwanamke wa 28 yrs anapendwa sana asipopapenda na maisha ya huku asipopapenda mwanaume ni jobless msomi aliekosa ajira tangu ahitimu 2018 maisha ni ya vibarua lakini kaka anamsihi dada waoane...
2 Reactions
12 Replies
585 Views
Back
Top Bottom