Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Ndio maana " Kataa ndoa & co" wanasema " ndoa ni utapeli"
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Unakuta ndugu zako kabisa wa kuzaliwa nao, achilia mbali hao wa upande wa baba au mama mnakuwa hamna maelewano mazuri; kupeana fursa hakuna, wakati mwingine ata kujuliana hali mpaka mtafutane...
23 Reactions
109 Replies
4K Views
Wakuu, haya maisha yanafunzo. Niliwahi kuwa na mahusiano na binti mmoja tukapata mtoto mmoja, maisha yakatuchanganya, tukaachana, Kila mtu akaendelea na Maisha yake! Mtoto aliniachia mawasiliano...
48 Reactions
262 Replies
11K Views
Kuna mke, kuna muke, kuna mke mkeni, mke mke wenu, mke mke wao, mke mkeo, mke mke, kuna mke mkeka, mke mkemia, mke mkeketwa, mke mkimbizi, mke msindikizaji ,mke mdangaji,harafu kuna hii mke...
5 Reactions
23 Replies
629 Views
Salamu wakuu. Asee leo nina mzuka wa kutoa stori ya wrong number. Asee katika miaka yangu ya ujana sina kazi ila najishughurisha tu na mitikasi ya mtaani, sasa sku moja nimechil geto nikasema...
17 Reactions
32 Replies
4K Views
Mahusiano ni mchezo wa kutafutana ambapo kwa washiriki wa mchezo huo wengi hawajui nani wanamtafuta ndio maana unakuta hawa leo wanapendana ila kesho wanaaachana kwa sababu kuwa hawaendani sasa...
7 Reactions
85 Replies
2K Views
Kama mada ilivyo... Huyu binti alimtumia mume wangu sms akamwambia I mess you. Awali niliipuzia kwamba anawasiliana na wanaume wake na lugha yake ya kukosea I miss you atakuwa amemess kweli...
18 Reactions
151 Replies
5K Views
Wanaume tumeumbwa mateso, Moja ya mateso ni kumfikisha mwanamke kileleni na usipomfikisha haijarishi hisia na anawaza nini lawama ni kwa mwanaume. Unaoa mwanamke kashakuwa na wanaume zaidi ya 10...
28 Reactions
186 Replies
8K Views
Nadhan moja majukumu ya wazazi yanayoendelea kupotea ni wazazi kuwatafutia watotot wao wachumba wa kuoa au kuwaoa, binafsi nadhan utaratibu huu urudishwe tena upewe nguvu zaidi hasa kwa watoto wa...
18 Reactions
169 Replies
14K Views
Mitaani huku tunapoishi mtakuwa mashahidi kuna pindi inatokea unaelewana na jinsia tofauti ya yako KIURAFIKI tu.. Kwa mfano kuna mmama mkubwa anauzwa grocery na wewe ni mteja ukifika mnatia stori...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Inakuwaje Wanajukwaa Mimi Fene ni jamii ya watu fulani wakimya kidogo kwa wasionifamu (wenyew wanadai hivyo) japo mwenyew naona nipo normal tu Ssa Kuna baadhi ya traits nilizo nazo, mwenyew...
7 Reactions
21 Replies
648 Views
Civilization ni kiashiria kizuri cha intelligence wenzetu wametupiga gap katika vitu vingi Moja wapo ni hili la self contained room japo hata sisi kwa Sasa tumeamua kwenda nao sambamba ila...
3 Reactions
21 Replies
946 Views
Tayari uhusiano huu umezalisha watoto watano. Wakuu tupeane maujanja ya namna ya kutoka kwenye mahusiano haya na matokeo yake (yote mazuri na mabaya) ya kuachana huko. **Sitaki ushauri wa...
8 Reactions
101 Replies
3K Views
Yani huyu wakuja kabla hajaja mimi na mama yake tulikuwa tunaishi vizuri Kidume nilikuwa nalala mapajani, nafanyiwa scrub mwili mzima na kukumbatiwa muda mote Lakini ghafla toka huyu jamaa...
37 Reactions
64 Replies
3K Views
Sina haja ya salamu ila nataka tu kuwakumbusha ndugu zangu wa kiume ukiona unatumia nguvu kubwa ya kifedha kuendesha mahusiano jua tu huyo mwanamke hakupendi. Mahusiano sio magumu wala sio ghali...
17 Reactions
102 Replies
2K Views
Wanabodi, najua humu kuna wajuzi wengi sana kwa heshima ya JamiiForums. Kuna jamaa yangu (si Mngoni) lakini alikuwa na demu wa Kingoni tena daktari kitaaluma lakini akiwa amevuka kidogo umri wa...
5 Reactions
64 Replies
3K Views
Alinifumania lile fumanizi ambalo halina kupinga! Yaani, fumanizi la 100 percentage... Zikapita siku mbili hanitafuti, nami nikawa kimya na mawazo sijui naanzia wapi kujitetea. Nikaona isiwe...
16 Reactions
90 Replies
3K Views
Huwa najiuliza mimi, au ndo kutokujua au ni ushamba ,sijui kibeseni mimi. Naonaga watu wengi ili kuonyesha kwamba anampenda mke au mpenzi wake, utaona wengine wanabusiana. Wako wanaowabusu...
2 Reactions
9 Replies
743 Views
Mimi nataka kupungua nirudie upotable wangu sasa nitafanyaje niwe kadogo tena, sina mtoto mie kanene tu.
11 Reactions
128 Replies
3K Views
Back
Top Bottom