Tuwiane radhi mno na isije kuchukuliwa kuwa naandika mambo yasiyofaa kwa kisingizio kuwa kuna watoto, lakini tukumbuke kuwa hii ni JF where we dare to talk openly!
Kila mtu ana changamoto nyingi...
Unakuta mdada anapendwa sana na kijana ana mshawishi Kila siku ampeleke kwao kumtambulisha Ili taratibu zingine za ndoa zifuate lkn unakuta mdada hampendi kabisa huyo kijana lkn huyo mdada Mahali...
Zingatia sana unapoanzisha mahusiano mapya
Kila mwanaume anatarajia kupata sex kutoka kwa mwanamke wake.
Ladies, Mwanaume anapokutongoza, moja ya kitu anatarajia kutoka kwako ni SEX.
Hivyo...
Wakuu hawa madada Poa sio Poa kabisa yaani Mimi mkulima wa ufuta ambaye almost miezi mitatu napambana na ufuta wanitapeli na kuniibia madada Poa wa morogoro wale washamba? Kweli simba ni simba...
Mwenzenu nimejifunza sasa na nimekoma kwa yaliyonitokea, nimekuwa na mahusiano
na wadada tofauti katka nyakati tofauti, lakini kitu kimoja tu kinafanana katika hao wote
ninao kuwa nao nacho ni...
WAZUSHI WAKIKOSA UBAYA WAKO BASI WATAZUSHA, NI FURAHA YAO KUONGELEA MABAYA TU YA WATU 😔
Kama wewe ni yule ambaye unataka kujibu kila mtu basi jua utajichelewesha .
Kama wewe ni yule ambaye...
Maisha haya tabu tupu.
Kuna binti mmoja anafanya kazi hoteli fln hapo mlimani. Huyu nilimuona mara moja tu nikamtamani, baada ya kunihudumia nikamuachia tip nzuri tu na wala sikuchukua namba...
Kuna watu wanahitajika haraka kama Kuna anaewafahamu awajulishe
Jonas msimba
Jovin festo
Aziz mwaliko
Samuel Bernard kamonga
Denis tinanzila
Natanguliza shukrani
Mara pap umepata demu anayekula sana sana. Umemualika demu home halafu ukajipinda kupika . Kufika ukamkaribisha kidogo , kafuta chote , unaremba remba anapiga na ya sahani yako. Je utaaendelea...
Baada ya kukuchunia kwa muda mrefu unafanikiwa kumshawishi akusamehe, anaridhia, anakutamkia kwa sauti iliyojaa upole na mahaba "Ila baby usirudie tena"
kinachofuata hapo mnaangaliana machoni...
Kama kawaida ndugu yenu hapa ninaewapenda na kuwajari. Ni hivi leo ni siku nyingine ya maumivu kwa wanaume wagai gai kwenye sector ya mapenzi.
Ni hivi leo tena naenda kulamba kibuyu cha mchumba...
Nimeoa na nina mtoto na dini yangu inaniruhusu kuoa mke mwingine kuna mwanamke nampenda sana niliwah kuwa nae kwenye mahusiano zamani ila nae alisha olewaga akapata na mtoto ila wakashindwana na...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!
(Ukistaajabu ya Musa utayaona ya silent killer leo.)
Sasa baada ya ile post nikapata PM, sio PM ya kawaida naweza iita THE PM...
Ilikuwa juzi majira ya saa 4 asubuhi nipo home, ikaingia message ya mshkaji mmoja hivi inasema "nina shida nisaidie 300k mpaka kufikia saa 1 night ntakuwa nishakutumia pesa yako"
Kuna pesa...
Moja ni kuwaalika ndugu zangu nyumbani kwangu ambapo watoto wangu wanaishi na sio ndugu zangu tu hata ndugu wa mume.
Kingine marafiki , wachungaji ,mazoea sitaki.
Majirani wote siwataki kabisaa ...
Katika kijiji kidogo cha Mlimani, alikuwapo kijana aitwaye Juma. Alikuwa na ndoto kubwa za kuja kuwa msanii maarufu wa muziki. Alipokuwa shuleni, alikuwa akiimba nyimbo za mapenzi na za kijamii...
Ndg wana MM,
Kwa uzoefu nilioupata baada ya kuishi hapa duniani miongo kadhaa nimegundua kuwa watu wenye majina kama Shida, Tabu, mawazo, siamini, Mwaka mbaya, Sura mbaya, Sikitu, Tatizo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.