Anonymous member
Mpendwa wangu naomba nipelekee nipate ushauri, mimi ni mwanamke wa miaka 27 nipo kwenye mahusiano na mkaka, mahusiano yetu yana mwezi na wiki mbili, nilikuwa nampenda huyu kaka...
Amini nawaambia, ukiwa na hamu akili kichwani pia zinapungua. Yaani kama ni mwanaume kichwa cha juu hakifanyi kazi vizuri, mpaka cha chini kipate haki yake ndio akili zinarudi.
Angalia hata...
Nishauri nimpende nani??? Maana sina mtu wa kumpenda. Kiukweli, sijui nimpenda nani, maana nikimpata mtu na kuwa serious naye, huyo anakuwa haeleweki.
Situngi wala siungiwi, nasiact kweli. Miaka...
Wakuu sijui ni matatizo ya kisaikolijia au nini wakuu labda nyie wakuu mtanisaidia kwakweli yaani tarehe kama hizi za mwisho wa mwezi wa mshahara upwiru inaongezeka na drive ya Kula mbususu...
Kheri ya pasaka waungwana!
Ningeanza na kusema kwenye kila jambo kuna pande mbili za shillingi.
Katika pitapita zangu nyingi nimegundua kuna uzi nyingi katika jukwaa hili la MMU...
Nimepotezana nae mwaka 2015,
Na 2017 mumewe akafariki dunia kwa ajari ya pikipiki akiwa anaenda kazini.
Mumewe alikuwa anaitwa ADAM alikuwa mrefu mweupe alikuwa ni fundi wa vyombo vya moto...
Mara nyingi mwanamke uolewa akiwa na 23 mpaka 27 ni mara chache sana kukuta mwanamke mwenye nia ya kuolewa akiwa na 30+
Kinachopelekea wanawake kuchelewa kuolewa ni nini?
Tabia? Mwonekano? Au nini??
Natumain mna afya njema
Kuna namna malezi yanakuwa magumu Kwa walezi wa kiume hasa kubadilisha fikra za watoto wao na kuthaminika Kwa watoto wao japo walijitahid kufanya hivo ila hawakuzngatia...
Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari,
Kama kuna mambo ambayo yamekuwa ya yakiwatesa na kuwasumbua wanawake ni kuchelewa kuolewa na kuchelewa kuzaa.
Tukianza na hili jinamizi la kuchelewa...
Ee bwana eeh, ilikuwa ni mwaka jana ambapo niliamua kuhama kutoka mtaa X, kwenda mtaa X,. Nilifanikiwa kupata gheto kali, ile nimefika tu nilipokelewa na binti mrembo na yeye ni mpangaji wa hapo...
Katika moja mbili tatu ya aina za wanawake niliokutana nao kimwili, kiukweli huwa navutiwa mno na wanawake wenye michirizi ya kutanuka, kizungu wanaiita “stretch marks”.
Sio mabonge, wengine ni...
Hakuna mwanamke yoyote nyuma ya mwanaume mwenye mafanikio zaidi ya mama yake na uyo mwanaume.
Mwanaume usidanganyike na huo msemo wa kijinga. Hata uyo mwanamke ambae upo nae nyakati za kujitafuta...
Huu msemo wenu wa "tafuteni hela wanaume ili mmiliki pisi kali" hua nauona ni msemo wa kijinga tu, binafsi naipambania pesa kwaajili ya maisha yangu mimi na si ya malaya, mnasujudu ngono sana...
Inachukua muda gani mwanamke kuenjoy tendo la ndoa baada ya kubikiriwa?
Nilimsikia mwanamke mmoja akisema inachukua miaka 3- 5
Niliistaajabu!! Huyu mwanamke ni wakawaida au?
Mimi ni muajiriwa katika sekta ya umma mke wangu sio mwajiriwa yaani ni mama wa nyumbani. Tuko kwenye ndoa ya kikristo kwa miaka 14 na tumejaaliwa watoto.
Ili kupunguza ukali wa maisha na kuondoa...
Katika kujaribu huko na mle duniani sikutaka kabisa kuhadithiwa tu.
Basi siku moja nikiwa kijiweni tunapiga story za mademu mara paap jamaa kaingiza kuhusu mkongo.
Jamaa aliunadi sana akisema...
Napita kwenye mtando fulani kupitia kipindi cha chanel 5 kikimuonesha Joyce Kiria yaani aliyokuwa anayaongea kama kuna wanawake wanao sikilizaga kile kipindi cha ze dada huko mtapoteza mahusiano...
Watu wanasema wachaga wanapenda pesa, ila ukweli na utu wanao sana, sitaki ku generalize kwenye ubaya wala uzuri.
Katika harakati za ujana, nilikua na mahusiano na mrembo mmoja, ni mzuri kweli...
Niliwahi kuleta uzi humu kuwa ukitaka kujua wazee wa ovyo wanaongezeka kwa kasi nenda harusini..
Leo nimeona clip mtandaoni baba anamwambia binti yake kuwa ole wake siku alete kesi kwake kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.