Hawa wanawake sijui wana matatizo gani huku duniani, ukiwaza sana unaweza ukasema labda hawa wanawake ndio wapinga kristo wenyewe kabisa (wadada mnisamehe bure ila huu ndiyo ukweli).
Vijana...
Wanawake wa tanzania sijui ni asilimia kubwa yani ukiwa na pesa ni kama wanaona ndio mtu sahii ijalishi umezalisha, baba wa familia, unamagonjwa na mengine.
Na kibaya zaidi kila mwanamke anataka...
Watu wengi wamekuwa wakifikiria kuwa labda nitaoa Waziri mmoja kati ya Mawaziri wanawake. Na hii imekuwa ikizushwa kwa kuwa nimekuwa peke yangu kwa muda mrefu.
Kimsingi Mimi siwezi kuoa Waziri...
Huwa namuonea huruma tu nikiwaza kama atakutana na nani, nani atakua mume wake, je? Atakutana na fedhuli au atapata noble and wise man.
Tatizo ni hivi, siku za karibuni kwenye mtandao fulani wa...
Huu ni Utaalamu mwepesi wa jinsi ya Kumvuta Mpenzi wako ambaye aidha hakupendi au amekutoroka.
Utaalamu huu utakupa uwezo wa kuvuta Mapenzi ya aina yoyote kwa Mpenzi wako, Marafiki zako...
Kuna mrembo mmoja nilitokea kumpenda, na katika harakati ikapelekea tukapata mtoto naye.
Nilimpenda kutokana na muonekano wake, achilia mbali ni mtu anayependa sana mambo ya urembo urembo.
Pia...
Chukulia huu mfano:-
Dada yako ameolewa na John, na wakabahatika kupata watoto wawili; na watoto hao wanasoma shule ya msingi bweni.
Baada ya siku kadhaa, dada yako akaugua na umauti ukamkuta...
Hili ni swali kwa Malegendary na kwa wanawake smart kichwani, hivi imefika hatua mwanaume unaona dhahiri kwa sababu zako binafsi na za msingi mke wako apate msaidizi, ni mistari gani ambayo...
Hivi kwanini wanaume hupenda kuangalia maziwa ya mwanamke. Hii tabia inakera sana unakuta mtu unamheshimu kama kaka au ndugu, wakati wa kuongea nae badala ya kuweka concetration katika kile...
Kuna vitu vinatafakarisha sana hasa ukiwafikiria vijana wanavyodai na kumchukia mwanamke msaliti, sasa tuweke sawa, ni hivi kuna baadhi ya wanaume tunasemaga, ukimkuta mkeo...
Mwaka 1994, Mwamba wa kuitwa Gabriel alikutana na mrembo Christina katika party moja huko jijini New York, Marekani.
Walipendana na wakaamua kuoana, ingawa Gabriel alimzidi umri christina kwa...
Wakuu kuna jambo linanitatiza.
Nimekuwa na mahusiano kwa miaka miwili sasa huyu mwenzangu anataka tuchukuane kimya kimya (sogea tuishi) pasipo ndoa rasmi. Anaeleza kuwa baada ya mimi kwenda kwake...
Baada ya kukaa kwenye ndoa kwa miaka miwili Ally alitaka kuoa mke wa pili, Mama yeke alimuuliza sababu akasema kuwa mke wake kabadilika sana, tangu amekuoa amekua mtu wa kisirani, mtu wa...
Baada ya kuniacha kwa mbwembwe akijua nitamtafuta, na sikumtafuta; augua presha na kulazwa.
Ndugu na jamaa wakawa wanamuhoji, ''equation x ni nani, na hatutaki tena kumuona akiwa na wewe, ona...
Habarini jamani,
Kuna binti niliwahi kuwa katika mahusiano nae miaka ya nyuma kipindi tupo secondary lakini mahusiano yetu yalivunjika mara baada ya sote kujiunga na chuo
Kwa sasa ni mke wa mtu...
Hello how are you!
Kama nilivowagusia kwenye uzi wangu ulopota.
Baada ya kupata mishe mkoa wa Tanga nilifanikiwa kukutana na kufahamiana na watu wengi wafanya biashara hasa hasa.
Miongoni mwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.