Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wakati nimehamia sasa hapa mkoani Mbeya ilifika kipindi bwana nina ugwadu hatari, sina mke wala demu. Katika pita pita za hapa na pale nikasikia kuwa pale njiani majira ya usiku kunakuwa na...
153 Reactions
464 Replies
136K Views
Kuna wadada wazuri tu wametulia lakini hawana bahati ya kupata wachumba, in short wana uhaba wa kupendwa. Inafika wakati wanakiona wana gundu na kujichanganya kwa liwalo na liwe. Kuna mmoja...
26 Reactions
202 Replies
6K Views
Yani hii generation yetu imeharibika. Wanaume wanaojitambua na wapo tayari kuoa ni wachache na wanawake wanaojitambua ambao wako tayari kuolewa ni wachache, waliobaki wote ni vichefuchefu...
7 Reactions
16 Replies
931 Views
Nachukua fursa hii adhimu kuwajulisha kuwa yule kipenzi cha wengi Passion Lady amejaaliwa kumleta mwanaume wa shoka duniani. Niwapongeze wadada na wamama wote kwa niaba yake. Pia wakaka na wababa...
9 Reactions
234 Replies
13K Views
Jana nilikua date na pisi moja classic, strokes nlizopiga mtoto wa watu kaamka anacheka cheka tu na kung'ata vidole. Hapa nimefungiwa ndani sijui hata funguo ipo wapi, na ni apartment yangu...
12 Reactions
46 Replies
1K Views
WITH UPDATES*** Kifupi mimi naishi countryside na huko Dar nilisoma tu mavyuo na hivyo mimi siku hizi huja kwa kupumzika na matembezi mafupi kwenda znz nk au kufanya deal moja mbili tatu kisha...
20 Reactions
127 Replies
18K Views
Wakuu habarini👋 Naomba kupewa maelekezo na walio kwenye ndoa au watu wenye uzoefu wa maswala haya. Je, hivi ni sahihi mwanamke unayemchumbia awe mke wako kukuuliza kwamba unafanya kazi gani...
5 Reactions
43 Replies
2K Views
Kumekuwa na tabia au hali ya wanawake wengi kupiga kelele au unaweza kusema kutoa sauti wakati wakishiriki tendo la ndoa. Hali hii imeacha maswali kama kutoa huko sauti ni jambo la asili au ni...
23 Reactions
397 Replies
120K Views
MWAKA WA TISA HUU SIJAMPIGA WALA KUMNYOOSHEA KIDOLE WALA KUMTUKANA BINTI KIMOSO Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Miaka tisa siô mingi Sana làkini pia kwèñye mahusiano ya mapenzi hasa nyakati...
4 Reactions
14 Replies
749 Views
Habari yako, Mimi ni binti wa miaka 23, nipo chuo mwaka wa pili. Kuna kitu kinaniumiza sana kichwa kiasi kwamba kuna muda nashindwa hata kusoma vizuri. 🥹🥹 Kuna mkaka mmoja tulikutana tu kawaida...
12 Reactions
72 Replies
2K Views
Hili jambo leo yanipasa nilitolee uvivu. Wengi wanasema uzuri wa mwanamke ni tabia, hii si kweli. No, big no Vijana wa kileo wanasema uzuri wa mwanamke ni sura au ukubwa wa kalio, hii si kweli...
15 Reactions
85 Replies
6K Views
Natumaini jumapili ya leo ni njema kwetu sote. Katika harakati za kutafuta mwenza wa maisha, nimefahamiana na binti mmoja wa Kilokole ambaye ni mtoto wa Mchungaji wa moja ya Makanisa ya...
26 Reactions
302 Replies
10K Views
Kuna mwanamke nmekuwa nae kwenye mahusiano takribani mwaka na nusu na malengo yangu mwez wa 12 nikatoe mahari kwao, tulikuwa tumeshatambulishana kwahyo kwao wananifahamu na kwetu vile vile...
29 Reactions
78 Replies
3K Views
Baadhi yetu tuna kumbukumbu fulani za mpenzi yule ambaye unajuta hadi mtondogoo kwanini hamkuoana. Mlipendana, mlipeana, mliliwazana, mliinuana hadi familia ziliweka alama za tiki. Kila mtu mtaani...
14 Reactions
51 Replies
2K Views
UGENINI JITAHIDI KATI YA RAFIKI ZAKO BASI AWEPO MBEA MMOJA NA MROPOKAJI MMOJA WATAKUSAIDIA KIJASUSI. Yawezekana ukaona ni kinyume kwa sababu wengi husema hao marafiki hawafai ila kijasusi wanafaa...
4 Reactions
8 Replies
720 Views
Uraibu ni hali ambayo Ina patikana wakati ambao Roho au mwili, unataka mno kuwa na hisia fulani. 👉Kiasi Cha kuwa na matatizo kutekeleza shughuli fulani, mpaka upate hisia inayo lengwa. Kwa miaka...
23 Reactions
172 Replies
5K Views
Wadau, Nimekuja kugundua nilikosea kuoa baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 15 na kupata watoto wanne. Dah nilijichanganya nikaoa a Corporate lady ambaye alikuwa mwanasheria kule Arusha, alikuwa...
269 Reactions
3K Replies
249K Views
Habari za mda huu Wana JF, Mimi mdogo wenu katika ujenzi wa Taifa lakini pia ni mgeni katika jukwaa Lini nimeandika ivi kuomba ushauri na kujua ni vipi ww ulikabiliana nalo ili tatizo! Nipo chuo...
4 Reactions
128 Replies
9K Views
Moja kwa moja kwenye kiini. Jana nimepokea simu kutoka kwa jiran yangu mahali nilipokuwa naishi.Jamaa ni mtu mzima anakaribia 47 ni vile tu anajitunza na hela ya kula haimsumbui kwa hiyo...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Back
Top Bottom