Naleta kisa kimoja au viwili kutetea uzi wangu.
Baba mmoja mtumishi wa mamlaka moja ya serikali ana kawaida ya kumpa mke Tsh. 300k ya matumizi yake binafsi kama mke kila anapopata mshahara. Hiyo...
Natoa CODE kwa wanaume wenzangu mnaotaka mpate heshima kwa wake zetu, ni rahis tu.....hakikisha mkeo unamzidi kila kitu, umzidi Elimu, kipato, uelewa, maarifa, kimo, umaarufu, umaridadi, ujasiri...
Habari wa JF.
Mwezi wa tatu unakimbia kwa kasi sana.
Hivi ulishawahi kuwa kwenye mahusiano na mtu usiyempenda kabisa tena kwa muda mrefu. Au hata kuingia naye kwenye ndoa.
Binafsi ishanitokea...
Aliolewa miaka miwili iliyopita(2017),miezi miwili baada ya kuolewa mumewe akahukumiwa miaka 40 kwa makosa la unyang'anyi wa kutumia nguvu na makosa mengine(alimuoa akiwa nje kwa dhamana)
Bibie...
Naweza nisiwe katika jukwaa maalum ila nina maswali ninataka nipate majibu yake.
Kwa mgonjwa wa moyo, anaweza kufanya mapenzi na mkewe? Kama ndiyo, ni kwa utaratibu upi? Kama sio, jawabu ni nini...
Ukifuatilia sana utakuta wengi wamepiga punyeto bila kujua mbeleni watapata madhara, hasa wale wanaotumia sabuni zile zenye kemikali zikiingia kwenye mrija wa uume baadae utasikia maumivu makali...
[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]leo nmelia sana mpaka sasa sina usingizi siku yangu naiona ndefu ni kama miaka mpaka siku hii kuisha[emoji24] [emoji24] [emoji24]...
Naandika wosia huu kwa vijana wenzangu baada ya kupona maumivu ya kuachana na mwanamke niliempenda sana miezi kadhaa iliyopitaa ila kitu nilichojifunza mwanamke akionekana ameonesha dalili...
Haloo waungwana,mimi nilikuwa na mpenzi wangu ambaye kwa kifupi nlilimpenda muno.nilikutana naye chuo miaka madhaa iliyopita.mara baada ya kuhitimu kila mmoja alienda kwao nahapo ndo shida ikaanza...
Alijifanya kidume, anajua kupigana. Kanipiga kofi na teke la mbavu bila sababu za msingi, nikasema hunijui wewe kama na mapenzi yaishe tu. Nikaenda kumchukulia RB, polisi wamemkamata wamemlaza...
Tuache upumbavu wa kusema "NDOA NI UVUMILIVU" .... Wanawake wengi wamepoteza kazi, ndoto zao na hata wengine wamelemazwa kabisa kwasababu ya huu upuuzi wa kusema "NDOA NI UVUMILIVU" ..... na kuna...
Kuna binadamu ni wanafiki sana na wanapenda kufanya maigizo Kila kunapokua na issues za Wapenzi na mapenzi ambazo zimepelekea vifo.
Ninaamini waumini wa statement hii "mkichokana achaneni kwa...
Mwanaume sikia hii uwe mume bora
Mwanaume nguvu zako ni kwa ajili ya mke mmoja siyo wanawake wotee
Mithali 31 :3
Usiwape wanawake nguvu zako :
Mungu alimpa mwanaume mke huyu mmoja kwenye...
Mkoa nilipo hapa kuna msichana ambaye tumetoka mkoa mmoja, kijiji kimoja yeye ameolewa huku, mimi bado sijaoa. Tumekaa muda mrefu bila mimi kujua kama na yeye yupo mkoani hapa ila yeye anajua...
Habari wana jukwaa
Naomba msaada tafadhali wale waliomaliza Chuo bila kua na mahusiano ya kimapenzi waliweza vipi? Na wale ambao walikua na mahusiano lakini baadae wakaacha na wakamaliza single...
Kuna watu wakituona sisi tunaandika kuhusiana na life wanadhani sababu hatuji proud sana basi hatuna kitu.
Mi nipo vizuri pesa tu ndo basi zijazipata kwa kipindi hiki. Ila nipo handsome sana tu...
Eeeh bwana ehh ni Mimi Mr. Liverpool Tena.
Weekend hii tumempiga Manure na nyundo Kali sanaa mpaka kapoteana.!!
Sasa jiulize ile ilikua Old Traford, je wakija Anfield..!!!
Turudi kwenye mada...
Hiki kisa nimekichukua FB asee
Mimi ni mama wa watoto 2 mimi na mume wangu tulikua vizuri shida ni huyu mwanaume ambaye niko naye. Nimfanyakazi mwenzangu na ni mume wa mtu.
Mwanzo mahusiano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.