Hakikisha sana unaoa Mwanamke mcha Mungu. Mwanamke ambaye ataibarikisha familia yako. Atakuombea na kusali pamoja
Atawafanya watoto wako wakue wenye Hekima na Maadili..yaan mtoto anakua anajua...
Wadau uzi una pichaaa.
Kumbe nilikuwa nateseka kupata mbususu za bure, ila kuishi na watu vizuri nimepata knowledge mbadala mdau alisema niende sehemu wanapouza minazi, balimi, mbege, ulanzi au...
Naomba tu niseme kuna wakati kwenye maisha huwa hatutegemei baadhi ya mambo yatutokee ila inabidi tukubaliane na hali halisi.
Najua humu kuna watu tunajuana nao personally kiundani sana and am...
Ndugu zangu mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35. Niliumizwa sana na mwenzangu baba wa mtoto wangu na nimeachana nae miaka 12 iliyopita.
Mtoto yuko Form One, baba hana hata habari nae, lakini...
Sijui ni shida au hali ya kawaida;
1. Sipendi kabisa sherehe zinazonihusu, ila za wenzangu nachangia ila nadra sana kuhudhuria eg, gratuations, harusi, etc,kifupi sipendi attention.
2. Sipendi...
Kwakweli hii kitu imekuwa kawaida kabisa kwa sasa.
Wadada wetu tena wengine kwa kupenda wenyewe kabisa wanaruhusu kufanyiwa mchezo huu. Najiuliza tatizo ni nini hasa?
Ni mfumo wa maisha...
Baada ya kujitunza kwa muda mrefu (mashallah),takribani week 3 zilizopita nikampata kijana mmoja tall, handsome, then black (Mungu anajua kumbaa mashallah) baada ya kunitaka kwa kipindi kirefu...
Habari zenu wanawake wenzangu wa MMU.
Karibuni tujadili changamoto zinazotupata kipindi ambacho wapenzi wetu wawapo mbali, kikazi au kwa shughuli yoyote ile inayowafanya msionane kwa mda mrefu...
Habari za muda huu wana jamvi
Naandika uzi huu nikiwa kwenye daladala nikirejea nyumbani kutoka kwenye "mihangaiko" ya Kila siku
Ndani ya daladala nmekaa karibu na wakina mama wawili...
Natanguliza salamu,
Kumekua na mitazamo tofauti tofauti katika suala la mwanaume kuoa.
Nimeleta kwenu nikiwa nataka kujua upi ni mtazamo sahihi na unaoendana na dunia ilivyo kwa sasa..
Nawasilisha.
Hey guys hope mko poaaa
Huyu mwanaume ambaye nipo nae kwenye mahusiano amenufukuzia almost miezi 3 muda huo namchunguza tabia zake.
Kidogo kidogo nikaanza kumzoea na hatimae nikampenda(ile...
Hakuna muda wa kuremba maneno
Mwanamke yuko tayari kuishi na mwanaume hata asiyempenda ili tu atimize hitaji lake.
Ukikamuliwa sana pesa hupendwi.
Jamaa mmoja alikuwa kila akipata shekeli...
Kama wewe sio mtu wa pande hizo, acha kabisa mawazo ya kuoa huko:
Kwa kina Mura - Wakurya na wenzao Wajaluo (huko kuna ubabe, vurugu, na utemi mwingi kwa pande zote, wanaume na wanawake, ndiyo...
Wakuu siandiki thread hii Kwa lengo la kukashifu au kutweza mtu au kabila la mtu.
Iko hivi
Miaka 10 au zaidi kidogo iliyopita nilijikuta kwenye huba zito na binti mmoja pale Arusha mjini.
Bint...
Hello,
Utakuta uko na mdada kwenye environmental setting moja, mnaanza kuzoeana, mdada atakachofanya ni kuwa ata-flirt na wewe, ataweka idea of sex mbele yako, mwanaume ukijaa, mizinga inaanza...
Ndoa ni tamu,ndoa ni paradiso,ndoa ni utajiri,wanaosema ndoa ni ujambazi hawajui codes za ndoa.
Baba yangu alipenda kuniambia "ignorance is the biggest enemy in your life"
mchawi wa mafanikio...
Kuna maisha unapitia unaona shetan mbona akuachi hasa ukiangaalia mapambano magumh ya maisha
Miezi kadhaa niliwahi lala mwenyewe kama miezi 4 mke alilala na watoto akahamia kwa chumba cha wageni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.