Kwanza naomba radhi kwa hili nitaloeleza hapa maana naenda kinyume na codes za kiume "What happens in Vegas stay in Vegas" Sio vizuri sana kuzungumza mambo yako yahusishayo wanawake mitandaoni...
Yule demu Jana nimemmind Sana na yeye anajua aisee! How come demu aingie ghetto halafu ukashindwa kumla? Au alikuwa ananiigizia kwamba nisimuone Malaya? Anyway na nimemblock sasa
Kuna manzi Jana...
Wahenga wanasema ukitaka kupata urahisi wa kufanya jambo lako washirikishe wazee, ukubwa dawa. Wiki iliyopita nilikuwa na wazee wetu kijijini, tulikutakana kwenye ndoa ya kijana mwezetu kutoka...
Nahisi mu buheri wa afya wapendwa,
Ni binti wa kazi wa ndani wa ma mdogo wa kufikia ambaye yeye na huyu mama wana historia ya kutoka kijiji kimoja tena majirani huko nyumbani kwao kijijini...
Wanawake wana mambo ya ajabu sana yaani ni Ngumu mwanaume kumtafuta mwanamke aliyedate nae utotoni au aliyemtoa uschana wake yaani wanaume hua tukiamia kambi mpya hakunaga kutafuta wanawake...
Possibility ya mwanamke mzuri kuliwa ipo juu kulinganisha na mwanamke wa kawaida au mbovu ni jambo ambalo liko wazi kabisa jaribu kufikiria mwanamke ambaye akipita sehemu kila mmoja anapiga salute...
Nimekumbuka miaka kadhaa iliyopita nilikuwa nafanya kazi kwenye kiwanda fulani maeneo ya A-town.
Mida ya 'lunch break' tumekaa nje ya kiwanda tunapunga upepo na kupiga stori mabalimbali,
mara...
Jana katika pitapita zangu mitaani ,nikakutana na pisi moja ya 2000, nikatia neno ,nikakubaliwa, ila nikapewa masharti ya vitu vya kuandaa siku ya kuonana ,namaanisha fedha. Katika kutajiwa...
Nawasalim kwa jina la jmt...
Nilileta thread hapa kuomba ushauri kuhusiana na mama mwenye wangu kunipa wakati mgumu sasa hali naona ndo inazidi kuwa mbaya yani kama moto ndo kama umemwagia petrol...
Yaani unapendwa eeh, kila saa mtu anahisi wewe hurudishi upendo alionao yeye kwako, mara aone wewe una wanawake wengine duh.
Kupendana kuwe kwa kiasi, vikizidi ni kero, kama hujawahi kupendwa...
HII NDIO KANUNI BORA YA KIJASUSI YA KUISHI NA MNAFIKI YOYOTE DUNIANI 😊
Kijasusi jitahidi uwafahamu watu kabla ya wao kukufahamu, na hapo ndipo utagundua WANAFIKI NA WASIO WANAFIKI.
DALILI ZA...
Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?
1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini...
Hapa nipo na msongo wa mawazo, bora nilivokuwa single nilikuwa nina furaha.
Bora hata angenisaliti ningejua cha kufanya(ningeachana nae), ila makosa anayofanya ni madogomadogo ila ni mengi na...
Sianzi na salamu kwasababu hata nikiwasalimia hamuitikii anyway let's go stright to our topic.
Unajua vijana wa siku hizi na baadhi ya watu wamekuwa wajinga sana ila wao wenyewe wanajiona wajanja...
MWANAUME SOMA HAPA KWANZA
1. Starehe ya dakika 3 isikuharibie mfumo wa maisha yako mazima
acha kufanya mapenzi bila kondomu n watu hamjapima bado
acha kunyonya uchi
acha kuwagonga wake za...
Halafu awe
✓Tall🥰
✓Mwembamba kiasi🥰
Nyiee acheniii 🤗
Sitamani Jumanne ifike🤸
BTW: Kama hakutokuwa na mabadiliko tarehe ya ndoa ni 13 July 2024.
I can't wait for shoooo😁😁
Play song for us Mr...
Hellow
Ipo hivi hii hali ninayo toka nikiwa mdogo lakini haikuwa inajionyesha sana kama ilivyo kwa sasa hivi naweza nikawa nimekaa hivi nikapandwa na hasira gafla na kilichonifanya nipandwe na...
Sensa 2022: Ndoa Zimeongezeka Kiduchu, Talaka, Kutengana Juu
💍Wanandoa- 51.4%
💃Hawajawahi kuoa au kuolewa- 32.9%
🛖Wanaishi Pamoja - 5.5%
😢Wajane na Wagane- 4.7%
💔Waliotalakiana- 3.7%...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.