Dear Valentine Babes....😘
Though am tired for the trip but am super exited for the next trip...🥰
I reserve all the stamina for April babes, am hyper than ever.
My eyes are halfway open.
Can’t...
1. Usikope bila mumeo kujua.
2. Kaa mbali na ma ex wako wa zamani ambao ulikuwa nao kabla ya ndoa. Futa mawasiliano yao ukiwezekana.
3. Rafiki au mgeni yeyote wa kiume asije nyumbani kwenu na...
Wanapokutana wapenzi wawili, wanakumbatiana, na kubusiana.Katika kubusiana mmojawao
kwa kuonesha hisia zake nzito za mapenzi hunyonya sehemu yoyote ya mwili wa mpenzi wake.Sehemu maarufu...
Katika ulimwengu wa leo, mahusiano yanaweza kukumbwa na changamoto nyingi kutokana na mabadiliko ya kijamii, teknolojia, na mtindo wa maisha. Mada hii inahusu jinsi wanandoa au wapenzi wanaweza...
Kuna dada mmoja wa kilokole, tunasoma nae hapa chuoni, nimetokea kumpenda tena sana. Lakini huyu dada hanielewi kabisa, yeye mambo ya kidunia hajui hata kidogo. Mitandao ya kijamii huwezi kumkuta...
Shalom,
Mimi kama Chief Mapenzi nina ujumbe wenu hapa.
Tukumbushane au tupeane madini ya kazi kazi au shoo shoo, soup ya kongolo ni baba lao, soup ya kongolo the big dady kwenye shoo kali...
Nilikua nikisikia kwamba msichana akikeketwa (genital mutilation) huwa hisia zinapungua na kusababisha atulie na mpenzi 1 ebhana kipindi nipo home tulipata mpangaji wa kirangi kutoka kondoa tena...
Ukweli mchungu:
Mwanamke ni MTU anayeingia mzima mzima kwenye mahabati kiasi kwamba hata iweje hawezi kuficha uhusiano wake wa mapenzi.
Mwanamke alieolewa akishapata mchepuko utajua tu. Manake...
Shoga yetu mmoja wa mtaani alikuwa anaishi na mtoto wa kaka yake ni binti wa miaka 13 darasa la sita! Huyo dada alikuwa na mpenzi mtaa wa pili sometimes analala kwa dada kwahiyo kabinti kake hako...
Habari wan JF?
Nafahamu asillimia kubwa humu jamvini ni wale wametoka kwenye familia za kawaida.sasa swali langu ni hili.je wakati unaanza mapenzi,umeshawahi kula tunda uchochoroni au vichakani?na...
Hawa viumbe hawana formula hivi wasichana hupagawa na nini haswa kwa mwanaume.
Mgegedo mkubwa?
Handsome?
Six pack?
Pesa?
Akili?
Unene?
Kitambi?
Urefu?
Utundu?
Ubahili?
Starehe?
Usuper star?
Au...
Wadau,
Haya ni mawazo yangu na sitaki kulazimisha mtu kukubaliana au kupingana nayo. Asilimia kubwa ya wadada wa mitandaoni ni waongowaongo na wajanjawajanja sana.
Anaweza kukwambia yupo ubungo...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Kutokana na umri wangu sio rafiki tena. Acha nifupishe. Unapoingia kwenye mahusiano ya mapenzi ambayo unataka yawe serious na au unaingia kwenye ndoa na unataka...
Mimi nilitongoza kwa mara ya kwanza nikiwa na umri wa miaka 16. Je na ww ulitongoza mara ya kwanza ukiwa na umri gani? Na ulikuwa na hali gani wakati unatongoza, kwa mfano mm wakati na tongoza...
🚨🇵🇹 Je wajua kuwa Cristiano Ronaldo hakutakiwa kuzaliwa Na mama yake ?
Alipogundua kuwa ni mjamzito alienda kwa Daktari kwa ajili ya kutoa mimba, kwa sababu familia yao ilikuwa masikini kiasi...
Kuna mambo kadhaa ya kuzingatia kabla ya kumfanya mwanamke kuwa mke wako wa ndoa.
Kwa leo tuangazie matatu tu kwa kifupi ili tuendele na shughuli za ujenzi wa taifa.
Iko hivi, unapotaka kuoa...
Anonymous member
Nyie majeshi msokuwa na vifaa vya vita salamaleko [emoji3526] nataka kuchepuka... Ipo hivi mume wangu alichepuka mwaka jana nikipata sms nkagundua hilo alifuta bahati mbaya/nzuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.