Habarini wana JF,
Nina rafiki yangu wa kike tulisoma nae elimu ya sekondari tulipendana kama marafiki na alikuwa akinipenda sana ila mimi sikumpenda kimapenzi japo ni mzuri,miaka minne imepita...
Habari wadau.
Najiuliza kwa nini vijana matajiri wenye hela wanafanya harusi simple zisizo na michango wala sherehe kubwa zisizozidi bajeti hata milioni mbili.
Mbwana Samatta alifunga ndoa...
1. Mwanaume Kicheche:
Hakuna mwanamke anayependa kuchezewa na wanaume, labda tu kama anafanya hivyo katika juhudi zake za kujikwamua kiuchumi, lakini pale mwanamke anapokuwa katika harakati za...
In most cases, hawa watu huwa wananyege sana.
Kwenda gym kwa ajili yakujikinga kupata hiyo kitu ni kama kuongeza petrol kwenye moto.
Hii sijui kitaalamu imekaaje....
Niwajibu wangu kuprovide lakini naona sasa imekuwa too much, akili inanituma nikimbie, pale nilipoishia watakuja wengine wenye uwezo wa kutoa zaidi yangu.. Wakina dada MPUNGUZE BASI.
This weekend nililetewa kesi moja ya mahusiano kuitatua. Wakati wa maongezo niligundia jambo ambalo lilinifanya niwaze na kujiuliza "Je si ni bora kuishi na mwanaume mchepukaji ila anahudimia...
Mtu yeyote anayefanywa nyuma anavunja sheria za asili na za Kimungu.
Mwanaume anayefanywa nyuma na mwanamke anayefanywa kinyume nyume wote ni walewale, yaani wote ni mashoga.
Kama mwanaume na...
Habari za holday wanaJF!
Hope mnaendelea vizuri na kazi zenu... naombeni ushauri wenu........
Jamani mimi nina rafiki yangu kipenzi ambaye ananiwazisha sana kwa hali aliyo nayo maana...
Msaada kwenye tuta.
Huu ni mwezi wa 8 tangu nifungue duka la bidhaa ndogo ndogo za nyumbani,mwezi huu nimeamua kupanua kidogo duka limekuwa la jumla na reja reja,
Duka lilianza vizuri sana ,kila...
Hatujagombana, hatujakosana, tunalala kitanda kimoja ni mke na mume wa 5 years sasa hivi, tunaweza kukaa 2 months hatujatenda tendo la ndoa, mwenzangu wakati mwingine anapataga wet dreams...
Mi mkristo ni miaka 5 tangu nifunge ndoa na mke wangu.
Ni Mwezi 1 tangu huu mkasa kunipata.
Nilisafiri kibiashara na niliaga kuwa sitarudi kwa siku tatu mbele (nikawaida yangu ninapokuwa na...
Ni mtoto wa baba yangu mdogo, anafanya kazi kwenye Embassy fulani (jina la Embassy kapuni), ila ana umri mdg bado na ni mlimbwende sana!
Sasa nimetoka zangu church muda si mrefu, baada ya kupata...
Habari za usiku mteke wapendwa....
Nimejizuia kuandika kwa lugha baba (ya kimalkia) ili nijieleze kinaga ubaga....
Iko hivi, mara zote nikiwa kwenye Mahaba mazito nakuwa na mshawasha kiasi...
Habari wapendwa, imekuwa ni kawaida na ndio naona ni kama style ya sasa kina dada kutongoza wanaume najiuliza hivi ni wadada wangapi waliotongoza wanaume na wakafanikiwa kimapenzi.
Na wakaolewa...
Unajifahamu kabisa umri umeshaenda hata ukikojoa mkojo hautoboi mchanga halafu unaenda kudate kibinti kibichii, wewe umeshazoea haya mambo hakuna jipya, lakini chenyewe bado kina munkari kina...
Hi jf!
Mm hua nafatilia sana comments za humu jf, kuna watu (great thinkers) wanapost vitu vyenye mashiko na vya kuelemisha na kukosoa mtu mmoja mmoja or society at large, eg. Kuna post nmeona...
Binti huyu ameajiriwa kuuza duka la dada mmoja jirani na ofisini kwangu, anaonekana anajiheshimu na anaonekana mcha mungu, mimi binafsi nlishatendwa na niliyekuwa naye hivyo nimechoka na haya...
Kwa masikitiko makubwa naomba kuwaaga rasmi.
Naondoka hapa kwetu Njinjo kesho naelekea wilaya ya Liwale ambapo nimepata kibarua kwa mzee mmoja. Nijuavyo huko Mpigamiti hakuna Internet, hivyo...
Hi, I have been in a relationship with a girl and we have got sex 3 times, though I did not enjoy as she do complain of feeling pain due to my 7inch shaft. Last night she proposed to invite her...
Rejea kichwa cha habari juu kiukweli kwa sasa wanaume wahongaj wanapotea taratibu, kimsingi mimi binafsi hadi sasa nishakuwa na wasichana wanne na nimetoa sh.7000 kwa mwanamke huwezi amini ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.