Likizo yangu ya mwaka huu ilifika. Nikaona likizo hii nikai-spend home (Dar es Salaam) kule nilikokulia (kwa shangazi).
Sasa bwana kwenye hii likizo kuna jambo linatokea halafu linanikera sana...
Mtumiaji mmoja wa mtandao wa Twitter, Julius Mmasi kutoka Kenya ameweka wazi jinsi rafiki yake alivyovunja ndoa yake iliyodumu kwa muda miaka 24 baada tu ya bwana huyo kuamua kwenda kufanya...
Niaj wakuu,
Kuna jambo moja la ajabu sana japo wanasema wanaume tumeumbiwa tamaa lakin nikisema niendekeze hii tabia mwisho wake mbaya kipind cha nyuma kwel nilikuw chovya chovya sana nakumbuka...
Kama hadi sasa hujamuoa ila anakuita "mume wangu" huyo ni tapeli uko nae. Mara nyingi hayo maneno huambatana na kizinga cha hela, akituma msg akaweka "mume wangu" ujue ni mzinga unahusika.
Wewe...
History sijui nielezeje,
Nilitengana na baby mama wangu, kwa muda mrefu, nakuja kumtafuta tena mshenzi yule nakuta kashaolewa na anakachanga. Hapo ndipo nikaona option nikumchukua best friend...
Penzi jipya huwa lina expire baada ya muda gani!?maana mwaka wa pili sana mahaba ni yale yale kama tumejuana jana!au hapa libwata imehusika wakuu!maana Mtoto simchoki yaani kama nimekutana nae leo...
Heshima yenu wakuu,
Kwa sasa kuna habari inayosambaa mitandaoni, kuhusu mwanamke mmoja wa huko Tanzania anaitwa Munalove.
1. Kauguza mtoto kisirisiri, yaani picha tu ndo zilikuwa zinaoneshwa...
Kama vile wanaume wanaona mwanamke pisi kali atakua na wengi au wengi wanamtaka, hata wadada kumbe wanayo.
Yaani ukikutana na mdada ukisema "niko single" wanakataa wanakwambia " yani we ulivyo...
Nina mwaka wa kumi sasa kwenye ndoa. Nilifunga ndoa ya Kikristo miaka kumi nyuma.
Nimekuwa mume bora kwa kipindi chote hicho. Sikuwahi kuchepuka wala kudanganya, lakini mke wangu amekuwa...
Leo nimekuja kushare nanyi hii story ofcourse ni muda iko moyoni mwangu ila nimeamua kushare nanyi ili mjue kwa nini kila siku mimi mtu wa kubadilisha wasichana,
Ni hivi miaka Saba Nyuma wakati...
Nilikutana na mume wangu wote tukiwa 30+. Nilishakuwa na kwangu tofauti yangu na mwenzangu yeye anaishi kwao ingawa yeye ndiye alijenga nyumba.
Kama mwanaume aliyeoa anataka niishi kwao. Hataki...
Leo ilikuwa ni Birthday ya Girlfriend wangu so nimeamua kwenda kazini kwake kumsurprise.
Nilipofika nikamvizia kwa nyuma nikamziba macho Kisha nikawa nampa mabusu motomoto shingoni, ghafla...
Watu tumeumbwa tofauti namna ya kupokea habari za huzuni.naandika habari hii pia kwa huzuni.
Leo baada ya kuwa tumepata habari za msiba wa Kiongozu wetu mkubwa. Nliamka usiku na kumkuta Wife...
Wakuu bila shaka ni wazima, bila shaka wote tunaelewa maisha yalivyojaa changamoto za kila aina.
Kuna watu ni wepesi kueleza yale yanayowasibu, ila kuna akina sisi ambao huwa tunakufa na tai...
Kwanza nikiri :- Maisha yangu yote mpaka sasa sijawahi kutembea na mke wa mtu, ujana wote nilikula ili nilirespect sana hilo ni kitu nilijijengea tangu mtoto.
Twende kwa tukio,
Kuna mshkaji...
From jamaa yangu
Ameoa ila michepuko alaaways kwa wanaume haikosagi
Kuna mchepuko alipata mwaka jana Feb wakaanzisha mahusiano badae akaja gundua yule mchepuko ana mtu wake ambaye anamuweka mjini...
Kuna dem nilikuwa nae niweke rough tu hapa matumizi yake yalikuwaje
Kodi 350k
Mafuta gari 50(week)
Matumizi(chakula maana alikuwa hapend kupika 100k weeks)
Dinner za pamoja kwa wek zaid ya 200k...
Kabla hujasoma jua kua Nimecopy na kupaste kutoka twitter kwa @NikkiWa111
The Story:
Muda huu nikiwa narudi kutoka mihangaikoni, naona watu wengi, bodaboda wengi wamekaa vikundi vikundi, kiasi...
Helloooowww, to everyone here.
Watu wengi hawaamini maisha anayoishi mtu kwa kuwa anaongea kiingereza na anaonekana msomi. Wengine tumeamua kuwa real na ku fake kwetu ni MWIKO. Kama sina nitasema...
Wakuu Kuna Mwanangu wa Damu Yupo hapa Katika Dream city Dar salama
Lakini Changamoto inayompa shida ni Mfupi ana Kama Futi 03. Huyu Jamaa watoto wazuri wa Daslama wamekuwa waki- Dump Sana so eti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.