Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Hi. Naombeni mnipe mbinu ya haraka na rahisi nitakayoitumia kupunguza marafiki nilio nao. Nina marafiki wengi "mashosti" karibu kila mtaa wengine ni marafiki tangu shule ya msingi. Kwa sasa...
9 Reactions
158 Replies
11K Views
Sijajua sababu ni nini. maana leo nimewaza kuwa pengine nina nyota ya Buzi. Kila nikifahamiana na msichana nikatamani tuanze mahusiano hazipiti siku mbili utasikia anaomba pesa ya kodi. Simu...
9 Reactions
65 Replies
4K Views
Habari za humu wana JF, natumai wote mko njema. Natambua baada ya kuleta uzi wangu huu Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka...
18 Reactions
228 Replies
13K Views
Wadau habarin kuna mwanamke nimempata kupitia mtandao ishu ni je ataniacha au maana bado hatujabond vyema wala kuonana ana kwa ana nipeni dawa nimvute asije pokonyoka
6 Reactions
39 Replies
889 Views
Habari wanajamii forum, ni matumaini yangu kuwa mko salama. Ama la, basi Mungu awafanyie wepesi. Ndugu zangu nahitaji msaada wa mawazo yenu sana. Ninapitia sijui niseme ni wakati mgumu au ni...
30 Reactions
753 Replies
42K Views
Natumai mu wazima. Jana usiku mida ya saa sita kasoro, mke wangu ameniaibisha sana. Tumemaliza kula safi tu, sasa kutokana na fan mimi sikuoga kwani nilihisi baridi mno ila yeye alioga. Kabla...
11 Reactions
59 Replies
4K Views
Si mbaya kwakweli kuwa na nyumba ndogo kama ukiona shemeji hakutoshelezi mahitaji, japo kuna wengine wameingia huko kutokana na stress za ndoa na migogoro lakini wengine ni tamaa tu na kutoridhika...
38 Reactions
395 Replies
30K Views
Bila shaka, David Mosher aliamini kuwa mchumba wake, Heather, angepona tatizo alilokuwa akipambana nalo, kansa ya titi. Ndiyo maana alimwahidi kumwoa pindi atakapopona. Lakini ilipogundulika kuwa...
2 Reactions
5 Replies
472 Views
Mimi stori iko hivi, Mnamo mwaka 2020 nilianza kuwa na mahusiano na binti mmoja(mcha Mungu sana). Alikuwa anasoma chuo fulani jijini Arusha, nakumbuka hicho kipindi nilifanikiwa kupata tempo...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Wakuu nina urafiki na binti mmoja mzuri mno ana asili wa kizanzibar ni pisi kweli watu mtaani wanadhani sisi ni wapenzi ila ni marafiki wakubwa tuna urafiki wa miezi minne sasa wakuu wakati...
14 Reactions
75 Replies
9K Views
Jamani nashindwa Ku mblock x wangu moja kwa moja kila ni ki mblock nakaa siku chache na mu unblock tuna mtoto mmoja. Napenda nimkomeshe status kwa kumpost mpenzi wangu mpya na vijembe tu natakaga...
8 Reactions
91 Replies
2K Views
KASUMBA YA WANAWAKE WANAOTAFUTA WANAUME WENYE PESA, WAKATI WAO HAWANA PESA Na Comrade Ally Maftah KING OF ALL SOCIAL MEDIA Kuna wanawake wamekuwa wakisikika wakitaja vigezo vya wanaume...
1 Reactions
5 Replies
883 Views
Wakuu kuna jimama mmoja hapa mtaaani ni pisi Kali Lina tako kama mahondaw linanitaka kwa nguvu yaani liliolewaga likaachika sasa ni li singo mother linakaa yeye na mtoto wake limekuwa...
14 Reactions
151 Replies
14K Views
Leo nataka niwape stori ya kweli najua kila mmoja wetu anamambo yake kutokea huko nyuma katika maisha yake watayatoa kwa wakati wao ila mimi nimona muda huu unanifaa kushare haka kastori kafupi...
8 Reactions
17 Replies
2K Views
Mara ya kwanza tulikutana club sikujua kama ni mke wa mtu, alikuwa amevaa kistaarabu sana kumbe alikuwa ametoka kwenye sendoff party alikuwa ameongozana na wenzake wawili. Nilimtongoza hakukubali...
50 Reactions
91 Replies
23K Views
Hivi kweli nyinyi wanawake hamjawaza kitu kingine mnapoingia kwenye mahusiano tofauti na pesa? Nimekutana nao kwenye hiace wanaongea, "Yule mwanaume nitamuacha, siwezi kukaa na mtu ambae...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
The vocal is special for you Siyabonga... The moon is shining... Stars are brightening the outer space... She (K' Matata) is screwing the guitar badly like the way she spits Spanish... WANT...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Hope mko fine Nilipokuwa kijana nilitamani sana siku nikioa niwe na familia bomba, iliyotulia na isiyo na bugudha. Nilipooa niliweza ishi maisha ya ndoto zangu takribani miaka miwili. No...
3 Reactions
113 Replies
8K Views
Habarini za Jioni hii wakuu na watz wenzangu, poleni kwa majukumu ya siku nzima na wale ambao ndio mmeingia kazini poleni na kazi pia. Nimeweka huu uzi tujaribu kushirikiana kwenye hili jambo...
0 Reactions
73 Replies
6K Views
Rafiki yangu na ndugu yangu Richard Massawe kutoka Rombo huu ni ujumbe wako Ndugu yangu na marafiki zangu wa MMU naombeni mnisaidie ili napate hela yangu (3,000,000/=) ambazo nilimuazima member...
13 Reactions
107 Replies
11K Views
Back
Top Bottom