Katika mahusiano; kwa mara ya kwanza, mwanaume ataangaika na atatumia kila njia ili aweze kumpata mwanamke,na ikiwezekana atatumia kila ushawishi na baadaye anafanikiwa.
Sasa baada ya kuzoeana...
Ukweli nimekuwa mtu wa kutokuridhika katika tendo la kujamiiana na Hali hii Kwa sasa inanipa wakati mgumu sana.
Yaan naweza kufanya hata muzunguko Saba na kila mzunguko ukachukua minimum dk 50 na...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Kwanini mimi kila nikiona wasichana wenye makalio makubwa tentemente mate hunijaa sana mdomon na udenda wenye...
Habari
Kuna rafiki yangu amenifuata kunitaka ushauri juuu ya mke wake.
Anasema hivi "Nimegundua mke wangu ana namba mbili anawasiliana nazo mara nyingi sana kuliko hata za wazazi wake namba hizo...
Wakuu jana mchepuko wangu umegoma kabisa kunipa haki yangu.
Madai yake ni kwamba eti nimfukuze mama watoto nyumbani then nimuoe yeye.
Yaani mimi nitupe friji nje halafu niweke deli la askirimu...
Anatha dei tu bi alaivu anatha stori katika pita pita zetu tumshauri.
Nina mwanamke ambae ni mke wangu wa ndoa naishi nae mwaka wa tano huu, sasa bhana usiku wa kuamkia leo yani jumapili kuamkia...
Aisee hawa wanawake ni hatari.
Mke wangu anapenda sana TikTok sasa kuna siku nimeingia kwenye acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa...
Hello, women,
Hakuna kitu kibaya kama mwanamke kuchezea alimashauri zake, kwani mtoa slid asipokuwa mume wako atakayekuoa, ndoa ndipo zinapoanza kuwa na changamoto, wengi wetu kama wanaume huwa...
Fikilia wakati unamtokea mke wako ulimkuta yuko kwenye love na mwanaume mwingine mbaya zaidi ukampora jamaa,vile vile katika mastory na wife wako anafunguka na kukwambia wanaume aliotembea nao sio...
Wanabodi,
Huyu mwanamke nipo naye kwenye ndoa for 1yrs sasa na tuna mtoto mmoja.
Kwa kipindi chote nilichokaa naye kuna mambo mazuri ambayo ninajivunia kutoka kwake. Ni mwanamke mwenye vission...
Mahusiano au ndoa zenye majukumu mazito ya malezi, kwa mfano ya watoto wa3 au zaidi, huwa ziko na furaha, ziko imara na vizuri sana katika kushirikiana na kusaidiana kwa dhati na kwa upendo...
Kabla ya kuingia kwenye ndoa kuna zile FACTORS za muhimu kila mtu huwa anazingatia. Kutokana na utofauti wa kimtazamo na fikra kila mtu anakuwa na Criteria zake.
Kutokana na uelewa, experience na...
Don't Marry because of SEX
Don't Marry because u are getting OLD
Don't Marry because u are of AGE
Don't Marry because u are LONELY
Don't Marry because u need someone to support you FINANCIALLY...
Hello guys, bado tupo January, so Happy New Year!!
Ni muda sasa nimekua nikisoma na kusikia wakaka mnavyolaumu wanawake kukosa utii na heshima kwenye ndoa na mahusiano, kuwa jeuri sana na...
BINTI YANGU NJOO NIKUAMBIE HAPA.
Mithali 20:7
[7]Mwenye haki aendaye katika unyofu wake, watoto wake wabarikiwa baada yake.
Haki katika ndoa yako ambayo Mungu amekupa hakikisha unaishi katika...
Kwema wakuu,
Katika pitapita zangu nimekutana na mdada fulani mrembo basi bhana nikaomba nikapewa sasa baada yakufika maskani nikamcheki tumechat jana na leo nikajaribu kutupia ndoano imo sasa...
Habarini wadau,
Kwanza si kama nawadharau single mumy but natoa tu rai yangu kwa vijana especially vi Ben ten kwamba kutoka kimapenzi na mwanamke aliyezalishwa alafu akaachwa ni sawa na kucheza...
Habari za majukumu wana JF, poleni na mihangaiko ya hapa na pale. 🤝🤝
- Watu wanaweza kuwa na tabia na matarajio tofauti sana katika uhusiano, na mara nyingi hutokea kwamba baadhi yao huweka...
Kama kichwa cha uzi kinavosema. Usasa na utandawazi umewafanya watu kua open sana.
Usikute huyo mchumba wako akiwa serious kuolewa na wewe anawaaga ma boyfriends wake kiroho safi na kuwaelezea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.