Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Nimfanya ugunduzi nimegundua kumbe humu ndani kuna vita baridi kati ya wakiume na wakike na yote hii ilitokana na thread moja iliyotupiwa na wadad eti sisi vijana wakiume kuanzia miaka 20-35 hiv...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Ndugu zangu yapata miezi kama mi 3.5 hivi iliyopita nimeopoa bonge la mpenz. Mzuri ana mvuto wa nguvu na mkali kwenye kila idara hadi story zinapanda mwanzo mwisho. Financially independent e.t.c...
2 Reactions
68 Replies
6K Views
Malezi ya watoto katika karne ya leo ni kitu chenye changamoto kubwa mno pengine zaidi ya tunavyofikilia.Bina fsi nawashukuru wazazi wangu na yamii yangu kwa malezi na makuzi waliyonipatia wakati...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
1.the greater the disparity in age the harder it may be for others to believe that there is true love 2.the young man may never experience the joy of fatherhood since he will be controlling like a...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wana janvi? Natumai muwazima wa Afya Siku ya jana ni majanga week end yangu imechafua akili yangu. Jana nilipata kodi ya kuenda mtende kuwapeleka vijana ktk day out kwa kweli kulikua...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hello Ladies Wow its another beautiful saturday....lolz Serious kama kuna manzi yupo hapa Dar just check me and i will pay u a visit.....but under one condition.....we just meet and...
1 Reactions
49 Replies
5K Views
Mimi nina mpenzi wangu ambaye tumekuwa naye kwenye mahusiano takriban miezi sita sasa, nimesafiri kikazi nje ya mkoa tulipokuwa tunaishi ingawa yeye alikuwa anakaa kwa wazazi wake huku mimi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wana MMU nahitaji maombi yenu nipo safarini muda huu naelekea morogoro maeneo ya nanenane......nimefiwa na dada yangu kipenzi,Amefariki leo mchana na alikwenda kwa dada mkubwa huko morogoro likizo...
11 Reactions
169 Replies
20K Views
Jana Jioni tumekutana Wallet Pub - Tabata na rafiki yangu wa siku nyingi sana, ana mke na watoto watatu tayari, nilipomuuliza mbona anakunywa sana siku za hivi karibuni badala ya kunijibu...
2 Reactions
75 Replies
5K Views
Serial rapist who posed as gay Vogue photographer to befriend women in upmarket bars is jailed for life Fabio Moniz posed as a gay fashion photographer to prey on women in top London bars and...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Amani iwe kwenu wanaJamvi I hope mko fine walio wagonjwa na matatizo mbalimbali ya kiafya nk Mungu awajaze uvumilivu na awaponye. Siku hizi kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu ndoa zetu kwa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wapenzi wana mmu habari za week end? Jamani leo nimekuja na hili hapa nimelipata mitaa ya kati nikaona nililete hapa tujadili pamoja. Hivi jamani kuna mwanamke mwenye mvuto tu ambaye kila...
4 Reactions
167 Replies
30K Views
Mwanzoni nilifikiri perhaps ni kwa vijana wadogo (boys) hususani wale tunawaita marioo lakini nimeshtuka pia kukumbana na hii changamoto kwa watu wa rika langu. Hapa nazungumzia change of tone...
0 Reactions
85 Replies
5K Views
Nimetokea kuwa na mahusiano na huyu mwanamke lakini ameonekana akiwa na wivu kupindukia akipiga simu kama ujapokea ni matatizo hata kama ulikuwa umetoka kidogo ukaiacha analamika mpaka anataka...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Hebu angalia hii Video na wewe useme maneno yako ewe mwana MMU. Sidhani kama siku hii Pique alikumbuka hata SemKondoM ilipo maana........ Jamaa atakuwa nusu Mpingo huyu.
0 Reactions
17 Replies
4K Views
bla shaka muwazma wa afya ISOME HII KISHA UITAFAKARI Mtu mmoja maarufu alisema"maisha yangu mazur yalkuwa juu ya mikono salama ya mwanamke,ambaye hakuwa mke wangu" watu wakashangaa na kubaki...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Wasalaam.. Nitaenda straight kwny mada. Wakati tuko undergraduate mkoa huu,nligundua classmate wangu ni muathirika wa ukimwi yani she's HIV+. Nilijuaje? Kaka yangu ni Daktari yuko...
0 Reactions
46 Replies
3K Views
"kuchelewa kuoa ni hatari zaidi mana unapochelewa kuoa na hata kuzaa unachelewa pia. kwa mwanaume miaka kati ya 25 mpaka 35 ndio miaka ya kutafuta na kama hapa utapita hujafanikiwa kwa kiasi...
7 Reactions
53 Replies
7K Views
Hili ni swali tata kwangu,mtu anakubwaga sijui anakumimina kama maji na anaondoka zake kumaanisha hakupendi tena,cha ajabu baada ya muda anarudi kwa gia namba moja wakati aliondoka kwa gia namba...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Nimejirizisha pasipo shaka yoyote kuwa reasoning na logic kwenye mapenzi haina nafasi! Mpenzio atataka tu ufanye kitu anachojisikia yeye...
1 Reactions
77 Replies
6K Views
Back
Top Bottom