Niaje wana MMU,Kutokana na utandawizi na kalio linalokujia wadada wamekua wakivaa kimitego,tembea zao na hata ongea zao ni za kimitego muda wote,wakati mwingine ni ngumu kutofautisha anaejiuza au...
Compared with other United Arab Emirates'
states, Dubai is very liberal. Islamic law still is
observed there, but the tourism industry also is very powerful. That means thousands of visitors...
Hebu fanya kama vile wewe ni mwenzi wako, jione kama vile unasalitiwa, bila shaka ungeumia
Unahisi mwenzi wako siyo mwaminifu? Kwa jumla ni kwamba, kuna watu wengi wanaoonekana wazi kuwa siyo...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mniwie radhi kwa thread zangu! Mi simlengi mtu yeyote! Its just the way i see things! Ama its just that sometimes i look thing from...
Wakuu huu n mtazamo tu, make pia katiba inaniruhusu. Nionavyo mimi biashara ya ngono ingehalalishwa tu ila kukawa na sehem maalum ambapo watu wanaofanya hyo biashara watakaa na kufanya biashara...
WASICHANA WAZURI wamepata kujipa matumaini kuwa wataolewa tu na hawakuwahi kufikiria kuwa kuolewa ni jambo gumu.
WASICHANA WENGI katika muda wao wote wa masomo wamepata kuwa na uhusiano wenye...
Jamani mimi mwenzenu ni mgeni katika ulingo wa malavidavi, naomba mnijuze ni mkoa gani wanatoka totoz wa ukweli ili nifanye maamuzi sahihi na Mungu akipenda tutengeneze familia naye,. Ukitoa na...
Habali zenu,
Mimi ni mwanamke mwenye miaka hiyo wakati nipo chuo nilikuwa na boyfrend baadae tukawa kama tunamis understantanding fulani hivi sijui ni kwasababu ya umbali anyway, basi mimi...
Kumekuwa na mtazamo kwamba wachaga ni watu wasiojua mapenzi na wao wameweka pesa mbele mfano mwanamke yupo tayari kumuua mumewe ili arithi mali,hilo jambo sio kweli sababu mimi nimeoa mchaga na...
Wapendwa wana MMU,
Nimelazimika kuandika uzi huu kwa upendo mwingi kuwapa pole ndugu zetu wa Kenya ambao wamepoteza ndugu zao wa karibu na baadhi yao kujeruhiwa vibaya kutokana na shambulizi la...
Hiyo Internet ya Ofisini unavyoikomoa, umefungua blogs zote kwa mpigo, YouTube, Skype, Twitter, Facebook na Unadownload Videos! Wakati boss wako siku nzima amefungua emails tu.
Basi ndio hivyo...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hayawi hayawi sasa yamekua!!!! MMU Exclusive interview kurudi tena hewani safari hii ikiwa MMU Exclusive Reloaded yenye ujazo wa hali ya...
Wapendwa wanajf salaam!
Naombeni ushauri juu ya mahusiano yangu na binti mmoja mtz mwenzangu anayesoma nje ya nchi (Uingereza).
Tumekuwa na mahusiano kwa kipindi kirefu sasa, uhusiano wetu hata...
Nimetoka nilikotoka jioni hii, sasa nilipokaribia sehemu ninayokaa nikakutana na jamaa mmoja barabarani lakini anakuwa hajatulia anatembea hapa na pale, huku akiongea na simu kwa jazba na...
Habarini wakuu wa MMU, katika masuala ya mahusiano ya mapenzi ni kauli gani au maneno gani yalishawahi kutolewa na mwenzi wako ambayo yalikukera kuahirisha kutoa au kumpa mgegedo mwenzi wako ...
++
Katika familia nyingi Wanawake wamekuwa na tabia ndogo ndogo ambazo wao huziona za kawaida Lakini katika uhalisia wanaume wengi hawazisemi au tuseme wanazipotezea lakini haziwapendezi kamwe...
Demu wangu kaamua kuniumiza, kanipigia simu nimfuate maeneo flani hapa katikati ya Jiji kufika tu namkuta na njemba, kanitambulisha kwamba alisoma na huyo jamaa sekondari ila wamekutana ghafla...
WANAJAMVI kwanza nawasalimu kwa upendo nawalata kwenye wazo hili;MAMBO YANAYO IMARISHA MAPENZI AU NDOA
Kwanza mukubali akupendae muepuke umpendae labda uhakikishe umeujaza moyo wake.
pili kila mtu...
Hii ni kauli ya vijana wengi mno marafiki zangu.Vijana wakiume imekuwa kama mtindo kila akionwa binti mrembo,watu ni miguno tu mmmmmh!Halafu wanamalizia na kibwagizo" Sijui kama tutapona"...
Wakuu,
yani shem wenu nikianza J3 kazini mpka Ijumaa nikirud toka ofisini anataka gemu..hua ananiachaga wikiend tu kwa vile hua nashindaga nae nyumbani..mpaka sasa sielewi ni kua haniamini au ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.