Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Ni fupi mno jamani..........ebu wake zetu jirekebisheni.....sio wote lakini wengi wao kwenye maofisi hata huku barabarani mjini ukikutana na mdada mjamzito utakuta kavaa nguo fupi.......najua...
6 Reactions
98 Replies
21K Views
KAMPENI KWA NJIA YA VYOMBO VYA HABARI, JUU YA KAZI ZENYE STAHA KWA WAFANYAKAZI WA MAJUMBANI, mnakaribishwa wote mnazi mmoja. Wamama wote wenye manyanyaso kwa wafanyakazi wenu wa ndani, mnatunga...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimeliona sana hili. Wanakuja wanalia, ukiwauliza kwa nini. Boyfreind wangu kanipiga, siku nyingine tena hivyo hivyo. Huwa najiuliza kwa nini huwa wanaendelea na mahusiano. Nyinyi wadada kwa nini...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
1.MWANAUME aliye mjinga mjinga, hajasoma, asiethamini,asiyejielewa,muhuni, aliyerithi nuksi,muhongaji asiyekupenda,asiye na shida na ndoa, mpayukaji mtaani, ajisifiae hohovyo hovyo. Kwa dunia hii...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
A friend of a friend is a friend..... Salam wakuu wa mmu. Jana mida ya usiku nilipokea simu kutoka kwa rafiki yangu akiwa amepaniki na mwenye hasira nyingi. Tatizo aliliokua nao kwa kweli...
0 Reactions
42 Replies
3K Views
Habari zenu tena wooteee mnaosoma uzi huu, Ilikuwa ijumaa hii iliyoisha, Yahaya kama kawaida alikuja mida ya lunch tukapata chakula cha mchana pale city retaurant kisha nikarudi endelea na kazi...
6 Reactions
126 Replies
9K Views
Kuna Jamaa mmoja alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na msichana fulani ambaye walikuwa wakisoma pamoja O-level, form I-Iv. Katika uhusiano wao jamaa akawa amempa mimba yule dada. Mwaka 2001...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Salaam member wote wa MMU, wewe kama mwanaume au mwanamke mambo gani yaliyokufanya ukavutiwa na kumtokea mwenzi wako ulikuwa naye mpaka sasa. Tiririkeni hapo wadau.
0 Reactions
52 Replies
4K Views
ni hatari zaidi kujidanganya kuwekeza kwa wanawake kama sehemu ya kuongeza ushawishi na kujihakikishia nafasi. Wapo wanasomesha kwa mamilioni,wanatoa matunzo na mahitaji yote ya...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
1.mwaminifu ktk kila jambo 2.sio mbishi kwa mumewe na watu wengine 3.hadekezi watoto 4.ni msiri kuhusu mambo ya mumewe na ya familia kwa ujumla 5.ana hekima na sio kutwa kutafuta watu na kuropoka...
1 Reactions
39 Replies
13K Views
Mara nyingi wanawake wanalalamikiwa zaidi kwa kutumia muda mwingi wakijilemba,wakati mwingine wanaweza kutoka nje na ghafla wanarudi ndani kuendelea kujipamba na hata kubadili kabisa mavazi,hapo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
unahousegl ukimpa maelekezo pika mboga ya majani hapiki unakuta maharage tu ukimuuliza baadae anakuambia amesahau, anapiga watoto na kuwasukuma hawezi kuvumilia mtoto sekunde akimwita mtoto...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
1. Niliondoka nyumbani, kwa hali ya kunyatia, Na bunduki mkononi, na risasi nimetia, Nikajitosa mwituni, nyama kujitafutia Askari wa mwituni, kuwinda kanizuia. 2. Nilikua na yakini, minofu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wasalaam wanaJf. Npo kwenye mahusiano na msichana kwa takriban mwaka mzima. Kiukwel mimi napenda sana polite language and kindness sio kwa mpenz wangu tu hata kwa watu wengine. Napenda sana...
0 Reactions
81 Replies
7K Views
Najua hapa kuna wengi wana akili zao na waelewa japo wengne huwa siwaelewi but naombeni ushauri wenu:- Nina kama miez 2 imepita tangu niwe kwenye maisha ya u single boy baada ya niliyekuwa...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Aisee hii reality TV show ni noma......hawa jamaa wasije fungua tu branch bongo maana itakua ni balaa. Huwa naiangaliaga kimachale..... ..inafundisha sana. kwikwikwi.
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Ilikuwa mwaka jana mwezi wa January nilipotua katika kijiji kimoja kilichopo mkoani Singida, jina la kijiji ni mdida. Nilikuwa katika harakati za kutafuta data kwa ajili ya kukamilisha utafiti...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
mpenzi ya kuiba na yale ya kuibia. Unakuta msichana una boyfrend wako lakini kupata nafasi ni utata-mvulana hali kadharika,ama wewe una mapenzi ya kuibia huku umeolewa. Kwa vijana ikitokea...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wapendwa! Mwenzenu niko njia panda na sijui nini nifanye.miezi mitatu iliyopita niligundua kua baba yangu mlezi ana watoto wawili nje ya ndoa ambao familia yake haijui; mtoto mmoja ndo...
1 Reactions
47 Replies
4K Views
Wadau wa mmu, ni id mpya ila sio mpya jukwaani.. nlikua nafatilia mambo meng kwenye hili jukwaa lakini yalionikuta jana imebidi nigonge hodi na kuomba msaada kwenu... Tatizo lililonikuta ni hivi...
3 Reactions
83 Replies
7K Views
Back
Top Bottom