Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
kwani kuna ubaya gani kumwomba mwenzako yaani mumeo muende likizo kidogo ya kugegendana kwa mda angalau tu mwezi mmoja
0 Reactions
63 Replies
5K Views
mwanamke anamilikiwa na wanaume kibao na hajui achague yupi kati ya hao,mbaya zaidi hata akiwa nao wanane bado akikutana na mwanaume mwingine atamwambia hana mtu kabisa,ama alikuwa nae...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
habari za ijumaa wadau..........nina janga linanisumbua naomba mnisadie kwa ushauri plz......ni kwamba nina mahusiano na kaka mmoja na uhusiano haujafika mwaka, ni mtu ambaye tulipendana sana na...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Tafiti nyingi zinaonesha kuwa watu wengi walio funga ndoa wamewapiku wale wasio funga ndoa kwenye umri wa kuishi. Watafiti hawa wamebainisha kuwa mfumo wa maisha wa mtu aliye kwenye ndoa huchangia...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Nina mtoto wa miaka mitano ila kwa bahati mbaya hatukuweza kuwa pamoja na baba yake, alinitesa sana kipindi tupo pamoja nikaamua kufanya maamuzi magumu na kumwacha,hatujaoana lakini.hajawahi kutoa...
4 Reactions
21 Replies
6K Views
Kwanza hebu ngoja ni tangulize salamu Habari zenu wadau, hivi munajua dawa ya moto ni moto? na chuma hakikatwi bali na chuma chenza? Hebu ngoja niende kwenye maada husika kuna jamaa anatembea...
1 Reactions
66 Replies
6K Views
Imekuwa kawaida katika vyombo vya habari kusikia matangazo yanayohusu huduma ya massage. Lakini katika matangazo yao utasikia kuna mabinti wachangamfu na wakuvutiana, huta juta kufanya massage...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
^^ Tumekuwa tukilaumu sana mahusiano yetu ya kirafiki,kindugu na maisha ya mapenzi kujawa na uongo uliojaa ufundi.Imefika mahali,,asemaye kweli anaonekana muongo na yule muongo anakuwa rafiki...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
IKIWA LEO NI MAPENZI YA MUNGU KUTIMIZA MWAKA ZAIDI NICHUKUE FURSA HII KUWAKUMBUKA WAFUATAO Kwa dada zangu Jul na Ritha 'si mnakumbuka tulivyokuwa wadogo, tulicheza pamoja, tulikaa pamoja...
6 Reactions
14 Replies
6K Views
From a steel-band playing “Here Comes the Bride,” to an engagement ring made out of a rare gem from Tanzania, to a wedding cake decorated with African fabric, this is one of the most gorgeous...
16 Reactions
145 Replies
22K Views
Kwa mara nyingine narudia kusisitiza kuwa niko peke yangu ni mwanaume,umri 23,natafuta mpenzi wa kike nitakayeishi naye, nimechoka kuwa pekee. Nahitaji mdada mzuri mwenye umri usiozid miaka 25,na...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
MAJANGAA..! Kuna wanaume Nairobi ndio wanarudi home leo tangu jmosi. Eti, nao walikuwa wamechukuliwa mateka Westgate!......Wadada kama wako ndo anarudi kwa gia hiyo ungemkaribisha ndani au...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
................. jana nilikuwa nachungulia kitabu cha steve harvey cha ACT LIKE A LADY THINK LIKE A MAN.ni kitabu kizuri sana ila sie wengine uvivu wa kusoma vitabu tunakosa mengi. steve...
20 Reactions
228 Replies
13K Views
Tulipendana sana na Binti mmoja, mapenzi yakawa moto moto. Hakuna nilichotaka toka kwa binti yule akaninyima, aliniamini na kunisikiliza kwa kila jambo, ikafika wakati nikajawa na kiburi, kuwa na...
0 Reactions
72 Replies
8K Views
Shughuli nzima ya kufanya 'shopping' kwa wanawake ni kama mtu aendaye 'picnic'. Wafuatiliaji wa tabia na mienendo ya wanawake wamegundua ya kwamba wanawake hufurahia suala la kwenda kufanya...
7 Reactions
78 Replies
5K Views
Kwa jina naitwa 'Surprise', ni msichana niliyechumbiwa na nilitegemea kufunga ndoa mnamo Mei 2013. Kwa bahati mbaya au nzuri last week nimegundua ni mjamzito wa siku kadhaa ilhali mhusika akiwa...
4 Reactions
217 Replies
19K Views
Habarini wana MMU. Katika kujitafiti nimegundua nina tatizo ambalo silielewi. Tatizo lenyewe ni hili: Kila mwanamke ninayemtongoza simpati anaishia kunitolea nje. Na kama tulikua na urafiki wa...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
wanajf especially hapa mmu mshaurini raki yangu hapa maana anawaza afanyeje baada ya kupatwa na hamu ya mgegedo akafanikiwa kumpata binti ambae hawakua na mahusiano na hatimaye amepata mimba but...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Inatokea umeishi na mpenzi wako wa ME/KE katika mahusiano kwa miaka kadhaa hivi ambapo mlianza kufurahia maraha ya mapenzi bila kukwazana au kutofautiana kwa namna yoyote ile ghafla mmoja wenu...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Jaman nadhan wengi tunasafiri hapa na pale, kwa utafiti wangu nimegundua msichana akipanda kwenye gari hupenda akute karibu na seat yake kuna mvulana, vivo hivyo kwa mvulana.......na kama gari...
3 Reactions
151 Replies
18K Views
Back
Top Bottom