Kwanza habari zenu nimewamisi sana kitambo sijatia timu hapa.
Hii imenitokea mimi mwenyewe na kunikosesha raha kabisa.
Wiki kama mbili hivi tulipata barua ya uchumba ya mtoto wa dada yangu...
Ndugu mwana JF hebu soma haka kastory kuna kitu cha kujifunza USHUHUDA.., ASOMAYE NA AFAHAMU!!
Naitwa Anna naishi Tabata, nimezaliwa
mwaka 1987 hapahapa Dar, nina Elimu
ya Chuo Kikuu.
Ninatoa...
Wanataka kupedwa, kusikilizwa, kubembelezwa, kuheshimiwa, kuaminiwa. Hey, nimesahau kitu fulani, wanapenda to be treated like Queens.
Hivi nyinyi wadada, huwa mnafikiria nini wanaume wanataka...
From Linda Ikeji Blog
'Youre a very bad man' how 4yr old confronted Kenyan mall gunman who gave him chocolate & begged for forgiveness
A four-year-old British boy caught up in the Kenya mall...
Hello
Ni raha iliyoje kuwa na mtoto!
Unajiona kama Mungu mtu vile,
When you look at him/her lazima utabasamu,
holding your child is sooooo sweeter kuliko kitu chochote kile hapa duniani
I am...
Nina rafiki yangu wa kike ambaye tumekuwa karibu kwa zaidi ya miaka miwili, baada ya kufahamiana na kuzoeana kiasi fulani nilijikuta ananivutia na nikatamani awe karibu zaidi na mimi hivyo...
nimekutana na makala haya mahali ...kumbe tunajichosha bure
calories burned during sex!
REMOVING HER CLOTHES:
With her consent 12 Calories
Without her consent 2,187 Calories
Opening HER BRA...
Habari zenu MMU!
Jana nipo ndani ya daladala nyerere road-kariakoo kulikuwa na dada mmoja nimekaa nae kabeba mtoto mapajani huku anabofyabofya simu, baada ya dakika chache akawa anaongea na...
By Guest Author: Josh Pellicer
If youve ever seen a guy in a bar walk up to a girl he didnt know and make out with her almost immediately, it can be a completely mind-blowing experience...
mpaka hapa nilipo katika pitapita na mizunguko yangu tz nimejikuta nikipata marafiki,LAKINI cha ajabu sasa najaribu kukumbuka sababu na chanzo cha urafiki wetu katika hao marafiki zangu nakosa...
Pengine wewe si mwanandoa
kalale mzungu wa nne hii aikuhusu hata kama una kamzigo pembeni..hi ni kukmbushana tu kwa wale
wanandoa wenye kupendana huu ndio muda muafaka kupuliziana harufu ya...
Nimetooka kuwaacha wageni wangu pale sinza ..nikiwa naingia gafla nikaona mabinti wawili wamevaa nguo kama maninja wamefunga mpaka kwenye macho nikahisi tuko kenya ...noooooh
wakanipita na kunipa...
Pengine nianze kwa kuwapa pole wenzangu wakenya kwa yale yanayotoke huko wastegate
kwa kweli kama muistiafrica nimeguswa sana na vile vifo na yale mainjari yanayoendelea kwa wale
wanaoendelea...
wapenda mlio na msio kwenye mahusiano hivi ni sahihi kwa mwanamke uliye kwenye mahusiano kumhimiza mchumba wako swala la kuishi pamoja kwa maana ya ndoa.
maana nilikuwa najadili na mtu then...
Katika siku za karibuni kumekuwa na matatizo sana ktk ndoa.na kwa utafiti wangu mdogo naona wanaume ndio waathirika wakubwa kila wanaume watano watatu au wanne wanatatizo hilo wengine wanaficha...
Wakati tunaendelea kuomboleza vifo vya jirani zetu kenya kwa mkasa mbaya wa kigaidi nawapa pole wote walioguswa kwa namna moja ama nyingine na Mungu awatie nguvu wote waliowapoteza watoto...
Ive always liked those confident ladies out there, leaving her man at the table alone while she does a bit of PR all the while knowing that some women were salvating over her man.
I remember...
Truthful speaking sex is not necessarily an expression of true love as most pretend is..................
Hivi yawaje jinsia mbili msipendane bila ya kuinajisi miili yenu?
Yaani bila ya...
Inatokeaje eti mtu una mke ila hummiss hata kidogo yaani hakuna pengo lolote awepo asiwepo. Hali hii husababishwa na nini? Unaweza kuirekebisha vipi? Ni serious wakuu naomba msaada wenu...
marafiki zangu bachelor na ma senior bachelor kama tusemavyo, tuna waangalia wapenzi wetu kwa ajili ya kuwa mke, tukiulizana maswali ya sisi kwa sisi vipi kuhusu mpenzi wako uliye date naye kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.