Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kila msichana nikimtongoza ninakuwa na mahusiano mazuri mwanzoni,ila baada ya muda mfupi tunaingia ktk mgogoro.Hii imenitokea takriban kwa wasichana saba..! Nifanyaje ili niepuke tatizo hili.
0 Reactions
24 Replies
2K Views
mapenzi mazuri,maisha mazuri kufa kubaya,naomba ushauri wenu ,ni nampenz wangu ambaye nilianza nae mapenz baada ya mimi kuhitimu kidato cha nne,yeye alikuwa amehitimu darasa la saba,alikuwa mdogo...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Jamaa mmoja alinunua kiwanja maeneo ya karibu hapa nilipo,alikaa miaka kadhaa baadae mwaka 2009 alianza kujenga nyumba yake na mpaka mwaka 2011 nyumba ikawa imefika kwenye LINTEL(lenta). KUMBE...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
You need a copy Sure you do!!
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika maisha ya ndoa,kati ya mume na mke nani anakua msaliti wa haraka kwa mwenzwe?
0 Reactions
3 Replies
983 Views
Kwema? Wana jamvi wenzangu leo nimekuja kwenu kumuombea rafiki yangu ushauri madhubuti kutoka kwenu juu ya yalio msibu! Naomba tumsaidie kwa kuwa yeye si member humu alivyo nielezea nilimshauri...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Jamani kuna hii kitu hapa mpya inakuja. Ukiweza kumpatia unayempenda zawadi hii kabla hajaiona kwa wengine, itakuwa surprise kubwa kwake na bila shaka itakoleza penzi lenu.Kama ilivyo desturi ya...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wataalamu wa kuchambua picha mnasemaje? Nigerian billionaire businessman Aliko Dangote’s daughter Halima tied the knot with Sulaiman Sani Bello this past weekend in Kano, Nigeria. The young...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari wakuu!... hope jumapil inaenda poa,jana usiku kuna rafik yang kipenz ameniomba ushaur .lakin naona nkileta kwenu mtamsaidia ipasavyo. Yey kamaliza chuo mwaka huu na mpenzi wake...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kumekuwa na kasumba kubwa kwa wanaume wengi wa mujini kila watakapo kuoa wanaenda kutafuta wake hata ndani ya wiki moja wakiamini ndio wanawake wanaofaa zaidi na kuwaleta mujini na mbaya zaidi...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari yenu? Neno nakupenda sasa limepoteza maana kwani nawashangaa watu wanao mtongoza mtu wasiye mfahamu kisa kaona comment zake zilivyo jaa uwezo wa kufikiria! wanashindwa kujua mtu huyo yaweza...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Definition (kwa mujibu wa hii post pekee)... Wanawake wa nyumbani = wanawake katika mahusiano ya kudumu kv wake, wachumba, girlfriends, nyumba ndogoz nk... Wanawake wa barabarani = wanawake wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu kuna hili jambo lina nitatiza sana. KIAPO CHA NDOA: Mimi___________nakutwaa wewe________uwe mke/mume wangu halali wa ndoa. Niwe nawe kwa umaskini na utajiri, kwa afya njema na ugonjwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nipo hapa sasa kuna shosti ananichekesha anasema eti yeye ameolewa kama miaka 4 iliyopita lkn anasema mume wake hajawai kutaja jina lake (mkewe) hata siku moja ni mama naniii ndo imetawala na...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari ba ndugu, Wife hayupo nimebaki na house girl cha ajabu anatoa best customer service ukarimu wa hali ya juu mpaka magoti anaponinawisha da sio kawaida yake anapokuwepo mke wangu sasa...
1 Reactions
112 Replies
10K Views
basiiiii niliwahi ku confess kwenye thread moja hapa kuwa kuna nun (sister) mmoja kwenye hospitali (jina kampuni) moja hivi kubwa tu ya dini kwa kweli shez driving me insane. yani mara ya...
0 Reactions
56 Replies
4K Views
Mwandishi Pierre Corneille anasema " Love and reasoning are sworn enemies " akimaanisha mtu anayefikiria kwa usahihi hawezi kabisa kuingia katika kitu kinachoitwa "mapenzi"...
5 Reactions
156 Replies
14K Views
To whom it might concern [:Verse 1:] I just want you undivided You should let me penetrate your... everything You've got me beyond excited Baby step into my room I'm your groom You...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
angalia mwezi uliozaliwa ujue tabia zako; Jan;jasiri na mkorofi Feb:mwenye bahati na mkweli Mar:msumbufu lakini mzuri Apr:anajali na ni mpiganaji May:anaupendo na ulio halisi Jun:mwenye mvuto wa...
2 Reactions
106 Replies
12K Views
Kuna mdada nampenda humu Jf jamani, yaani kadri siku zinavyoenda anazidi kunifanya niishi kama vile nimeazimwa kichwa! Jana jioni nimekaa nikasema ngoja nimwandikie PM, nifunguke kabisa moja kwa...
2 Reactions
102 Replies
7K Views
Back
Top Bottom