ndugu wanajf jana yamenipata kile kilio cha wengi Usaliti, nina mchumba ambaye nimedumu naye kwa miaka 4 sasa,jana mida kama saa 8 mchana ivi nilimpigia simu aje mahala ili tuongee kidogo,
Kweli...
Wadau,kuna dada mmoja nilizaa naye mtoto mmoja,tukaseparate,yeye akaolewa na jamaa mwingine na yupo kwenye ndoa bado,cha ajabu huyu dada eti ananitaka nimpe mimba azae mtoto mwingine na mm,hapo vp...
Mimi ni dada(mama) nipo kwenye ndoa yapata mwaka sasa,na nina mtoto wa mwaka,tatizo langu kwa kweli sina hamu kabisaaa ya tendo la ndoa,yaan mume wangu akkihitaji yaani naona kama sijui mzigo...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.... (copy from lala 1)
nawasalimu wana jamvi.., hop mko poa na mnaendelea na kazi, japo wengine hang-over zinasumbua lakin inshallah jion itafika tu.
ni...
Nimechoka kutibia magonjwa ya zinaa ambayo nimekuwa nikiambukizwa na wanawake wenzangu! Nimechoka kupoteza hela zangu ! Nimechoka kumkufuru Mungu nimechoka kuishi maisha ya...
Tumeoana miaka 10 iliyopita wote tukikutana UDSM tukiwa active members of Christian fellowship. Tulihakikisha hatufanyi makosa ya kuwa na ndoa isiyodumu na hivyo tukawa tunasoma vitabu vingi...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Anyway nilikuwa na peruz na kudadisi mablog mbali mbali nikakutana na Bi mkubwa Oprah akifunguka juu ya ku consider marriage baada...
Habari wakuu,
Kwa nitakaemkera ajitafakari na kisha ajisahihishe.
Hivi katika hali ya kawaida nani anaeweza kupinga ukweli kwamba kucha ndefu za vidole vya mkononi zinahifadhi uchafu mbalimbali...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
A leoprad can never change its spots even if it wishes to! I aint talkin about this issue like nafurahia or...
Habari wakuu poleni na majukumu ya week na wengine kama mm tunajipa pole kwa kukosa gazeti letu pendwa la mwanainchi na mtanzania poleni sana kwani leo nimenunua sani nasoma katuni za baba ubaya ...
Najua utani uliza nimejuaje Wakati mimi naishi ktk dunia ya leo, lakini jibu ni rahisi kabisa. Jiulize ushakaa na Bibi au Babu yako nakisha mukaanza kujadili mapenzi? yapi majibu ya Babu/ Bibi...
kuzaa ni majaliwa ya mwenyezi Mungu,Ugumba ni tatizo linaloweza kutibika ama la,kuna ugumba mwingine wa kujitakia kwa wanawake kutoa mimba na kuleta matatizo ya uzazi.
KINACHOSIKITISHA.
Ni pale...
Jaman leo natangaza rasm kwa vimwana walio na mtazamo wa kimaisha kuwa natafuta rafiki ambaye baadae anweza kuwa mke wangu kwa watakaokuwa tayar waccte wanaweza kujibu hapa au ukiona hapakufai...
Kuna nyakati msichana anaweza kujijengea mazingira ya kuogopwa zaidi na wanaume kiasi cha wanaume wote wanaomujua kumuona kama kaa la moto yaani hagusiki na wanasitisha kumfata na wanaomtaka...
Jana katika maeneo ya ngarenaro - olmatejoo jijini Arusha imefungwa ndoa ya aina yake kwa njia ya simu. Bibi Harusi akiwa Arusha na Bwana Harusi akiwa Dar - es - salaam. Bibi Harusi amepelekwa...
Habari zenyu wana J.F. Jana katika pitapita yangu kwenye mtandao nikakuta kuna chuo kinaitwa ATLANTA INTERNATIONAL UNIVERSITY. (A.I.U) Basi kama mzaha nikajaza fomu ya kujiunga.
kama email adress...
wadada na wanawake wanavipaji karibu wengi kuwa na uwezo wa kucheza na kudansi iwe kwenye sherehe za kawaida ama hata kwa club dance.
Ni ngumu kupata majibu kuwa watoto wa kike wanajuaje...
Nimekaa nalo mda mrefu limenitesa, naomba nilitoe kwenu waungwana;
Nilikuwa na rafiki (wa kike); tuliheshimiana sana, tulidumu kwenye urafiki kwa zaidi ya miaka miwili pasipo kuingiliwa na tamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.