A lady who was a
deadly professional prostitute,
she did prostitution for a living
and had a lot of customers around.
She knew that no man
will never accept her as a wife,
so she went to a...
mpenzi wa kizungu akikupigia usipopokea ataku TEXT
honey whats wrong?
Are you alright?
I hope you are safe!
Call me back
I love you baby!!
MPENZI WA KIBONGO SASA USIPOPOKEA SIM YAKE MESEJI...
Habari wana jf
Mara nyingi neno nisamehe huwa linatumika pale ambapo watu wanapokua wametofautiana kauli sasa kuyamaliza kila mmoja wapo anaomba msamaha kwa mwenzie. Lakini mi hua naona linatumika...
Habari za asubuhi mabibi na mabwana, wakubwa na wadogo zangu, I hope kwamba mnaendelea vizuri kabisa na ujenzi wa taifa hili letu la Tanzania, nimemiss sana hili jukwaa, leo nimekuja na kichwa cha...
Hii ni kwa Mujibu wa wataalamu wa afya na kisaikolojia, Kwamba kama mtu alikuwa amejiingiza ktk mahusiano mengi kabla ya ndoa hawezi kumridhisha mwenzi wake au yeye mwenyewe hawezi kuridhishwa na...
Wana MMU naombeni ushauri wenu.Nimekuwa nikiishi na dada mmoja kama mke wangu ambapo tumebahatika kupata watoto wawili.Wakati tunoana alikuwa na mtoto wake ambaye alizaa na mwanaume mwingine...
Leo,mwaka mmoja toka nimeanza kazi na kujitegemea.
Shukrani za pekee namrudishia mwenyezi Mungu,nikimuomba pia anisamehe kwa kufanya tofauti na vile ninavo sukumwa toka ndani yangu.
Shukrani ni...
Mwana jf naombee mnishauri,
Mimi nikijana ambae nilijiunga na Jeshi la JKT kwa upande wa kujitolea. Naingia jeshini, ktk intec yetu tuliunganishwa na vijana wenzetu kwa mujibu wa sheria...
Wana MMU salam sana,
Nimekuwa najiuliza kwa muda mrefu kwa nini nashindwa ku-cope sana na watu wa mataifa mengine wanaoishi humu nchini kutokana na saikolojia yao na maisha yao, Ukiachilia mbali...
Mapenzi ya siku hizi yana mtazamo wa tofauti na yale ya zamani.
Mapenzi ya zamani mtu alikuwa yuko radhi kufanya lolote kuhakikisha anamuonesha mapenzi ya kweli yule mpenzi wake kwa hali...
Habari zenu wanajamii .
Hivi karibuni kwenye mwezi wa nane nilienda kwa shangazi yangu Morogoro kumsalimia kwani nimuda mrefu hatujaonana yapata miaka kama mitatu hatujaonana. Nilivyofika...
I was watching Tyra Banks last week, she had a very good discussion about the pains and dillemmas that most marriageable black (african american) women are facing on the dating scene. she had a...
leo si ajabu kuona mtu mzima na familia yake,hana kiwanja,hana nyumba,hana gari japo kazi na mshahara wake vingemuwezesha kuyafanya hayo yote.
SI AJABU PIA kuona mzee anaelekea kustaafu hata...
No fewer than 8,000 women on Thursday [Sept. 26] matched to the Zamfara Hisbah Commission, seeking the state government's assistance to enable them to get married.
Led by the Chairperson of...
Wadau, kuna dada mdogo hivi wa miaka 21 mke wa mtu ambaye hunisumbua akitaka kampani yangu hata kunitembelea weekend kwa kuwa mimi sijaoa. Mwanzoni alikuja kwangu kuomba ushauri juu ya manyanyaso...
Jaman nauliza..kuna wanawake wengine hujifanya walokole! Tena hujihesabia haki kuwa watakatifu na wacha mungu kweli kweli..cha kushangaz kwa waume zao ni wabishi,wenye hasira na uchungu,wasiotaka...
naombeni mawazo yenu kwahi lililonikuta mimi kuna mwawanamke na mpenda sema nini najitahidi kumuonesha kama nampenda lakini mwenzangu haoneshi kama uko pamoja na mimi hili ninatokana na nini
Nimeishi na Mwanamke huu ni mwaka wa tano, japo haikuwa ndoa rasmi. Baada ya taratibu za mahari tu nilimsogeza japo sijafunga naye ndoa ya kidini wala kiserikali. Miaka minne iliyopita, nikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.