Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
hii topic inahusu wasichana, wanawake, mabinti na hata mabibi! kuna mitazamo juu ya mapenzi tunaikosea sana na sisi tubadilike kwakweli pengine itasaidia kupunguza maumivu ya mapenzi na...
20 Reactions
61 Replies
6K Views
habari wana jf....natumaini mu wazima na weekend mmeianza vema. naombeni michango yenu ya dhati ili niweze kubadilika, mimi huwa nashindwa kujielewa nina matatizo gani nimekuwa na kitabia cha uoga...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Binafsi naamini ndoa imara hujengwa ktk misingi mikuu ifuatayo... Upendo wa dhati toka kwa kila mmoja,akili na kushirikishana ktk mambo mbali mbali yanayo husu ndoa yenu,chaguo sahihi la...
2 Reactions
24 Replies
11K Views
Habari wana MMU. Mimi nina dada yangu ameolewa miaka 9 iliyopita baada ya kumaliza masomo ya sekondari(f6) alifaulu vizuri(dvsn 1) kwa vile familia hatukuwa na uwezo wa kumwendeleza ktk mchakato...
0 Reactions
77 Replies
5K Views
TO THE LADIES! Your man is not perfect. You aren’t either, and the two of you will never be perfect. But if he can make you laugh at least once, admits to being human and making mistakes, hold...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Nawasalimu wana MMU, Ilikuwa ni siku ya Jumatano saa nane mchana tarehe 21/08/2013, nikiwa Bwagala Hospital ya Kihonda nilimpoteza mwanangu kipenzi Glory. Nilimpenda sana alikuwa ana miezi sita...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Kama hakutakuwa na mabadiliko hiyo ndiyo tarehe ninayotarajia kufunga ndoa kila kitu kinaenda vema, najua ni vigumu kuchangia fedha n.k lakini ni rahisi kushiriki kwa hisia...
9 Reactions
80 Replies
5K Views
habarini wanajamvi!Naombeni mawazo yenu he ni zawadi gani simple unaweza toa kwenye harusi??Kwa maharusi na wazazi wa bwana harusi??budget ya zawadi laki 5 hivi.Natanguliza shukrani!
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari zenu JF. Mi member wa longTime lakini huwa sipost mara kwa mara. Demu wangu anataka kunipanda kichwani. Kuna kazi aliiona aka apply sasa kaitwa kwenye interview na huenda akaanza October...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Great thinker naomba tusaidiane ushauri me nna kaka yangu ameoa huu mwaka wa tatu ndo hakuna mtoto,wadogo zake alowatangulia kuoa wote sasa hv wanawatoto na yy umri ndo unazidi kwenda maana ameoa...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Leo atajibeba... Nimemchoka nimechoka wifi yangu na maneno yake ya kunisakama eti sizai... Najaza choo wakati ndoa yenyewe hata mwaka mmoja bado... Leo kaingia choo cha kiume... Nimemkaribisha...
8 Reactions
137 Replies
11K Views
Mwanadada wa Nigeria ndiye mshindi wa shindano la urembo kwa wasichana wa kiisilamu mjini Jakarta Indonesia. Obabiyi Aishah Ajibola, 21, alishinda shindano la kimataifa la...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari zenu wadau? Yapata mwaka toka nitambulishwe katika familia moja ya kifahari kama kijana mwenye maadili bora na mpole, japo mtambulishaji mengi alitia chumvi na kwa kuwa hakuwa ananifahamu...
1 Reactions
69 Replies
6K Views
Jamaa mmoja alioa mwanamke wakapata watoto watatu kisha wakaachana. Yule jamaa akabaki na watoto wake. Baadaye aka funga ndoa na mwanamke mwingine. Huyo mwanamke mwingine na...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau, Mimi ni kijana wa miaka ishirini na nane,nina degree ya uhasibu na nilifanikiwa kupata ajira soon after chuo. Nikiwa nimeshaanza kazi,nilianza mahusiano na binti wa miaka 18 nikiwa...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Wana jamvi, polen na hongeren kwa kazi za siku ya leo. Wapendwa wangu naomba nichukue nafasi hii kuongelea hali ya hewa hapa MMU. Kwa wale ambao ni wagunduzi watagundua kwamba hali si shwari...
27 Reactions
208 Replies
11K Views
Habari WanaMMU. Nina maswali haya;- (Wanaume); Je, unamchukuliaje Mpenzi wako anapokuambia kila Mwanaume anaemtongoza. (Wanawake); Hivi mnajifikiriaje kumwambia Boy wako kuwa flani na flani...
0 Reactions
51 Replies
7K Views
Wasichana hawaelewiki kabisa.Wamekuwa ni chanzo cha deppression. Wanakupa matumaini na ahadi za milele lakini amini usiamini muda wowote unageukwa tena na matusi juu. Inauma sana msichana mpaka...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Back
Top Bottom