Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Pamoja na matatizo yenu yote,tunawapenda sababu mu warembo na mnakonga mioyo yetu na ni furaha zetu,mnajua kutucare sana ,hata tukiwakosea mara zote mmekuwa wakwanza kutusamehe,kwa kweli nyie ni...
4 Reactions
39 Replies
3K Views
Everytime she does something terrible and say sorry. But this has become a habit, saying sorry while she doesn't mean it. Bad thing she is a terrible liar, you can see though her all the lies...
1 Reactions
2 Replies
838 Views
Wakaka mlioko huku hivi kuna kosa gani kuamua kuachana na mtu umemkuta mashine yake ni kama kidole gumba cha mtoto...jamani wadada msiombe iwatokee hata kama ulikuwa unampenda vipi hapa lazima...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Wakati ninakua na kupata akili, pale kijijini kwetu alikuwepo mama mmoja kichaa, jina lake halisi aliitwa Martha na jina alilojitungia baada ya kuchizika ni 'SHOGA'. Mama huyo alikuwa mzuri sana...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Huyu ni mama aliyeishi miaka ya nyuma kidogo. Aliachwa kijijini akiangalia watoto wake na kuangalia rasilimali zao. Baba yeye alikwenda mjini kutafuta, huku mama akipata watot kila alipoenda...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Jamani wanaume wenzangu wa mmu kuweni makini sana. This is exklusivu kwa mabachela kama mimi. Ukitaka kuoa jamani wala usihangaike. Chukua binti wa kimakonde ndugu yangu ufaidi nini maana ya kuwa...
4 Reactions
65 Replies
20K Views
Mmegegedana kwa mwaka na zaidi, kisha baada ya harusi bado mnaenda honeymoon!!!! Mimi kwangu naona ni uharibifu wa hela.. *mimi ni mchanganyiko wa kichaga* na kipare#
0 Reactions
70 Replies
5K Views
Kifupi jamaa ana mke na wana miaka 9 hawajapata mtoto, ndipo jamaa kaonelea asije akaondoka duniani bila kopy yake ndo akafanya mpango wa kuzaa na binti mmoja na uzur wana watotot wawil. Shida ni...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Nenda maofisini,ukimkuta mama wa watu na utu uzima wake mbona utafurahi,anakusikiliza,anakuhudumia vizuri,anakushauri,anakupa matumaini na yuko bussy na kazi yake,mpaka utapenda. KIMBEMBE MKUTE...
7 Reactions
56 Replies
5K Views
Napenda kuchukua nafasi hii kukuaga wewe ambae ulianza kuniingia moyoni na nikaanza kukuonyesha mapenzi yangu ya dhati na niliamua kabsaa kubadilika baada ya kunionyesha kunipenda na kuwa na...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Kwa yeyote anaye weza toa msaada wa aina yoyote kwa mjukuu wangu ni mtukutu, shule hataki matukio ya udokozi, michezo mingi haishi kwake. Anasumbua sana ashapigwa sana na kwa sasa ukimpiga...
2 Reactions
53 Replies
8K Views
Tulikwazana.Tulisemana.Tuliudhiana.Tulikaripiana.Tukachukiana.Tukatukanana.Tukakosoana.Sasa kila mmoja wetu amesikia,ameona na kuelewa. Ya wanaume yatazingatiwa na ya wanawake yatafanyiwa...
0 Reactions
4 Replies
890 Views
Ni katika nchi ya Yemen ambapo mtoto huyo aliozwa kwa mwanaume tajiri wa miaka 40! Kwa nini? Wazazi waliamua 'kumuuza' binti yao kwa mwanaume huyo licha ya umri mdogo kutokana na ugumu wa maisha...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Unakuta mtu anajifanya kakosea namba then basi anatafuta kuwa rafiki yako humjui hakujui,siku mbili tatu ashaanza kukuita baby sasa sielewi huo ubaby umekujaje hapo khaa!!
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Mpenzi wangu anatumia mudabmwingi kuchat na simu,kwenye simu yake ana meseji,nyingi zikiwamo za wanaume,ambao ni watumishi wenzake,majina kama dia,mpenz, na mengineyo ndio wanayatumia kuitana...
1 Reactions
48 Replies
4K Views
Salamu wakuu Nimesikia kuna aina fulanifulani za wine zinasaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake. Mnaweza kunitajia
0 Reactions
34 Replies
44K Views
ni tabia iliyozoeleka kwa wanaondoa kulifanya swala la kipato chao kuwa ni siri kubwa,account bank nazo zinafanywa siri. Yaani mke hajui mume wake ana akaunti ngapi za benki na kiasi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu: Tangu niolewe huu ni mwaka wa tatu lakini kuna kitu kinanitatiza huyu mwanaume mara nyingi huwa anapigiwa simu na namba mpya tofauti tofauti nikijaribu kuzipiga wanapokea wadada...
0 Reactions
61 Replies
5K Views
Hello MMU Niende kwenye Mada kabisa.. Mapenzi ni kujifunza na kuna njia nyingi sana za kujifunza mambo yote ya 6*6 na mengineyo kama upikaji wa kumridhisha mme au mpenzi wako Elimu hii upatikana...
0 Reactions
23 Replies
11K Views
Mnaboa sana nyie wanaume vijana,yani hamna maana,hamna lolote ndo maana tunawaacha,mnakwepa majukumu yenu,ndo maana vibabu vipo kwenye chat na tutazidi kuvisifia jinsi vilivyo makini, KUNA...
3 Reactions
140 Replies
9K Views
Back
Top Bottom