Jamani mimi nimgeni humu JF ila ningependa kupata msaada kwa tukio lililomtokea mdogo wangu.
Nina mdogo wa kike, 2009 alisema amepata mchumba, katika kuulizwa jamaa yupo vipi amewahi kuoa...
Amani iwe nanyi!!
....
Nimekua nikijiuliza sana hilo swali (refer heading)
Mwenzenu nimekua nikikutana na haya Majanga ya kuambiwa "nimechoka"
....
Staki kuoneka malaya hapa! Nimekutana na ke...
^^
Tujadiliane,je siri mbalimbali za wapenzi kuanzia urafiki,uchumba hadi ndoa.
Je,kumpata mwenza atunzae siri sana husaidia kuimarisha mahusiano au huyabomoa?
...
Kuna siri mf. Za maisha ya...
DEEP POWER OF GIVING
Ni binti mdogo na yupo hospitali kumuuguza baba yake ambaye kwa sasa ni mzee sana na nguvu ya kufanya kazi imepungua. Ili baba yake atibiwe inahitajika kiasi kikubwa cha...
Hop mko vizuri wana bodiiii...mungu awape upeo ktk hili pia..
Katika dunia ya sasa mambo mengi yamebadirika sana hususani ktk maisha ya mapenzi na ndoa...
Now days ushirikina umekua kama...
Katika hali yoyote ile mkato (SHORT CUT) huwa ni mfumo unaohitajika kwa kila mtu! Katika hali halisi ya mapenzi ya siku hizi, ukitaka kumpata mzenzi wa kweli itakughalimu sana na wakati mwingine...
Ndugu zanguni wana MMU mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24 na ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja hapa DAR
tangu nikiwa na umri mdogo namaanisha tangu nikiwa shule ya msingi darasa la kwanza...
Shikamoni wakubwa wote, na wadogo mambo? Mimi ni kijana nasoma kidato cha sita, nilishawahi kuwa na mpenzi nikiwa o level kwa bahati nzuri au mbaya ujana ulimzidi tukaachana nikawa nimeamua...
Habari zenu JF........
Nina mahusiano ya kawaida tu na kijana mmoja wa kichaga ambaye ni mfanyabiashara yapata miaka 3 sasa.
Anatoa huduma zote kwangu kasoro tu dushelele lake ndo silihitaji...
Utafiti umeonyesha baadhi ya vitu vilivyosababisha ndoa za babu zetu zidumu ilikuwa babu na bibi kulala pamoja kwenye vitanda, ngozi za wanyama au mikeka yenye ukubwa usiozidi futi 2.5. Umbali wa...
Hop mko poa sana waungwana ktk siku hii ya leo na mungu azidi kuwabariki..
Waungwana najua humu ndani MMU tunajifunza mengi sana japo mafunzo mengne hutumia lugha kali lakini yote hii...
Habari wana MMU?
Ushuhuda wa rafiki yangu.
Katika pita pita zangu huko vitandani nimebahatika kutatua mademu kadhaa wenye fani tofauti tofauti za kazi. Kwa mfano, nimewahi kula uroda na...
Habari zenyuuuuu!!
Ni muda mrefu sasa tangu wana-MMU kushuhudia mahojiano murua kabisa juu ya personal life experiences ya baadhi ya watu hapa jukwaani. Mahojiano Yale,bila kumung'unya maneno kwa...
Wanajamvi,
hivi kuna maana yeyote kwa mwanamke kubadili jina lake la ubini na kuitwa kwa jina la ubini wa mume??
je kwakufaya hivyo inamaana kwamba wzazi wa watoto wa kike hawana sifa waipatayo...
Wana JF habari za jioni! Leo nimeamua kujitokeza hadharani kueleza yaliyo moyoni mwangu maana nimefikiri nimwulize nani bila kupata majibu.
Story ipo hivi,Mimi nimehamia hapa Arusha tangu mwaka...
nina mpenzi wangu, ambaye nimempata hivi karibuni, kama mwezi 1 umepita, j5 iliyo pita ndo ilikuwa mara ya 1 kufanya nae mapenzi. lakini cha ajabu ananilazimisha tufanye kinyume na maumbile lakini...
Imekua kawaida kwa binadamu mara nyingi kukumbuku kitu chake cha kwanza kutumia ama kufanya, Naamini kabisa wengi wenu mnakumbuka vitu kama Mpenzi wako wa kwanza kulala nae, Simu yako ya kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.