Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wadau....nilikua na sugar mamy moja ivi mitaa ya tandika. Kusema ukweli likikua likinifadhili mambo mengi. Lakin kutokana na tabia yake ya mawivu ya kijinga na kujifanya kunibana...kila time niwe...
1 Reactions
86 Replies
6K Views
Asilimia 90 ya CURRICULUM VITAE za wake za watu wanao omba kazi kwenye kampuni na mashirika mbalimbali , kwenye sehemu ya MARITAL STATUS zao wameandika wapo SINGLE...
0 Reactions
158 Replies
13K Views
Hivi Jamani Kwa Nini Six Park Zinawadatisha Sana Wanawake? Kuna Mshkaji Mmoja Ivi Yeye Ni Rafiki Yangu Sana Ila Sasa Sitamani Kabisa Kuwa Nae Kama Nipo Na Demu Wangu...Hivi Majuzi Tulienda Beach...
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Wakuu wa jukwaa, Leo nimekumbuka pendo langu la kwanza kabisa tokea nilipofikia umri wa kupractice mapenzi. Niseme ukweli lilikua tam.Nilimpenda sana yule msichana, alikua mrembo, alikua mtiifu...
3 Reactions
48 Replies
5K Views
Mpaka mwanzoni mwa mwaka 2008, ilikuwa ukinikuta ninaongea na mtu wa jinsia ya kike, kama sio dada yangu au ndugu yangu, basi jua ninamtongoza . Ilikuwa ni vigumu sana kwa...
0 Reactions
10 Replies
21K Views
Habari wana Jamii Forum. jamani Jamani hata sijui nianzie wapi jamani.Ila nawashukuruni kwa sala zenu na maombi yenu. Tumemaliza msiba wa Mme wangu mpendwa salama.Namwombea Mungu ampe pumziko la...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari wanaJF,nimetumwa nije niwasemee,wanawake wengi wengi katika ndoa wamekua hawaridhishwi kunako 6X6 yaani mwanaume au wanaume wengi tena wale wa old school huwa wanafanyaga tu lile tendo...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Msaada tafahar..mm ni he nina girlfrnd wangu miez miwil sasa imepita,tatizo linakuja kila tumapokubaliana kugegedana yeye hubadilika gafla na hapo kunako bed hugeuka uwanya wa fujo au vita kabisa...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Wadau naomba niweke wazi, nina mpnz wangu ambaye nampenda sana na mimi pia najua ananipenda anaweza akawa anataka kujegeja na kama mpo mahala pa starehe unaona dushelele limetuna kwenye suruali...
1 Reactions
55 Replies
8K Views
Hi nyie akina Dada huwa mnajua kuwa huyujamaa na kunisaidia kote huku lazima ananitaka?? Au huwa mnajikuta jamaa kakushtukiza na sound mara umejaa makitu Kabang!!! Na kama unamjua kuwa huyu lazima...
1 Reactions
1 Replies
757 Views
Hapo ndipo ninaposhangaa dada mimi. Hivi kwa kizazi cha leo na karne hii bado nyie wanaume mwachagua wachumba kwa kuangalia umbo la mwili? Mnakera kwa kweli. Jirekebisheni. Ina mana wenye...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
why do women fake orgasm? do men fake orgasm? how can you tel? why dont you be honest and enjoy sex? No offence just disussion
0 Reactions
38 Replies
5K Views
uwe unaongea sauti nyororo kama ya mtoto uwe na ngozi nyororo kama ya mtoto uwe unamwita mwenza wako mtoto (baby) uwe una mlisha mwenza wako kama mtoto uwe unacheza na mwenza wako kama mtoto uwe...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Tunatoa huduma kwa wote wanaosumbuliwa na magonjwa sugu au ya tabia.. Magonjwa haya yanatibiwa kwa njia ya kutumia virutubisho mwili vitakavyomwezesha mgonjwa kurudi katika hali ya kawaida ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukweli usiopingika watu matajiri siku zote wanataka watoto wao waolewe na kijana kutoka familia tajiri. Nakufanya mgawanyiko kuwepo, Wengine kati yetu tulikuwa na opportunity of dating people that...
0 Reactions
6 Replies
981 Views
habar wa mmu,cku nyng pande hz cjaappear bt ni kwa sabab ya kua busy na mishe za maisha... Back to topic.. Nna rafk yang wa karib,anampenz wanaependana sana,walikutana chuo na malengo yao ni...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Si jambo la ajabu kabisa katika dunia hii kuona kichaa ana mtoto au watoto, wapo wengi tu mitaani, mwanamke na makopo yake na huku kabeba mtoto, hata haishangazi unamuona leo ana mtoto na baada ya...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu naombeni mapendekezo yenu kuhusu majina ya watoto pacha wakike mmoja na wakiume mmoja. Likianzia na herufi A nitapenda zaidi. Kichwani nafikiria kuwapa jina la Angel na Angelo, napenda...
0 Reactions
82 Replies
43K Views
  • Closed
Watu wa haki za binadamu mtanisamehe. Hivi wanaume wamekuwaje jama? Mimi siku zote huwa nasikia mashoga... mashoga. Sijawahi mwona uso kwa uso. Juzi maeneo ya Jangwani nipo kwenye foleni naona mtu...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
^^ Tunatambua kuwa semi nyingi za kale zinabeba ukweli ambao leo utaukataa lakini ukikutana na masaibu ya maisha unarudi nyuma kuukubali. ... Never trust a woman ni moja ya semi hizo. Je ni...
1 Reactions
81 Replies
7K Views
Back
Top Bottom