Kwanza kabisa mnisamehe kwa wale nitakaowakwaza, ila nimefanya uchunguzi mkubwa kwa kuwashirikisha watu mbalimbali na nimegundua kuwa wanaume wengi wa kichaga wameathiriwa na uvaaji wa chupi zenye...
Kwa wanamme wa humu JF wenye hali kama yangu,
Mimi kiujumla ni mwanmme niliyetulia. Sipendi makuu. Sipendi kubishana na mwenza wangu kabsaa. Lakin toka nimeanza mahusiano..nimekua mwaminifu...
sasa hiki ndio kipimo changu........
haka kabinti ni kazuri mnoooo (kwa macho yangu) na kuanzia sasa natangaza nia, ninitoka tu huku shamba lazima nimtafute mtu wangu wa ukweli lara 1 au...
Unakuta mnakua karibu na mwanamke, basi usipoonesha interest kwake na kuanza kuwa karibu na mwingine urafiki unageuka kua uadui mkubwa sana tena wa hatari.
Ukipita msunyo, mara utamaliza mtaa...
Kuna baadhi ya mambo ambayo huwa wanaume wengi tunapenda sana na kimojawapo ni ZOEZI LA KUGEGEDA,kiukweli kila mmoja anapenda kujionesha ni mjuZi na mtaalamu katika sekta iyo nyeti ya utamu na...
Magomvi ya kila siku huu ni mwaka wa 15 , mwanamke ni mvumilivu kupitiliza. vikao kanisani . ofisi za kata woote wamenyoosha mikono rafiki yangu ni mtu asiyeshalika juu ya...
Niliwai kuleta topic ya kusumbuliwa sana na wasichana mkajaribu kunishauri nikafata ushauri wenu lakin nikama mlichochoe petrol kwenye moto.Nashukuru apa JF sijawai kusumbuliwa ila uraiani...
wakuu natarajia kutia ndani mahabuba.
Yapi ya msingi ya kufanya usiku baada ya sherehe ukumbini na siku ya kwanza ya kuishi kama mume na mke.
Naomba unipe experience yako na ushauri wa nini cha...
Mke wangu leo Amenichekesha sana
Aliponiuliza wale Marafiki zako wa
Kike waliokuwa wanakutembelea
wakati hujaoa Mbona Siwaoni tena?Au
ulikuwa ni Urafiki wa Kuoana?Twihi
twihi..Kila jambo na...
ni zaidi ya mwaka umepita na ilikuwa siri kubwa,sasa msichana amegundua nilicheza rafu asee kwangu hapakaliki nataman nilale kazin anasema nimwambie ukweli anisamehe,.kweli nilifanya kosa na...
Wadau nishaurini.
Nina mke...tumekua na uhusiano kwa muda mrefu. Lakin mwenzangu huyu anatabia za uzinzi, lugha chafu na kiburi. Nimejitahidi kila niwezavyo lakin furaha siipati. Huu ni mwaka wa...
Wapenzi wa mmu, naomba nipewe pole kabla sijaanza kusimulia mkasa ulionipata jana alhamis ya tarehe 12 mwezi wa 9. Siku hiyo niliyoitaja hapo, ndoa yangu ya miaka 10 iliingia katika msukosuko...
Mama mzima anamfundisha binti yake kwenda kuiba kidogokidogo ili ajiandalie mtaji eti wanaume hawaaminiki. Mama mzazi wa namna hii anafundisha watoto wake wizi na kurudisha nyuma maendeleo ya...
1. Huna upungufu wa nguvu za kiume, bali huna hamu tu
Kuna wanaume wakipungukiwa hamu ya ku do, wanadhani wana upungufu wa nguvu za kiume, kumbe kiukweli hawana hamu tu, na ili hamu ije inabidi...
Washington. Wanasayansi nchini Marekani wamegundua chanjo ambayo wanaamini itaweza kuangamiza Virusi Vya Ukimwi (VVU) kwa binadamu.
Katika majaribio ya chanjo hiyo, wanasayansi hao wameelezea...
Nimeonelea niwakumbushe wanajamii hususani jukwaa hili la MMU, mtu anapoomba ushauri tumshauri kweli kwa busara zote, tusianze mtupia matusi ama lugha za utani uloptiliza, kuna jukwaa la jokes...
Kwa muda sasa nimekua nikufuatilia kuhusu mahusiano ya wanamuziki Lina na Amini. Kwanza kuna kipindi ilitangazwa kuwa wana mahusiano. Na kwa sie wapembuzi ni kweli tuliliona hilo. Muda si muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.