Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
habari zenu wanajamvi jamani mimi natatizo mmoja kuna binti nampenda lakini shida inakuja pale napotaka kumumwagia sera zangu nashikwa na woga kunapindi nilimpigia simu nikamwambia nashida ya...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Wadau natumain hamjambo, Nina rafiki yangu ambaye ni kama ndugu,tumetoka mbali sana na sasa ni kama mtu na kaka yake.jamaa yangu huyu(hajaoa) alikuwa na dem mmoja hivi lakini walishindwana kwa...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Natumaini mu wazima wana MMU wenzangu.! story iko hivi mimi nina rafiki nyangu kipenzi sana yapata miaka sita sasa tupo marafiki Rafiki yangu huyo mnamo mwaka jana alitokea kumpenda binti mmoja...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
66% moan to speed up partner's climax 87% to boost partner's self esteem .....addd
2 Reactions
100 Replies
15K Views
Ijumaa kareem wadau! Kuna jamaa yangu alikutana na binti wa kisukuma kwenye bendi ya Akudo Impact. Wakapeana namba za simu tu usiku ule kwa sababu binti hakuleta ushirikiano wa kutosha pamoja na...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Hure........... Week kadhaa zilizopita nilikuja na mada hapa JF kwamba naombeni msaada wa kunitafutia viagra ili ini boost ,hii ilitokea baada ya kushusha idadi kutoka 5-2 per night ghafla kiasi...
0 Reactions
64 Replies
6K Views
Habari wana JF............poleni na shughuli zakujenga taifa letu. Dunia tambala bovu walisema wahenga wetu na leo nimeamini hili........Dada mmoja alikuwa na shoga yake kipenzi anayemuamini kwa...
2 Reactions
54 Replies
4K Views
Hii type ya hug ungefanyiwa wewe mwanamke na umpendaye kumoyo ungejisikiaje ?je na wale wanaokuzunguka ingetoa picha gani mnapokua faragha na mpenzi wako? au ndo umagharibi?au ndo hisia za mapenzi...
1 Reactions
58 Replies
6K Views
Ningependa kujua ni vigezo gani wanavyo 2mia wenze2 mpaka kumpata mwana mke mwaminifu
0 Reactions
24 Replies
2K Views
2 Reactions
65 Replies
11K Views
Miaka ya nyuma nilikuwa napenda kucheza soka (japo sasa nimelihamishia kwenye playstation). Naenda kazini na kabag kangu ka vifaa vya kuchezea. Natoka kazini napita uwanjani kisha ndio nielekea...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari kwenu, Yupi anafaa kuolewa kati ya hawa? 1. Aliyezini mara moja na akapata mimba kwa bahati mbaya na akaomba msamaha ili asamehewe na uchumba uendelee. 2. Aliyezini mara moja na kupata...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Toka tufunge ndoa maisha yetu yamekuwa mazuri na simple sana. Ni mke tunayeelewana na ni mshkaji wangu sana tu. Tumepeana uhuru mkubwa sana ila pia una mipaka. Kuna mipaka ya kawaida ambayo...
10 Reactions
88 Replies
7K Views
Katika pitia pitia zangu kuhusu magonjwa ya wasichana na wanawake nimegundua aina mpya ya ugonjwa maarufu kwa wengi Lakini hawajui Ama hawajijui kama wanao ugonjwa ni ugonjwa wa shopping. Chunguza...
2 Reactions
61 Replies
7K Views
Wadau, nimekuwa na mpz wangu kwa muda wa miez 8 sasa, na tunategemea mwakan mwz wa 9 kufunga ndoa. Tangu naanza kumpa sera za kulipata jimbo lake nilimuambia wazi kuwa mm nataka mwenzi na moja...
3 Reactions
145 Replies
14K Views
Hellow Wadau wa Jamii Forum, habari za leo? Mimi ni kijana wa miaka 28, naishi Ubungo( Dar es salaam) nina shahada ya utawala, natafuta mpenzi kuanzia 21-28, awe na elimu kuanzia kidato cha nne...
0 Reactions
57 Replies
4K Views
Eti jamani hi ni sahihi kwa mtoto wa kike? manaake mpenzi wangu kwenye simu yake amejaza video ya hizi mambo tena ni za maniga 2, kitu ambacho mim sipendi na kinanitia wasi wasi
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Wakuu kuna rafiki yangu nilipotezana muda mref sana tangu enzi za shule ya msingi, anaitwa THEODORY COSMAS NGUNGA. naomba msaada wakuu kama kuna yeyote mwenye/anayeweza kupata taarifa zake...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nina mpenzi wangu ambaye nimeanza naye mahsiano takribani miaka sita lengo ni kuwa na familia yani awe baba watoto,lkn cha kushangaza kila inapotokea kupata ujauzito ananishauri nitoe je ndoa ipo...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Naomba niwe wazi kua nimarachache sana kuniona nimeweka post katika jukwaa lolote ila nimpenzi mkubwa sana wa JF, napita majukwaa tofauti kila nipatapo muda ili niweze kuongezea kitu kichwani coz...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Back
Top Bottom