IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Tuache masihkhara hizi mbegu za shamba, old school, watoto wa maadili they are SO SWEET! Hadi una enjoy kukaa nao! They know how to care for a...
baadhi yetu wanaume ni waongo sana. hivi kweli mwanaume timamuaweza danganya kuwa yeye haongi? Nijuavyo mimi wanaume wote tuntoa rujua kupata kile tutakacho kwa mwanamke hata akiwa wa ndoa...
Inaonekana umekuja utamaduni mpya kwa baadhi ya wanaume kuwaomba wapenzi wao kupata mimba kabla ya ndoa. Nimefanikiwa kuwauliza vijana 20 ambao tayari wapo kwenye umri wa kuoa. Kati ya hao 15...
mtu unamtangazia nia,anakusikiliza,mwisho anakukubalia,anakiri kukupenda pia,anakuonyesha upendo,anakujali,anajisikia faraja hata mbele ya rafiki zake anakutambulisha,anakukabidhi kila kitu kwenye...
Wapendwa wana janvi, "NADESIGN" Software rahisi kwa ajili ya kusimamia HARUSI!
Inafanyaje Kazi!
Software hii inafanya kazi kwa kuanzia kwenye Bajeti,kuainisha pledges VS michango, kuoanisha...
Wadau. Hivi mnapokuwa mmeshaoana, ni nani anayetakiwa apange kwamba 'huu ni wakati wa kupata mtoto'? Ni mume, ni mke, baba/mama mkwe au ni ile ghafla tu kitoto kinatokea!?
Kuna rafiki yangu...
Habari wanajamvi,
Ni muda sasa tokea niwe napika ugali, lakini chakushangaza unapoloweka ile sufuria na mwiko akija mama mtu mzima anagomba sana,hawapendi uloweke ule mwiko wanataka uoshwe?Je ni...
jaman mi nina mchumba wa kabila fulan lakin ndugu na jamaa wanaxema eti hilo kabla huwa lina tabia ha kuua wanaume hasa mnapokua na mali nyingi jamani. naombeni ushauri kabla ya kwenda hatua nyingine
Kuna dhana kwamba
wanawake walioajiriwa
wanakabiliwa na
mazingira ambayo
yanawalazimisha kuingia
kwenye vitendo vya
kutoka nje ya ndoa zao,
ukilinganisha na
wanawake ambao
hawajaajiriwa...
Wadau..kwa muda mrefu nimeona kwenye mitandao mbalimbali kuhusu huyu dogo Manaiki Sanga kuweka picha za utupu na madada mbalimbali. Nashangaa sana...ina maana hao wadada wanafanya maksudi...
Kuna watu wana bahati sana ya kupendwa na watoto wadogo au vijana wadogo wa jinsia zote mbili (kike na kiume), hivi ni kitu gani kinawafanya wapendwe na watoto? maana hata mtoto ambaye hamfahamu...
Youve kissed a few frogs and finally found a man is who is funny, handsome and charming. But is it real love or is he taking you for a ride? Find out 1.) He showers you with compliments the first...
Habari zenu wana jamvini ninarafiki yangu alikua na mchumba wake na alikua amesha mtolea mahari tena mahali ndefu iligharimu 2000000 kipindi wanaanza mahusiano Dada wa watu alionesha tabia nzuri...
katika mahusiano swala la ugonjwa kwa mpenzi wako linahitaji umhimu wa kipekee.
Hakikisha unaenda mara kwa mara kumuona mpenzi wako hospitalini,mjali kwa kumpa matumaini,kwa chakula na vinywaji...
Hapo zamani nilikuwa nikishangaa sana kuona mwanaume anahonga hadi laki kwa mwanamke, au kumpangishia chumba au nyumba mwanamke, zangu ilikuwa sana sana elfu 10 tu au hakuna kitu, siku hizi...
Hivi ni kawaida kweli kusikia eti mwanaume anamkatalia Demu wake Ku Dooooo mpaka waoane. Kama wewe Ni mwanamke ukanyimwa penzi na jamaa yako mlozoeana sana kwa kutumia hii sababu utahisi nini? Na...
baba yangu ni mjane!
ninamtafutia mke...umri wowote ila miaka 60 na kuendelea atafaa zaidi maana yeye yupo above 70!
naitaji mama wa kumtunza na kumuondolea upweke naona anateseka sana maana...
1. Don't be in a hurry to move out of your parents house.
2. Don't wait for a man before you start living.
3. Stay away from alcohol.
4. Don't entertain a wrong number call,especially at...
Wataalam wanasayansi wa Marekani wamegundua kuwa kuna uhusiano mkubwa kati ya ukubwa wa korodani (siyo dushelele kwani fupi tamu na hakika kubwa inakera) wenye korodani kubwa ni wapenda ngono hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.