Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
1. Usimuonyeshe "Pedi" yako Damu kikawaida huwa inawatisha sana baadhi ya watu, kumuonysha pedi bwana wako unamharibu kisaikolojia, kwa maana inamjengea kuhisi hali ya hatari, akiiona hiyo siku...
6 Reactions
60 Replies
9K Views
Limekuwa ni jambo la kawida na lilizozoeleka kwa jamii mtu kumtambulisha boy/girlfriend, mchumba mume au mke kwa ndugu, jamaa au marafiki unaokuzunguka kulingana na circumstances mbali mbali, au...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Mapenzi ya mekua shida sana hasa kwa wakati huu kwa vijana wengi... Wanaume wanalia kula kukicha.. wanawake ndio tabu tupu daily. Nacho amini kwa mtazamo wangu vijana wengi sana hujihusisha na...
4 Reactions
27 Replies
5K Views
Baada ya kukwaruzana na huyu mwanamke niliyekaa naye miaka sita bila ndoa huku nikifanikiwa kupata naye watoto wawili, nyumba nne, mashamba ya mifugo sita, shamba moja la samaki, mashamba mawili...
20 Reactions
58 Replies
5K Views
Wasichana wanaporuka ukuta wa fence na mageti ya kwao usiku kuwafata boyfriends wao ina maanisha nini?Either wamekosa kabisa maarifa ya kudanganya wakapata nafasi za mchana ama wazazi wanawabana...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
wakuu habari za asubui...nisiwachoshe na maneno mengi niende kwenye point.kumekuwa na visa vingi sikuhizi au inaanza kuonekana kawaida sasa,jana usiku kuna binti wa miaka 26 amefumaniwa na baba...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Habari kwa wote, Baadhi ya dada zetu hasa wasomi wanapenda kuzaa tu na kuendelea na maisha yako.Hii ni tabia ambayo inakuwa kwa kasi ktk jamii ya mtanzania.Kiukweli jambo hili linaenda kinyume na...
0 Reactions
82 Replies
8K Views
Msaada jaman nahc kuchanganyikiwa, nimekuwa na mpnz wangu zaid ya 5yrz mpaka kutambulishana, ila ndan ya 2yrz nimekuwa nikmsadia kadl ya uwezo wangu anapokuwa nashida kipesa, na mengne, binafsi...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Wanasayansi wanasema kuwa kuna uhusiano kati ya ukubwa au udogo wa Korodani (Testicles) za baba na uwezo wa baba kutekeleza majukumu yake kama mzazi wa watoto wao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
APPLICATION FORM TO MARRY MY DAUGHTER FILL THE FORM IN OWN HAND WRITING AND IN BLOCK LETTERS. I'm _____________________________________ Hereby applying to marry your daughter Sir. I am...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ipi ni Aibu Zaidi?? 1. Kufumaniwa ukiwa na mke wa mtu. 2. Kwenda na demu Hotel na kulipia chumba Tsh 50,000/ halafu dushelele inagoma kusimama. 3. Kukamatwa ukiwa unavunja amri ya 6 na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
* He is too eager to know the exact amount his partner earns as salary. * He pushes responsibilities to her even when they are things he can readily afford. * He checks her phone, hand bag...
4 Reactions
1 Replies
1K Views
habarini za leo ndugu zangu! nina ndugu yangu hapa ameoa, lakini kabla ya kuoa huyo dada alikuwa na mahusiano na rafiki yangu m-dada mmoja hivi. Sasa anadai eti nimuunganishe tena na rafiki yangu...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Habari wana MMU.....! Mwenzenu bana nlivyokuwa chuo nilikuwa na rafiki wa kike ambaye nilizaa nae palepale chuoni haikuwa adhma yangu ila ilitokea, baada ya kugraduate mapenzi y a simu ikabidi...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
ivi mkoje nyie wanawake wa leo..?
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Hii Inaudhi Sana Bwana: Umetoka out na demu wako, mmepiga wine vizuri, nyama choma na kadhalika, later mkaamua kwenda kwako, mmefika stori za hapa na pale then mnaanza kucheza cheza, unaanza...
8 Reactions
121 Replies
10K Views
Mimi ni msichana, nimetokea kumpenda sana huyu kaka nikamwambia ya moyo wangu, nae akaniambia ananipenda pia ila aliogopa kuniambia maana tumefahamian mda mfupi. Wakati tunaelezana haya kila mmoja...
2 Reactions
94 Replies
8K Views
waswahili wanasema ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi lakini wanasayansi wamegundua uwepo wa uhusiano mkubwa kati ya size ya korodani za baba na jinsi alivyo active katika kukuza watoto...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Unakuta unakuwa wa kwanza kwenda kitandani unalala, na kama kawaida unaanza kupumua kwa spidi yako ya kawaida. Baada ya muda anajiunga mwenzako kitandani kulala. Hapo bila shaka naye ataanza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni kauli ambayo si ngeni saana na leo nimeona niielezee kwa undani zaidi.mwanaume anaweza kuwa na tabia fulani mbaya au mwanamke hivyo hivyo but cha ajabu ni pale wanapo jidanganya kuwa wakioa au...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom