Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
salam kwenu watu wa jamvi, nienda kwenye mada moja kwa moja, najiuliza ni kwanini kunakuwaga na wivu mkali, visasi, uadui na chuki inapotokea kwamba kwamba kuna mtu ameingilia mahusiano yako...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
nilikuwa na mpenzi tuliedum nae takriban mwaka mmoja na nusu tukashindana tabia. kikubwa ni kwamba nimekuwa nikimfuma live kitandani na wanawake tofaut,kila nikimfuma anaomba msamaha tena huku...
0 Reactions
69 Replies
6K Views
Siku ambayo wakristo wengi wanaithamini kwa kwenda makanisani kuabudu. Cha ajabu siku hii imekuwa ya kutenda maovu kwa sisi akina dada wengi sababu ya uhuru tunaopewa majumbani mwetu. Wengi...
1 Reactions
58 Replies
5K Views
Jose anaambiwe arith mke wa kaka yake baada ya kaka yake kutangulia mbele za haki na ugonjwa hatari wa UKIMWI baada ya kukataa jose anapewa radh na wazaz wake na anakuwa mwehu.je ww ungemshaur nn...
0 Reactions
5 Replies
896 Views
wadau siku hizi imekua kawaida sana kusikia binti kaozwa kwa m1,2,3,4 mpaka5 hata kama hana viwango vya hizo amounts. ninacho jiuliza ni kua ughari huu wa mahari ni kutokana na umaskini wa...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
leo nataka kujua kama baridi ni moja ya kichocheo cha kufanya mapenzi na kuzaliana kama inavyoelezwa mara kwa mara. napata tabu sana kuamini kwa sababu hii,mikoa yenye watu wengi kwa sensa ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari za humu naamini wote wazima kabisa nimeamua nije humu mnishauri kwani nipo njia panda nina mume ambaye nimeishi nae miaka 7tuna mtoto mmoja wa kiume nina mume wangu amekuwa akinicheat...
3 Reactions
51 Replies
4K Views
kwanza kabisa heshima kwenu,kuna kazi nimepewa ya kuweka hili ombi la rafiki yangu wa kike mmoja anaetaka mchumba..yeye kigezo chake ni uaminifu tu..tiririka pm ulipo na kama una cha kuniambia ili...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
BTW, we all have germs, what is the big deal......?
2 Reactions
43 Replies
4K Views
salam zenu wana mmu! naomba kwanza nimuinulie kidole gumba mkuu Zinduna kwa kauli yake...'kuwa mwanamke ni gharama'! nili-appreciate hii kauli baada ya kukumbana na haya mambo mtandaoni, kwa...
4 Reactions
36 Replies
5K Views
Wana JF, Habari za asubuhi. Mimi nimeoana na mke wangu na sasa tuna zaidi ya miaka 22 ktk ndoa. Wakati namuoa kipato changu kilikuwa kizuri sana, wakati yeye alikuwa mfanyakazi wa kada ya...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mimi ni binti,nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tulipendana sana na mimi kufahamika kwao,,tatizo lilikuwa pindi nipo nae huwa hapendi niguse sim yake lakini sim yangu kugusa ni lazima,,siku nyingine...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Natumaini bado mko salama asubuh hii.. Nianze na hiki kisa, Mpenzi wangu kabadilika kabisa ktk suala zima la mahaba,vionjo na hamhamsha lake. Hapo awali alikua na hisia nzito na kali juu...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Inakera pale mtu anapokuja na shida anakuomba hela with a promice ntakupa after three days afu anauchuna hasemi kitu after those days anakua anakupiga fix tu. Mbaya zaidi anakuzungusha mpaka...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
ENZI ZA MZANAKI 1.enzi za analog wazazi walikuwa wasemaji wa mwisho kuhusu nani uoe ama nani akuoe. -walichunguza tabia wao -walipendekeza mke wa kuoa -dini ilizingatiwa,kama unataka kubadili...
0 Reactions
0 Replies
827 Views
kansa ya mdomo huletwa kutokana na sababu hizi, kutafuna tumbuku, kuvuta sigara, kuimba(mwimbaji), ulevi wa pombe kali, hakuna sehemu yoyote palipoandikwa kuwa kansa ya mdomo inatokana na "ULAMBO"...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Ni wapenzi wachache wanao weza kuachana kwa amani. Wengi huachana kwa shari na mara nyingi huachana kwa kubadilishana maneno machafu. Ifuatayo ni TOP 7 ya maneno machafu...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Jf..naomba kuuliza...mwanamke hua anajiskia nyege wakati wa period au baada ya period?..Na hizo nyege zinakuaje?..
1 Reactions
67 Replies
14K Views
Mavazi yasioendana na tukio: Unakuta mwanaume memualika mrembo kwenda ku dine mahali fulani anakuja na mavazi kama vile anakwenda kununua koni kwa Bakhresa Kariakoo. Ni vyema mwanamke kama...
11 Reactions
171 Replies
28K Views
Back
Top Bottom