Ukitakaka kuondoa stress basi wewe peruzi jf.
Ona mmoja wa wadau asemavyo,nanukuu: "mbunge wetu......haonekani bungeni,ukimuhitaji mkute guest house "AKICHONGA PENSELI YAKE KWENYE KICHONGEO"...
si kwa ubaya
kama umewahi kutembelea benki ya equity tawi la golden jubilee
basi bila shaka utakuwa umewahi kukutana na angel like face ya binti mmoja hivi kwa muonekano kama half cast ivi...
wadau leo nimepata jipya eti boy friend wa binti amedai hawezi kufunga ndoa kwasababu binti hana ndugu wenye uwezo wa kumfanyia send off. Hivi huyu mtu ni muoaji kweli? Mimi sidhani.
awe
1.mzuri
2.mpole
3.mkarimu
4.mpenda watu wote
5.asiwe na makuu
6.atakeheshimu ndoa
7.elimu(reserved)
8.apendaye wageni na ndugu wa pande zote
HAPO NAMBA 8.
wanawake wengi ni...
Mke wa rafiki yangu amejifungua wiki kadhaa zimepita, rafiki yangu siku zote alipenda kuwa part of everything going on with his son ikiwa ni pamoja na kumuogesha kichanga. Alimuomba mama mkwe wake...
Ile staili ya mwanzoni mwa miaka ya 2000 ya kuwang'oa warembo kwa kuwahadaa safari za South, Dubai, Mauritius na hata Zanzibar, sasa imerudi tena. Huwa inakuwaga hivi, jamaa...
Mwaka 1995 tulikuwa na mkata majani wetu aliyeitwa Manase. By that time, Manase alikuwa na miaka 25. Huyu jamaa alikuwa smart sana, kwa namna alivyo kuwa anajiweka smart...
Jamaa yangu mmoja kapigwa changa la macho.
Mpenzi wake aliyedumu naye kwa taktiban miaka miwili, ambaye alikuwa mara nyingi anamsisitiza aende kwao akajitambulishe ili wafunge ndoa huku jamaa...
Najua vijana tunapenda sana kugegedana.
Ushauri wangu punguzeni au acheni kabisa au baki na mmoja umpendae.Sio kila umwonae mate yanakutoka.
UsiniPM kuniomba namba ya simu.
Pia inawahusu wale ambao hivi karibuni watafunga ndoa. Nawafahamu baadhi ya watu wameacha kufuatilia michezo, kuhang out na mambo mengine kwa sababu wapo kwenye ndoa.
Mwana MMU vitu gani ambavyo...
Namba 16 imeitwa jina la kuwa ni NAMBA YA WASICHANA kutokana na wengi wao kudanganya umri kwa wapenzi na marafiki zao.
msichana mwenye miaka 14 ama 15 anasema ana miaka 16,msichana ana miaka 17...
Hi guys?
Last week I asked a girl that I have liked for a couple months now out on a date since she has showed me some signs that she liked me or was just for a friend. We have had many...
^^
Ni binti mrembo kiasi unachoweza kueleza..
Uzuri wake hauelezeki kwa maneno yaliyopo duniani..
Ukichanganya na maringo/kujisikia kwa namna yake basi usiombe kumpenda..
But she is all busy...
Wana MMU Eeeeeeeeeeeeeeehhhhhh.
Ebu tujuzane jamaa yangu kalala na binti, binti alikua bikra siku ya tukio kinga ilitumia,,kinga yote ilitapakaa damu..Leo binti kapima kwa vipimo vile vya kawaida...
nina mda naye mwaka 1 sasa ananishangaza jambo 1 kwamba kila nikimpigia cm majibu yake ni ya mkato mwisho anamalizia ninakazi tutaonge baadae na baadae yenyewe apigi nikimpigia ma jibu yaleyale...
ndugu wana jf.ushauri wenu tafadhali, nilikuwa na mpenzi ambaye alinitambulisha kwao, lakini tulikuja kuachana yeye akaoa na mimi natarajia kuolewa next week. tatizo ni mama mzazi wa huyo ex...
Wana psychology, wazazi,na wanajamii ebu tusaidiana kujua watoto wa kijijini na mijini wamejulia wapi mapenzi(matinga)? Unawakuta watoto wanajifanya baba na mama then kinachofuatia ni Anyong'...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.