Huwa sichangii jukwaa hili ila nadhani habari hii is worth sharing....
Watafiti huko Marekani katika Chuo Kikuu cha Emory University-Georgia wamebaini katika uchunguzi wao kuwa wanaume wenye...
Imetajwa mara nyingi kuwa mwanamke akipata mimba upande mwingine ni karaha.
Wanaume wengi wanatoa ushuhuda wa shubiri wanayoipata wakati wake zao wanapokuwa wajawazito kuliko wakiwa wajawepesi...
kaka yangu ni player kwa kutupwa wifi akisafiri anateta wanawake hadi ndani, mkewe ana nyodo sana anajifanya mjuaji anadharau na hapendi kuongea. Mungu anisamehe sometimes nataman kumwambia...
Jamani kuna majanga hapa jijini. Baba mkwe pamoja na familia yake yote amegomea harusi ya mtoto wake baada ya kufika kanisani hapa na kukuta ndoa imeshafungwa bila ya wao kuwepo. Sakata hili...
Samahani, picha zinatisha.
Jealous Girlfriend Allegedly Bathes Boyfriends Private Area With Acid (PHOTO) Viewer Discretion Advised)
in News
A girl suspected her...
UREMBO NI KAMA MAUA.
ukiwa ndo kwanza msichana MAUA YAKO YAMECHANUA. hapa sura yako ni baby face,mwili hauhitaji makeup kukutambulisha kuwa u mzuri,nguo zote zinakukaa na kukupendeza,macho yako...
habarin wakuu...ni majanga waheshmiw,.nilktana na mschana nikiwa chuon..kimuonekano alkuw poa sana na alikuw ni kiongoz wa dini pale chuon,kiukwel kila mw'ume alikuwa anamtaman,ktk ule ushndan...
...What kind of questions you asked yourself in such scenario?
...What measures did you take?
..How do you feel when you come across the reject-er? (Assuming your current relationship is so...
1.Usije jaribu, kumpiga mwanamke au kumtukana. itakushushia heshima sana na aiwezi kukufanya wewe uwe jasiri. Ki ukweli itakufanya uonekane jinsi gani ulivyo dhaifu.
2. Si vyema kumwangalia...
Wakuu MMU,
Leo nimeona nikumbushie zamani zile za bila Simu za Kiganjani namna tulivyokuwa tunatongoza na kupeana Vi date.
Kipindi kile Nam Date Catherine, nilikuwa tu namwambia Jumamosi uje...
mara nyingi zaidi karibu wanaume wengi wanatumia maneno mawili tu kuwashawishi wanawake/wasichana.
1.nakupenda-hili hutamkwa awali kabisa na mbwembwe zingine ndio zinafata.HATA kama hakupendi...
Kijana mmoja baada ya kufunga ndoa,baba yake
alimtaka alete kalamu ya risasi karatasi na ufutio.
Baada ya kijana huyu kuja na vifaa hivi, baba akamwambia
mwanae andika:
Kijana akauliza:Niandike...
mbaba anatembea na mwanae wa kumzaa yeye.
Wengine wanapata ujauzito.
Hapo kwenye ujazito wa baba kwa mwanae wa damu unanipeleka mbali nakukumbuka story miaka ya 2000 katika kipindi cha ushauri...
Mpenzi wangu nakutafuta sana hupatikani hewani ni miezi mitatu sasa,sijui nini kimekukuta,Nakuomba popote ulipo tafadhali nitafute kwani nazidi kukonda kwa mawazo,nakumbuka mara ya mwisho tulikuwa...
You know how hard it is to find a
right person to settle down with
these days? Now you actually have
one who would do anything for you,
and you have the nerve to flirt with
other people on...
hili linawatokea baadhi ya watu.
MSICHANA unapata zako boyfriend safi,nyumbani mdogo wako ni mzuri zaidi yako.
UNAMTAMBULISHA jamaa kwa mdogo wako kwa nia njema tu.Jamaa anamzimikia na pengine...
Nina mpenzi wangu ambaye nimeridhika naye kwa kuwa ninampenda, na kama mapenzi ya Mola yatatimia ningependa awe mama wa watoto wangu. Ni mwanaume wake wa kwanza.
Ni binti mrembo...
Mama huyu akiwa hajielewi kwa kile kilichompata,baada ya Kufumaniwa na mwanaume katika nyumba ya wageni ya super star hamugembe alitoweka na pesa za mwanaume huyo ambae inasemekana ni mkazi wa...
^^
Bila shaka wewe si mgeni katika safari ya maisha!
Hata kuwa na uwezo wa kuingia ktk mitandao na kuchangia fikra zako basi ni dalili njema kuwa una ufahamu.
...
Kuna watu katika maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.