Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Natumaini nyote ni wazima.kuna mdada mwenye ndoa yake kaniuliza hilo swali nashindwa nimjib vp jaman tumsaidie.
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Hello wana JF wenzangu! Ndugu zangu kuna Binti mmoja nimekutana naye katika mtandao wa kijamii wa Facebook. Ki ukweli sijaelewa hata ilikuwaje hadi akawa friend wangu, ila nakumbuka niliona tu...
1 Reactions
59 Replies
6K Views
Joni alimtembelea galfrend wake aliyemwalika msosi wa jioni. Ghafla jioni ile bado akiwa kwa girlfriend wake mvua ilinyesha kubwa sana na haikupungua kwa muda mrefu. Wazazi wa binti walipoona hali...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
basi bwana kuna jamaa mmoja bwana nimejuana nae miezi ya karibuni..ofisi zetu zipo jirani so tunakutana saaana lunch time..basi kila siku ananiomba tukutane jioni tupate hata lunch na story...
12 Reactions
98 Replies
8K Views
Beautiful story.....A very poor man lived with his wife. One day, his wife, who had very long hair asked him to buy her a comb for her hair to grow well and to be well-groomed. The man felt...
6 Reactions
24 Replies
4K Views
Nimekaa na kufikiria ya kwamba: Mara nyingi tunawaambia wenzi wetu tunawapenda, na pia wakati wa kufunga ndoa tunatoa viapo na mwisho wa siku tunakabidhiwa 'a piece of paper' kuashiria muunganiko...
0 Reactions
0 Replies
943 Views
Huku mitaani nimefanya uchunguzi wa wanawake wanaoishi na virus vya ukimwi nikagundua kuwa wengi wao ni tamaa ya pesa, hapa maeneo ya kwetu kuna wanaume wawili ninaowafahamu ambao wanatumia pesa...
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Nimeona bora niwashirikishe wana JF wenzangu kwenye hisia zangu kwani ninahisi nina mkosi wa mapenzi jamani..........,nilibahatika kumpata jamaa mmoja alinipenda sana tulidumu kwenye penzi letu...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
  • Closed
Eti wadau,ni kwa nin wanaume wa hayo makabila wanaongoza kwa kushobokewa na mabinti hapa tanzania??
0 Reactions
39 Replies
14K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE! "Marriage ruins some of the the best relationships" -Djimon Gaston Hounso (Bwana yake Kimora Lee !!!!!!!) Si maneno yangu mimi Lara 1 maana hamkawii...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Raha ya mapenzi wawili kupendana na si kumtegemea mmoja ndiye aonyeshe mapenzi zaidi ya mwingine,ushirikiano unaleta furaha na siku zote unajenga,mwenzio akionyesha anakupenda sana na wewe...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Wananchi wakitembeza kichapo kwa mbakaji huyo mjini Iringa leo Mbakaji akivuja damu baada ya kupasuliwa na mawe kichwani Mtuhumiwa wa ubakaji akipelekwa polisi leo...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Wengi hudhani wanawake wengi wanaovaa nguo zinazoonesha sehemu kubwa ya mwili(nusu uchi) huwa wanajiuza. Ukweli ni kuwa hiyo ni sababu mojawapo. Wanawake wa kundi hili huvaa nguo zinazoonesha...
2 Reactions
57 Replies
17K Views
Wanajamvi,hivi mkeo Ana kazi mzuri mshahara zaidi ya milioni,marupurupu kibao.wewe mume unabahatisha kipato,Nyumba yenu kicheko ni Mara chache sana zaidi ya kununa kwa mama muda mwingi,kila...
0 Reactions
0 Replies
974 Views
Ndugu Wapendwa, Nilikuwa nawaza ni namna gani naweza kujing'atua kutoka kwenye lindi la umaskini, ndio wazo lifuatalo liliponijia. Kwamba naweza kutoa single (wimbo) wenye maudhui yanayohusu Jf...
1 Reactions
41 Replies
3K Views
Postinor-2 tablets Postinor-2 is an oral emergency contraceptive. It may help to prevent a pregnancy if taken within 72 hours of unprotected sexual intercourse or failure of a contraceptive...
13 Reactions
54 Replies
11K Views
Habari zenu wana JF,Naomba ushauri wenu kwa hili tatizo linalonisibu kuhusu mpenzi wangu.Nina mpenzi ambaye tunatokea wote mkoa mmoja huko kanda ya ziwa,pia tulisoma wote shule ya msingi lakini...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Nina Mchumba Wangu, nina uhusiano naye takribani mwaka sasa. Nampenda, na naamini ananipenda(si usemei moyo), kwa kuwa tunaishi kwa maelewano na upendo wa hali y juu. Mwezi Jana tu, alileta...
14 Reactions
303 Replies
27K Views
Habari wana JF naomba kujua sifa za mwanammke wa rombo hasa wa sehemu ya keni . naomba kuwasilisha:A S kiss:
0 Reactions
52 Replies
22K Views
Kwa kiasi kikubwa Wakurya kama Mwita Maranya ni wapigaji na watesaji wakubwa wa wanawake (hasa wanawake wakiwa sio Wakurya) lakini cha ajabu wasichana na wanawake bado wanawakubali kwanini?
2 Reactions
87 Replies
10K Views
Back
Top Bottom