Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Pamoja na kutupa ndoano kwa wasichana wengi zaidi toka naanza kupata hisia mpaka kuwa mkongwe katika maisha yangu ni mara moja tu ilitokea mrembo nikampa somo akakiri na kusema "NIMEKUBALI,hata...
0 Reactions
79 Replies
9K Views
Habar zenu wana jamiiForum nilikuwa naomba mnipe ushaur kuhusu hili-:Kuna siku wakat napiga simu nikakosea namba moja tu akapokea msichana kama mnavyojua vijana kupokea nikamwambia kuwa nakupenda...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Wadau kuna wanawake wengine wanajiona wao wazuri wao kila kitu na ukimuangalia huyo mdada hana hata shape wala sura yupo yupo tu lakini anavyojiona analeta pozi mpaka kwamadem wezake hii tabia...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
EX no1 alikuwa bahiri,sijawahi ukiona hata sh kumi yake EX no2 alinidanganya kumbe Ana mchumba,niligundua baada ya mwaka EX no3 nae aliniacha baada ya tendo akakata mawasiliano,after 1yr akaoa...
3 Reactions
53 Replies
5K Views
Heshima kwenu Wakuu! Ni takribani wiki mbili hivi zimepita, mimi & wenzangu tulipokwenda mkoani Mwanza kwa ajili ya semina ya kikazi. Ilikuwa semina ya muda wa mwezi mmoja ikihusisha wafanyakazi...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Nampenda bata,huwa anachelewa sana. Simpendi kuku anawahi mno. Nampenda bata huwa ana Gobole haswaa. Simpendi kuku,sijui kale ni ka bamia. Unapenda nini ndugu yangu?
0 Reactions
20 Replies
2K Views
nimekuwa katika utafiti kidogo kuhusu why wanawake wanapenda kuonekana weupe ndio uzuri. unakuta demu kwa color yake halisi ni mzuri but anajiribu kuitengeneza kwa design nyingine. Kuna siku...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Hebu waza jinsi ulivyo,je ungeridhika kuoa au kuolewa na mtu mwenye tabia kama zako?
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Kama wewe ni mwanaume usije jaribu kugegedwa...utanogewa. Nammiss bf wangu ila hana nafasi tena, kashanogewa.
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Ndoa ya chama NO moja na CUF inaonekana kuelekea mwisho hasa baada ya wana CUF kutoka nje mjengoni. wewe je unalionaje hili?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume, ila siyo vibaya nikatoa elimu hii kwa wana MMU wote, walegwa zaidi ni madada zetu. Amna kitu kizuri kama kama nyumba yenye furaha, amani na upendo, kuna vitu vichache ambavyo...
1 Reactions
12 Replies
10K Views
Jamani hiki ni kisa nilichoshuhudia mwenyewe. Dada mmoja alifumaniwa live na mume wake akingonoka na mwanaume mwingine ndani ya nyumba yao.kwa bahati mbaya yule mwanaume alifanikiwa kutoroka...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Habari zenu wana mmu. baada ya wife kujifungua kabla ya kuruhusiwa dokta akatwambia tukae bila ku du mpaka baada ya wik 6 hat miez 3.dah muda wote huo nimegoogle nikakuta dk yupo sahihi.najiuliza...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu wakubwa!! Wakubwa zangu heshima yenu nawapatia. Nimeanza uhusiano na dada mmoja kama miezi mitatu imepita sasa. Nampenda na yeye anasema ananipenda. Nimeanza naye uhusiano baada ya...
0 Reactions
65 Replies
5K Views
^^ Kumtafuta mtu unaetaka siku moja uungane nae katika maisha yako yote yaliyobakia ni jambo moja na kumudu kuishi nae ni jambo lingine linalojitegemea, Inatokea mara nyingi sana wawili hawa...
5 Reactions
10 Replies
4K Views
Msaada samahani,Mume anakuambia laivu kuwa ana mwanamke nje na hujamkosea lolote na muda huo anakuambia anakupenda sana, Kiukweli inauma na sijui nifanye nini.
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Wanajamvi asalaam aleikum....habari zenyu banaaaaaaa kimya kingi kinamshindo,nilikuwa holiday it was fun nime-enjoy kiukweli but jambo la msingi ni kuwa am getting married...soon nimekuta PM za...
2 Reactions
41 Replies
4K Views
kumekucha wana MMU! Naamini hamjambo na mnaendelea vyema na majukumu ya hapa duniani hasa kujishughulisha na familia zetu, maana ni jukumu letu la kwanza baada ya kumaliza yanayomhusu Mungu! Kama...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari wana MMU! Mimi ni kijana wa kiume nina umri miaka 29. Nina mchumba wangu kwa sasa tuna muda wa miezi10 ktk mahusiano yetu kuna jambo kubwa ambalo linanisibu na mara nyingi tunatokea...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Ukiondoa Uzinzi, Tabia gani au kitu gani kingine ambacho hupendi mke/mumeo akifanye?maana kila binadamu anakuwa na tabia yake ambayo si rahisi ikamfurahisha mwenzake kwenye mahusiano au ndoa.
1 Reactions
115 Replies
9K Views
Back
Top Bottom