Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Far from being in agony during childbirth, it has been claimed labour can actually give women an orgasm. New evidence backs up theories that women can enjoy birth to the point of ecstasy...
1 Reactions
45 Replies
4K Views
watoto wanachukuliwa kuwa viumbe ambao akili yao haijakomaa,kwa hiyo wanadanyika kirahisi na pipi,chocolate,biscuits nk. HATA wanawake wanadanyika pia kama wadanganyikavyo watoto kwa pipi,tofauti...
0 Reactions
67 Replies
7K Views
Kama kawaida lazima nikifika nyumbani tu naenda contena kwa mangi kurefresh na kupata nondo mbili za kulalia, yes nondo........ nimeama kesto....... Mangi kama kawa lazima akupe story za...
2 Reactions
82 Replies
10K Views
ndugu wana jf nina mpenzi wangu nampenda sana, nimejitahidi kadri ya uwezo wangu kuwa mwaminifu kwake lakini tangu amegundua kuwa nampenda ananitesa sana, muda mwingi hapokei sim zangu, text...
0 Reactions
48 Replies
7K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Leo nimeongea na my sis kuhusu yeye kumpeleka mwanae nursey school! Sasa yeye what she had in mind ni IST, Upanga nursey ama Aghakan schools...
12 Reactions
61 Replies
6K Views
Hay mabestito wangu wa ukweliiiiiiiiiiii Ugweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kajisemea lara 1 Uhiari ni jambo la msingi tena ni kitu adimu ambacho huwezi kupata sehemu yoyote ile hata kama...
10 Reactions
57 Replies
4K Views
Somo la Kwanza: kumjua mwanamke.
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Habar zenu wana jamiiForum nilikuwa naomba mnipe ushaur kuhusu hili-:Kuna siku wakat napiga simu nikakosea namba moja tu akapokea msichana kama mnavyojua vijana kupokea nikamwambia kuwa nakupenda...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Kuna aina nyingi sana za tabia mbaya, lakini bila shaka zile kubwa kabisa ziko sita. Hii ina maana kwamba mtu anapoishi popote ajue kwamba, kwa njia moja au nyingine atakuwa anapambana na watu...
16 Reactions
48 Replies
17K Views
Wanawake wa Botswana kurithi mali.... Mahakama nchini Botswana imeweka historia kwa kuwaruhusu wanawake kurithi chini ya sheria za kitamaduni na kukataa utamaduni wa wanaume kuwa warithi wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
The Chinese give a beautiful explanation to this. The thumb represents your parents. The index finger represents your siblings. The middle finger represents yourself. The ring finger represents...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari za ujenzi wa taifa wanajamii?? Nadhani ijumaa ilikuwa ni njema sana kwenu. kwanza nitangulize shukurani kwenu wote maana tangu nijiunge na jukwaa limekuwa na msaada mkubwa saana kwangu...
4 Reactions
35 Replies
5K Views
Ndizi: Kwa kweli haipendezi kabisa mwanamke kula ndizi hadharani, inaweza kuwa barabarani au katika mghahawa wa wazi. Kitendo cha mwanamke kula ndizi hadharani kinampotezea mvuto kabisa na hata...
5 Reactions
75 Replies
14K Views
Naileta kama nilivyosimuliwa.... Kuna mdada au mmama alifumaniwa na mumewe kwenye getto la kijana wa kitaa. Alivyoona mumewe anahangaika na mgoni (kumdunda na kumkamata) mdada karuka dirishani...
16 Reactions
55 Replies
5K Views
Wakuu habari Nisaidieni kwa hili mana mimi na wife naona tunaenda toilet(kubwa) kwa timing sana na hakuna aliewai kumuuliza mwezie! (siwezi kwenda ananiona like sijawai kumuona akienda!) ni...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
kunako mechi pevu ya kitandani utalaamu ni mhimu. leo nataka tujadili matokeo na umuhimu wa kuzungusha viuno kwa wanawake. lakini zaidi ni kwamba ni ajabu leo nimekutana na jamaa analalamika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kutokana na amri ya rais we2,ya kuwarundisha wahamiaj haramu. Moyo umekutwa na simanz kwan nimeathirka kwa namna 1, kwan nilikuwa mwanamke wa kitusi na tuna watoto wa 3 na anamimba, so nilikuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tokea nkiwa primary,secondary,chuo,kazin na mtaani kwa ujumla nimekua nikisikia si mara moja kua kuna makabila hasa kaskazin na kanda ya ziwa nchini kwetu wana mila na desturi ambayo naona ni...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Nimeona leo si vibaya tukashare hili jambo ambalo ni kati ya mambo muhimu katika maisha ya wanadamu. Nimesikia na kuona watu wanapanga idadi ya watoto na wengine wanawekeana ahadi kwamba...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
mwaume mwenye familia na watoto Anapoamua kuwekeza mgegedo kwa kukabidhi kipato chote kwa gubegube. 1.Watoto hawalipii tena ada 2.haachi hela ya chakula nyumbani 3.hata hela ya kalamu kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom