Habari zenu wapendwa MMU,
mnisamehe kuleta post hii hapa badala ya jukwaa la siasa ni mazoea tuu jamani sijawahi kuingia kule na hapa ndo nimepazoea. Yaani jana sikuona taarifa ya habari na leo...
Mikao kama hii huchangia hamasa ya ngono sehemu za kazi. Picha ya Maktaba.
KWA UFUPI
Mabosi huwatafutia safari kama njia ya kuwanasa kwa kuwa wanapokuwa hotelini pekee, wanawake wengi...
Habari zenu ndugu!! Naomba mnisaidie ushauri ktk hili: kuna binti mmoja nilitokea kumpenda sana na nilihitaji awe mchumba wangu, lakini sikupata nafasi ya kumwambia kwani baada ya kufahiama naye...
Nimeingia kwenye mahusiano na mdada mmoja kama mwaka hivi nampenda sana, mwezi wa kumi na mbili naenda kujitambulisha kwao nataka nimuoe.
Sasa nataka ushauri wenu kama kuna mtu katokea huko au...
Habari ndugu zangu wa jukwaa hili,ni matumaini yangu mko salama buheri wa afya,binafsi kiafya ni mzima ila kimawazo nahisi siko vizuri na nahisi nadeserve hii hali sababu ya kua hivi...
Miaka...
binadamu tuna sifa ya mobility kama viumbe wengine,mobility yetu ikiitwa kitaalamu LOCOMOTION.
kila mtu ana namna ya pekee ya kutembea.
WADADA NA MWENDO WA MARINGO NA MADAHA.
kimsingi watoto wa...
mimi ni binti wa miaka 23 ninasoma chuo kiukweli kuna mvulana ambaye nilikuwa na mahusiano naye tangu mwaka 2007 kwenye mahusiano yetu hatukuwahi kufanya mapenzi ata siku moja hata hivyo alikuwa...
As if wife ana sweeping, washing and cooking etc, to me is quite disturbing.
Naomba fikra zako kwa hili. Je ni sahihi
Mawazo yako muhimu, kama utakuwa auna la kuchangia ni vyema usome na kupita...
Hatimaye teknolojia imefanikisha kuwakutanisha wazazi wa mshindi wa Big Brother Afrika The Chase Dillish Mathews baada ya mwanaume mmoja aitwaye Abdi Galgayo Guyo kuja hadharani na kudai kuwa...
SEX will never make him stay..
SEX will never increase your value..
SEX will not make him LOVE U more..
SEX will not make him earn your Trust..
SEX will not make U superior it will rather make...
Huu ni ujumbe wangu kwa rafiki yangu kipenzi wa MMU (Simtaji anajijua, kwani hatukukutana uchochoroni wala barabarani) "Queen Of My Heart":
[Kian:]
So here we stand
In our secret place
With a...
mapenzi hayana formula.
nilikotoka warembo wote walinikataa,sikuwa chaguo lao na hata matawi ya chini hayakuwa saizi yangu.
nilikuwa nacheza mechi za mchangani na anga za warembo kwangu ilikuwa...
Habariini marafiki zangu
Ni wakati mwingine tupate somo hapa juu ya kijogoo
asiye na mtu, mwenye kutafuta huku nakule kumengea
kuku ili aweze kumgegeda kistyle style ya sambusa.
Jogoo aliyewika...
HABARI ZA ASUBUHI.
I am fine.
nimefanya simple analysis nikapata wachangiaji wa mara kwa mara hapa MMU kwa sasa.
HAWA WANASTAHILI PONGEZI ZANGU KWA KULIFANYA JUKWAA LISONGE.
ni hawa, Heaven...
Wasalamu!!
Naoma kujulishwa range ya gharama za kujifungua kwa njia ya OP katika mahospital ya Rufaa, za kawaida na zile za private(hasahasa) na Kujulisha hospitali zipi ni nzuri kwa huduma hiyo...
kwa ufupi kuna binti lijuana nae kuptia rfk yangu wa kiume.akawa ananitembelea nyumbani mara kwa mara.ukweli alinivutia mno ila sikupenda kumjuza lolote juu ya hilo mana bado alikua akarbia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.