Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari zenu wana MMU. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikijiuliza swali hili na wakati mwingine nikijipa majibu labda tatizo ni ...au.... bila kupata majibu ya uhakika ndio maana nimeamua kulileta...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Jamani eeh kuna mtu ameniuliza swali nikakosa jibu la moja kwa moja, naomba uzoefu wenu hasa walio ktk ndoa...anauliza ukitaka kufanya sex na mke au mumeo usiku unamwambiaje? Au unarukia tuu na...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nilikuwa na mpenzi wang akaenda depo la moja wapo ya chombo cha ulinzi na usalama. Kutokana na tabia tabia ya kutamani nikajikuta nimeingizwa kwenye mtego na binti mmoja nika mtia mimba ila...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Leo nilikuwa napitia blog moja nikakuta picha za hafla ya Dr.Dualle na mkewe Aunt Ashura. Picha ya huyu mama nilivyoiangalia ilifananafanana na mama mmoja wa jina hilo hilo aliyekuwa mke wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani wana jf hivi hii ni mimi tu kweli au na wengine. Ni kwamba mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 ni mweusi but mrefu mimi ninapenda sana mademu weupe na wote mademu zangu 6 nimeowamiliki...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
ninaomba msaada ni jinsi gani naweza kumtoa b**ra msichana maana sijawai kumtoa hata mmoja! sasa nimekutana na mpenzi mpya ambae ni bikra, nimejaribu kufanya nae zaid ya mara tatu, kila nikijaribu...
0 Reactions
72 Replies
10K Views
DUNIANI kuna mambo jamani! Usiku wa kuamkia juzi ulikuwa mbaya kwa mke wa mtu, Rukia Issa au mama Sabrina baada ya mumewe, Shukuru Nia kumfumania gesti na mwanamme mwingine huku yeye akiwa na...
1 Reactions
41 Replies
9K Views
Ukitaka kujua kama mwanamke aliyepakiwa kwenye gari hususani nyakati za asubuhi hasa kwa wale wa Dar kama ni mke wa anayeendesha gari utamjua kama ifuatavyo 1. Atakuwa amenuna (mwanamke na...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Hi wana Jf, Wikiend yangu nimeimaliza vibaya kisa birthday. Jana mpenzi wangu alikua anatimiza miaka kadhaa, alinialika na nilimpa kiasi fulani kwa ajili ya kaji-pat hako. Lakini kwa bahati...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Betty Mbereko, a 40-year-old widow who has been living under the same roof with her own son, 23-year-old Farai Mbereko is set to marry him. The mother and son who are madly in love with each...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Huwa najiuliza na mwisho naishia kukosa majibu. Mtu na akili zako timamu unaandika mipost na uko serious eti unasaka mwenzi JF. Watu wenyewe wa JF wanatumia majina na picha ambazo si za kwao...
18 Reactions
257 Replies
14K Views
Imemtokea mtu wangu wa karib.Amekuwa kwenye mahusiano na bf wake kwa mda.Amepata ujauzito na akamwambia mwenzie akafurah na kukubali kuilea mimba yake.Tatizo linakuja pale yule dada anapotaka...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Upo chumbani wewe na mkeo na watoto chumba chako kina choo na bafu ndani.Je wakati wa kuoga unawafukuza watoto au wanakuwepo na we unaenda kuoga.na wakati wa haja kubwa je?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Weekend niaje wanaMMU???? Yangu naimalizia hapaa, ila usiulize ni wapi! Back to topic: Kama kawaida mjuavyo makazini ama maofisini huwa kuna utani wa hapa na pale baina ya wafanyakazi, mara...
0 Reactions
64 Replies
7K Views
Mikao kama hii huchangia hamasa ya ngono sehemu za kazi. *.Mabosi huwatafutia safari kama njia ya kuwanasa kwa kuwa wanapokuwa hotelini pekee, wanawake wengi wanakosa ujasili wa kukataa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Pole gal kisa una zigo basi ukitembea akili yote unahamishia huko "wananiangaliaa",pole hujielewi Pole guy unaogopa kuvua viatu mbele za watu kisa vinatoa,dah usafi muhimu Pole gal unatumiwa text...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Inasemekana Mwanamke anapofikia umri wa miaka 25 huanza kujiuliza kuhusu kuolewa, lakini pia huanza kujiuliza kuhusu watoto. Kama hajaolewa, hana mchumba au anahisi kutokupata mtu anayeamini...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kuna wanawake aina 3 kuu! CONSERVATIVE, LIBERAL na NEO CONSERVATIVE!!!!!!!!!!! Conservative ni wale msimamo mkali...
12 Reactions
57 Replies
4K Views
Naja kwenu waungwana kutaka kujua mchango wenu wa ushauri, mi ni mfanyakazi na nina digree moja. Lkn najaribu kuangalia jinsi maisha yanavyokwenda kila siku naona ni afadhali ya jana. Sasa...
2 Reactions
134 Replies
27K Views
Dffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffggggggggggggggggg hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh nnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn nnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn
0 Reactions
153 Replies
42K Views
Back
Top Bottom