IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!
Jamani hizi hausi tunaenda tu lakini acheni kabisaaaa!
Ule usemi wa Hakuna Mwanaume Wako Peke Yako usikie tu, ila ukikufika ndo utauelewa kiundani.
Kuna...
Ninajiuliza swali lakini nakosa jibu, nipe ni jibu wadau. Wakike ndugu wa tumbo moja anapo chukuliwa na jamaa kabla ya ndoa inaniuma kupita kiasi naona kama katudharau kupita kiasi, na mijamaa...
.. ........Wahenga walishasema siku nyingi kwamba kitanda hakizai haramu..... lakini inanikera kweli .....Baba mzima ukiwa na akili yako timamu kabisa hali ukijijua wewe ni mfupi chini ya futi 5...
VERY CLZ......
Mnaniboa nyie baadhi ya wanaume mcio jua kukutaliwa au kuachwa... mtu unamtaka vzur mnakubaliana mnapendana mnaachana au unamkataria... apo sasa ndo panakua gabayaa yan mtu...
nilikua na mpenz ambae tulipendana thanaaaa kwa bahati nzuri mungu kampenda zaidi miez kadhaa ilopita sasa kila nikikaa namkumbuka naumia sana kiasi kwamba najikuta kulia tu.. nifanyeje jaman ili...
See, I don't know why I liked you so much
I gave you all, of my trust
I told you, I loved you, now that's all down the drain
Ya put me through Ya questioned, did I care
You could ask anyone, I...
Natumai muwazima wana jamvi!
Baraka za Mola ziwe nasi!
....
Nimekua nikiona thread nyingi hapa MMU zinazozungumzia baadhi ya mikakati muhimu ya kuendesha, kuanzisha na kuboresha penz.... mfano...
Wanaume!
Usaliti katika ndoa, ni jambo ambalo limekuwepo siku nyingi na litaendelea kuwepo. Lakini umewahi kujiuliza ni kwa namna gani unaweza kuzuia, au kupunguza uwezekano wa mke wako...
Kwa mujibu wa sheria zetu za Tanzania kukonyeza ni kosa sawa na shambulio la aibu. Lakini kwa nini watu wanakonyeza na wanajisikia raha gani kukonyeza na wale wanaokonyezwa jee huhisi jambo...
Nimekuwa najiuliza kwanini miaka hii miwili wanaume wengi nisiowatarajiawameoa na wengine wanaoa,ghafla ghafla tu unashangaa Kaboom.. Meseji hiyooo. Familia ya Bwana Mbulula wanayo furaha...
La hasha
labda nianze wimbo wetu ule
mwamba wenye imaraaaa kwako nitajificha ...loh wapendwa wanandoa yesu peekee ndie mwamba wa kuificha ndoa zetu na familia yetu..bila yesu unaweza kuwa unahisi...
Helo! Baadhi ya wanawake wanatambua kuwa mwanaume mwenye mshiko wa kutosha kuihudumia familia na kuwaridhisha kunako 6kwa6 basi ni vigezo tosha katika ndoa; wakati kuna mambo mengi sana ya...
1.Chimpazee na Binadamu wanafanana kibiolojia kwa zaidi ya 98.5%.
2.chimpazee na binadamu ndio wanyama pekee wanaofanya mapenzi/tendo la ndoa kwa ajili ya starehe,ndio mana chimpazee na binadamu...
Chama cha Waandishi wa habari Wanawake Tanzania (TAMWA), kimesema Wanawake wenye umri mkubwa wanao tembea na watoto wadogo watawashughulikia.
"Tumesikia kuna kesi nyingi za wanawake wenye umri...
Mpenzi wangu alinialika unschedule meeting na mtu mgeni kwangu kisha alinitambulisha kama ni mchumba wake. Nikafahamu pia amesha mtambulisha mchumba wake huyo mpaka kwa wazazi wake.
Huyu...
Salaam
Natarajia kufunga ndoa na mwanaume fln ambaye tumekuwa kwny mahusiano kwa zaidi ya miaka mi4 but kiukweli cna hisia naye sn tho he z a hubby material. Yeye anaishi mkoa mie nipo dar...
Hivi mfano ikitokea ww umekua na urafiki wa karib xaaana na mke wa mtu...Na mwisho wa siku yule mwanamke anakua anakukubali xaaana ww....Lakin pia inawezekana ww pia ukatokea kumkubali xaaana yule...
hi jf mi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 29 nikiwa na miaka 24 nilikwa na mahusiano na kijana mmoja nikapata ujauzito lakin yule kijana alikataa niliendelea na maisha kwa mda huo nilikuwa naplan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.