Habarini bandugu
Hakuna mwanadamu ambaye afanyi UCHAGUZI katika maisha yake ya kila siku
wala hakuna mtu ambaye anayeweza kuchagua kile ambacho hakipendi?
Hivyo maisha ya watu wengi yamejaa...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!
Ujue sisi wadada wengi haswaa wale smart kichwani, decent kidogo na ukfuta ujinga kidogo unakuwa na standard zako za ukwee, na una kuwa na idle...
Nimeingia mgogoro na demu wangu baada ya leo kukata mzizi wa fitina na kuniambia hakuwa na furaha na mimi pamoja na ukweli kwamba yeye ananipenda sana.
Ameniambia makosa ama mambo ambayo yalikuwa...
Leo ni jumapili karibu asilimia kubwa ya walioko kwenye mahusiano yoyote watakutana leo
Hebu kwa wale mnaokutana leo jaribuni kujiuliza hili:
Hivi mapenzi tu ndo ynatosha kutufanya mimi na wewe...
Inasemekana Mwanamke anapofikia
umri wa miaka 25 huanza kujiuliza
kuhusu kuolewa, lakini pia huanza
kujiuliza kuhusu watoto. Kama
hajaolewa, hana mchumba au
anahisi kutokupata mtu anayeamini...
Habari zenu wana jf?
natumaini mu wazima wa afya njema.
hili ni swali linalonitatiza kila siku ni sababu zipi zinazopelekea mwanaume kugeuka na kumwangalia tena mwanamke mara tu wanapopishana...
kumbe baba nanihiiiiii ndo uko hivyo.......? ni swali toka kwa mke akimuuliza mumewe baada ya kufumwa akimchungulia mpangaji wake chooni, na mbaya zaidi kafumnwa na mwenye...
''MWANAMKE KICHECHE KAMEZA SIMU ILI BOYFRIEND WAKE ASISOME MESEJI ILIOINGIA GHAFLA!'
Mwanamke wa miaka (19) kutoka Brazil anayeitwa Adriana Andrade alikuwa so desperate kumficha...
heloooo
habari za mihangaiko wajameni,leo nataka tu tuwekane sawa kuhusu jambo moja ambalo limekua likiyumbisha mahusiano ya watu wengi na wakati mwingine kupelekea usaliti ama kuvunjika kwa...
Kuna watu humu jukwaani wamekuwa wakiwaponda sana watu wafupi kutoka na ufupi wao, sasa kama wewe unaona ni mrefu haya tuambie una urefu wa kimo gani? mimi binafsi najua watu warefu wapo wachache...
imekuwa ni habr ya town now kila mweny boyfriend ambaye anaishi peke yake yupo na girlfriend (anaanza kuishi nsye).
Sasa mimi nashindwa kuelewa inakuwaje. Mimi sijui ni ushamba, hii style ya...
Habari wana jamvi, ni matumaini yangu hatujambo sote. Jamani me nina tatizo moja naomba mchango wenu. Niliolewa na mume wangu halali kabisa wa ndoa. Mwanzoni tulipendana sana, lakn gafla mwenzangu...
Kama ww n kijana wa kiume miaka yako n kuanzia 27 na kuendelea na unataka uwe kwenye ndoa yenye utulivu na aman na yenye upendo tafuta mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 30 na kuendelea. Kwanza...
Mambo vp wa MMU... hop mko poa sana bna.
Hoja mbele yenu nikutaka kufahamu toka kwa wote wenye uzoefu au walio pitia haya kama mimi.
Ni muda sasa wa pata miaka 3,tangu niwe nagegeda manzi...
Hivi unapomtongoza msichana,halafu akakuambia atakufikiria..huwa wanaenda kufikiria kweli au huwa wana maana gani?naomba kuelimishwa juu ya hilo,maana chemistry ya hawa viumbe ni ngumu sana kuielewa.
1. Play a sport.
It will teach you how to win honorably,
lose gracefully, respect authority,
work with others, manage your time
and stay out of trouble.
And maybe even throw or catch.
2. You...
1. Vision
Marry someone that believes strongly in your vision.The person doesn't need to do same profession like you. However the person MUST have kin interest in your vision. It will inspire...
Dah sjui hii link itatokea maana natumia simu..But it is an interesting read.
We met online, and now we are happily married - Sound Living - thecitizen.co.tz - We met online, and now we are...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.