Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Hello JF,Binafsi nampenda msichana mmoja sana lakini,sidhani kama nitaweza kumpata hiv hiv,nipen namna wadau,
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Super sunday imewahi kutokea umetongoza bint kisha aka kwambia "sorry i see you as a friend and i dont want to ruin our friendship" wengine inaweza kuwa tayar wengine maybe bado kama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Baada ya mimi na mpenzi wangu kuanza kupanga mipango ya kuoana imetokea kauli kutoka kwake ambayo imenitisha na kuanza kufikiria huenda demu wangu ana matatizo makubwa japo sielewi lolote kiasi...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Wakuu tafadhali naomba ushauri wenu, kuna mdada nlikuwa na mahusiano lakini tukaachana miaka saba iliopita baada ya kugundua kuna njemba nyingine inashiriki( ndio anaishi naye sasa hivi). kipindi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
I Salute all MMU members, Hope ur all good katika shuhuli za kutafuta shekeli, wagonjwa poleni na get well soon. he time has come for sakapal to say good bye to the people who have been my fans...
2 Reactions
66 Replies
5K Views
Ee bwana mie Karucee mie, yananikutaga mengi under the sun kwa kweli. I wonder if it is the same for everyone else. sigh!! Juzi bwana nakatiza mitaa ya Kkoo jioni sana kwenye saa moja. Katika...
2 Reactions
44 Replies
4K Views
mpenzi wangu ameamua kuja kwangu ninapofanyia kazi baada ya kumaliza masomo yake. TUMEPANGA KUOANA NA NINAMHESHIMU SANA. lakini kutokana na udhaifu wa kibinadamu nilishindwa kuvumilia ugwadu...
0 Reactions
84 Replies
8K Views
what is this i love a girl but once i want to approach her im feel shy i dont know whats happen to me:A S kiss:
0 Reactions
4 Replies
907 Views
kila mtu anapenda kuwa na mahusiano stable! kuna mambo huwa yananishangaza naombeni mnisaidie ipi njia sahihi? assume una mpenzi wako ..au mume/mke...ikatokea akawa na mtu mwingine...kuna watu...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Kuna mabo ambayo hayafikiriki kabisa na mengine ukiambiwa ni vigumu kua mini lakini yapo Huyo hapo mwanamke mla nyama za watu!!!!!!!! Sijui ana matatizo ya akili au ni uchawi mhhhhhhh...
0 Reactions
20 Replies
9K Views
Ukimtokea binti akikupa jibu moja wapo kati ya hayo 9 niliyo orodhesha chini tambua kwama binti ajakukubali, akili kimkichwa. 1. Nakuchukulia wewe kama kaka yangu 2. Umri wetu umepishana kidogo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wana MMU, yaani leo nimeamka na huo wimbo kila nikitaka kuuacha najikuta nauimba tuu, basi nimeona niwashirikishe tuimbe wote. Ila licha ya kuwashirikisha huu wimbo tuimbe wote...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
finali za kombe la dunia 2006 nchini Ujerumani zilikuwa za aina yake. Nusu fainali kati ya Italia na Ujerumani ilikuwa shubiri kwangu baada ya demu niliyemuvusha geto kunikatalia kugegeda baada...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Inaaminika kuwa mwanamke hujenga imani zaidi kwa mtu ampaye kumbatio. Haya ni matokeo baada ya tafiti zilizofanywa na wataalamu wa mambo ya mahusiano na tabia huko ng'ambo. Inasemekana kuwa...
17 Reactions
153 Replies
16K Views
NIna mke lakini nina miezi kadhaa sijatakuna naye kimwili,kisa ni majukumu ya kimaisha,mke wngu ni fundi nguo,mm ni shopkeeper ni mara chache nalala nyumbani,lakini mke wamgu hua amechoka,kumbuka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Heshima yenu wakuu! mwenzenu hilo swali hapo juu linasumbua akili yangu hivyo nataka kufahamu. Binti anapochumbiwa na kutolewa...
5 Reactions
53 Replies
4K Views
HII imekaaje mtu una mpenzi wako na ukaoa mwingine ama ukaolewa na mwingine kwa nini uwe unamwita ex wako kwako kuja kukutembelea,JE MUME AMA MKE WAKO AKIJUA?tuacheni kuharibu ndoa pasipo sababu...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Najitolea kufundisha jinsi ya kuwatenda wenzi wetu. Je uliwahi kutendwa..... usilie nifuate nikufunze jinsi ya kumfanya ajione -----... CV zangu ni hizi: K.O ( niliowatenda live ).... 6 T.K.O (...
0 Reactions
0 Replies
615 Views
Wanajamvi mara nyingi nimekuwa nikotongoza wasichana...nimegundua kuwa msichana anayenikubalia ni yule anayeanza kwa kuonyesha chuki yake kwa wanaume....swali langu hivi ni kweli kila mtu katendwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
KWA MUDA SASA,hapa JF na nje ya JF nimebaini,usaliti upo kila mahali,kila kukicha,kwa wapenzi,marafiki na wanandoa. HALI NI MBAYA ZAIDI KULIKO NILIVYOFIKIRI KABLA.nimebaini pia kuwa wapenzi na...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Back
Top Bottom