Zamani ilikuwaga ukimwagana na demu unayetoka naye ambaye pia ni rafiki yako facebook, kwanza ana futa namba yako, halafu pili ana ku unfriend au kuku block facebook. Siku...
Ninapotafakari kuhusu kuengezeka kwa maambukizi ya VVU hapa nchini,akili ya kawaida inaniambia kuwa hii inatoke kila siku na kila saa, hii inamaanisha kwamba kuna watu hata sasa kuna watu wapo...
Kwa kipindi hichi, dunia inaishi na watu siyo waaminifu. Kwa asilimia kubwa wanaume kwa wanawake wanakuwa na mipango ya kando. Pamoja na yote naamini kwamba kuna watu kama mimi (sijisifu) ambao...
Habari za asubuhi wanajamii,
Swali langu ni kuwa, hivi kuna uwiano/mpatano (compatibility) kitandani?
Kwa mfano, kwenye mpira unaweza kukuta kuna kiungo mshambuliaji(atacking midifilder) mzuri na...
Samahan nimeona niifute hii post kwasababu maalum. Nawashukuru wote mliochangia post hii kwa namna moja ama nyingine mmenisaidia sana, Mungu awabariki nyote
upendo baina ya watu huwa haufi hata kidogo unless kama hujampenda mtu,kinachotokea ni kupanda ama kushuka kwa kiwango cha upendo baina ya mtu na mtu.
upendo unapokua katika kiwango...
^^
Ni jambo ambalo tayari nilishaliondolea tumaini,,kwamba kuna wanawake wasomi ambao hawana harakati ninazoziona MMU
..
Nilimtembelea rafiki angu ambae ni mhitimu wa kidato cha sita.Ana...
Wana jamvi Mimi ni msichana mzuri ndani na nje,very attractive,but nimetokea kupendwa na kumpenda mbaba mmoja Mtu mzima,baada ya kuchoshwa na kero za vijana,Huyu baba Ana mke na watoto wa nne...
Amani kwenu wadau!..its a lovly friday pande hizi, hop mko poa. ktk pita pita zangu nmekutana na haka kawimbo (Tamia - give me you), kana ujumbe mzito,then nkawish katika maisha haya ya ujana...
Nimebahatika kutembelea baadhi ya guest house(nyumba za kulala wageni),cha kushangaza karibia guest house zote nilizotembelea hupenda kutumia sabuni hii,inaitwa EVA,nadhani wale wenye uzoefu na...
Wana wa MMU
Sifahamu kama hii mada ilishawahi kuzungumziwa hapa kabla, kama tayari naomba na hii yangu tuchangie
Tendo la kubusu. Sio kila moja anajua jinsi ya kubusu. Wengine wanabusu na kuacha...
Habari Wakuu, kwanza ninawapa hongera kwamba pamoja na JF katika siku za karibuni kuvamiwa kwa posts za hovyo hasa kutoka kwa wadogo zetu amboa nina imani hali itapungua wakianza kusoma vyuoni...
I'm Azfah, going thru serious misunderstanding wth my boy (im not sure if he still mine lolest)
sometime this yr nlimwambia baby angu kwamba nimenasa while he was outta country for some b'ness...
Habari za asubuhi wanajamvi.
Mm naomba msaada wenu,mm n binti ambaye nko kwenye mahusiano na kaka ambaye tuko na mahusiano kwa mda mrefu na sasa hivi tupo kwenye hatua ya kuishi pamoja .Tatizo...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Wanaume huwa mnanishangazaa sanaa, mtu ana kaa na mtu miaka kibao, unaona chemistry ipo, wanaendana kabisaa you can tell they are...
Wenzangu mzaha umeniletea balaa ndani ya ndoa... Jana tulikuwa tupo kwenye utani mwepesi si nikajifanya nimezira mwenzangu! Nikamwambia baba watoto leo hamna kitu tunalala mzungu wa nne... Si...
Alitekwa mawazo Adam na Hawa bustan ya eden kala tunda , kapotezwa Samson na Delila, kachezea kipigo kwa wafilist, Hamani alinyongwa na mfalme kwa ajili ya Esta wewe nani hadi ujifanye mbish mbele...
Ndugu zangu nimekuja kwenu kutaka ushauri mimi ni kijana mwenye umri wa 26 years nimetokea kumpenda binti mmoja kiukweli kwa mtazamo wa macho yangu naona dunia nzima hakuna kama yeye.Basi mtoto wa...
Kwa kumtoa bikra mwanadada, damu itakayo ni agano lako naye la upendo (wanawake wengi husema"......sitokaa nimsahau mwanaume wangu aliyenileta ukubwani....."), lakini cha kushangaza midume mingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.