Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Napenda kuwaasa wanaume wenzangu kuwa tunapoendesha magari tuwe makini sana na sheria za barabarani,kwa muda wa wiki moja na nusu nilipata matatizo makubwa kwenye nchi moja ya bara america...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wana MMU, niko katikati na sijui cha kufanya. Sio mzuri sana wa kuelezea lakini nitajitahidi ili mpate picha halisi ya ilivyokuwa na ilivyo sasa. Nilimpata msichana amabaye baada ya muda mfupi...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
hii ni mtizamo wangu,mapenzi yachukulie kama dini tu yaani amin tu anakupenda na wewe unampenda,ukitaka kujua kwa asilimia ngapi,ukitaka athibitishe,akununulie zawad ndo uamin etc etc utapoteza...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Akina mama hebu tujulisheni unadhifu wetu unatakiwa uwe wa kiwango gani. Nasema hivi kwa kuwa kuna wengine wetu wanazidisha sana mpaka kuleta mawazo tafauti. Dume linaweza kupiga pafyumu mpaka...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Mazee baada ya misele ya kutosha sasa naona nivute mzungu!!!!!!!!!! Kiukweli wazungu wana mapenzi ya dhati,wakikupenda wamependa labda uharibu, hapo hakutakalika !!!!! Mzungu mwenyewe awe kutoka...
2 Reactions
41 Replies
4K Views
Wana wa JF, nimetatazika wandugu. Nina jirani yangu yeye mwalimu jinsia yake ya kike. Amejaribu sana kuwa karibu na mimi, nami niligundua dalili zote lakini nilikuwa nampotezea. Sasa leo ndio...
0 Reactions
86 Replies
8K Views
Napata shida kutofauti haya maneno mjuzi anifafanulie nashindwa kuelewa mpenzi neno ili litumike kwa mtu wa namna gani na mchumba litumike kwa mtu wa namna gani, msaada naitaji kwenu wajuzi.
2 Reactions
9 Replies
13K Views
Habari na poleni kwa kazi!! Kuna jambo naona leo niliweke wazi, tushauriane na kuwekana sawa. Kuna hili suala la wahudumu wa hoteli, nimekuwa nikifuatilia na kujiuliza maswali lukuki. Ni...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Yaani kila kukicha anaamka na kitu kipya cha kudemand ,eti ntaka simu mpya eti ya zamani haipigi picha vizuri, na kuomba pesa ya misuko ya nywele yaani maombi hayo kama wimbo wa taifa. Nifanyeje...
0 Reactions
79 Replies
6K Views
hivi mtu mwenye mimba anaweza kukuchukia bila sababu hata kama siyo mme wake? dada yangu ninaependana naye ana mimba nahisi ni ya miez kama miwili b'se tumbo halijaanza kuonekana,ameanza...
1 Reactions
49 Replies
5K Views
Nilimpigia simu mara ya kwanza akasema anapika...nilipokutana nae akaanza kunlalamikia njaa inamuuma. Demu mwenyewe nimemtokea mara moja halafu anajidai kunipenda kama ananijua miaka mia...
0 Reactions
35 Replies
7K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!! After all the stories nazowaletea humu na mada mototo, mniombee nipone huu mguu! Wiki ya 8 sijui ya 9 niko bedrest!!! I deserve your prayers. High hills...
6 Reactions
67 Replies
8K Views
Hello wanajukwaa hili. Kwanini verified user hawapendi sana kuchangia jukwaa hili? Naweza kusema ni 2% to ndoo wanachangia. yaani hili ni jukwaa la mwisho kuchangiwa na members wa JF ambao ni...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Hello wana jf! kwa utafit wang w awal nmegungua kuwa, w/me weng ktk mahsiano ni sex-oriented! hi ni ktokana kuw wanachokijua ni akpata dem basi kinachofuata ni sex! na ndio maana wasichana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hamjambo waungwana .... Naomba niulize jamani, kuna kipindi naweza kaa bila kuwa na hamu ya ku-do 6 x 6; na nakuwa hivyo - kwa mda mrefu (japo kwa home naendeleza kama kawaida) Kwenye mwezi...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Salute wakuu, As the topic says above, sometimes you may meet with a girl who cherishes you, loves you and seem to care a lot about you. But as time goes, you start noticing some things ambavyo...
1 Reactions
77 Replies
6K Views
kipozeo Wewe sheikh Mkubwa unakuwa na hawara kweli?? Hata kama ukichukia vumilia tuh,ndivyo haqi ilivyo ilivyo, Sasa dini iko wapi??wewe sheik kisha unakuwa na hawara kweli? Umeshindwa kabisa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nina binadamu yangu, mtoto wa shangazi yangu kabisa mama yake wa kwanza kuzaliwa akafuata baba yangu, kiukweli ananikwanza huyu binadamu sijui nifanyeje, mwaka 2011 alianza kutaka kunioa akaenda...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Hakuna Mwanaume Mkarimu tu burebure..Mwanaume mpole kama njiwa..Mwanaume very caring tu from nowhere..Mwanaume anayekusikiliza...Mwanaume anayekutafuta asubuhi hadi jioni kujua hali yako..Mwanaume...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Katika simple observation niloifanya nimegundua kuwa binti akipewa mimba najamaa, mwanaume is in risk of being sentenced compared to binti. Likewise kama kunaushirikiano katika kutoa mimba binti...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom